Nakubali ya dunia ni mengi, ila pia umeulizwa swali la msingi: Kwa nini hukutafuta ushauri au msaada kwanza kabla ya kwenda nje ?
Unanikumbusha story moja iliwahi kuletwa na mtu humu kuwa eti ana rafiki yake, na huyo dada anadai kaolewa zaidi ya miaka 10, ana watoto 2 na hajawahi kufkishwa kule juu hata siku moja. Sasa watu wakajiuliza yaani miaka yote hiyo amekaa tuu, hajawahi kuuliza kulikoni, au hata ongea na mwenzie mpaka akaamua kuwa malaya kwa kisingizio hicho ?
kakubali kila kitu na yeye kakubali inawezekana kafanyiwa hivyo ila sasa imani ya hivyo vitu ndio inakuwa ndogo na hata akiwa anataka kwenda kwa mganga hatujui mganga hapo ndio tabu inapokuwaMimi nina rafiki yangu ambaye alikuwa na demu mmoja hivi na kila alipojaribu kugonga kwa mwingine ishu inasinyaa kabisa. Akawaona wazee wakamfanyia mambo na kumueleza kuwa amefanyiwa mambo na yule binti wa kwanza ili akitembea nje asisimamishe mtarimbo kabisa. Hivyo tatizo la mme wako naona kwa namna kubwa linafanana na hilo. Wanachofanya ni kwamba mkimaliza ku-sex wanamfuta mwanamme kwa kitambaa na kisha wanakifanyia mambo na kukiweka sehemu fulani nyumbani kwao sasa ili tatizo liishe inatakiwa kile kitambaa kiharibiwe kabisa. Ushauri wangu ni kwamba muulize mumeo kwa umakini juu ya hayo mazingira kama yalishawahi kumtokea kwa namna yoyote alipochapa nje. Akikubali basi tafuteni namna ya kufumbua fumbo hilo. Nawasilisha.
rose nishamuuliza au kuhisi tu labda ni wembamba wangu au ni nini nimejaribu kila njia ambayo unahisi mwanamke yeyote angejaribu kumvutia mume huyu waapi!!kusafiri labda kwenda kwenye mahotelikulala au nini tena yeye mwenyewe kasema hana tatizo na mimi wala simwoni kama ana tatizo kwenye shughuli zake kila siku ananisimulia mafanikio anayoyapata.kusema ana tatizo linamsumbua kwa sasa hana!
naona niendelee kusali tu mungu huko mbele atasaidia
katika shida tunazopata kwenye mahusiano ni hilo,unafika sehemu unaona labda una kasoro fulani,sometimes unajichukia hata kulalamika au kutamani ungekuwa kama fulani,mumeo alikupenda akakuoa akawaacha wengi mno pamoja na mimi......umeumbwa kwa mfano wa mungu,nakuambia kama mwanamke ambaye bad relationship zilinifanya kuwa na low-self esteem,hujiamini hujipendi ulivyo.....from now on,zidi kujipenda na kujithamini,kuwa na tumaini,utang'aa utapendeza zaidi na hiyo inatosha kumfanya mumeo afurahi na pengine ayashinde hayo yanayomuita huko nje,hakuna kitu kizuri kama mwanamke ujiamini,tena tembea kwa furaha,na jua hakuna linaloshindikana...unavyojiona hivyo shetani anashangilia,amefanikiwa,usikubali,amka sema i will be happy today no matter what,magnify god and not your problems.....kukosa tendo la ndoa kusikufanye ukanyong'onyea my sister,there is more in life......
kakubali kila kitu na yeye kakubali inawezekana kafanyiwa hivyo ila sasa imani ya hivyo vitu ndio inakuwa ndogo na hata akiwa anataka kwenda kwa mganga hatujui mganga hapo ndio tabu inapokuwa
Tunaweza kuwa hatujaolewa lakini tunajua kutokana na experience ya mama/dada/shangazi/kaka/wajomba yale wanayopitia kwenye ndoa zao,na yote uliyoshauriwa ni out of experience my dear.....ikuonyeshe hauko mwenyewe ila kwakuwa tumejifunza kutokana na makosa ya wengine tunakushauri ili usiongeze tatizo juu ya tatizo na tunajifunza pia kutoka kwako....
fadhili hakuna tusilojaribu huyu mume niliye nae kwa hiyo michezo ni mzuri sana hata kwa sasa ndio silaha yake kubwa anayotumia.kinamiss kitu kimoja tu.inakatisha tamaa sana na mimi kujiona sifai mbele yake.thanx kwa ushauriDada juhudi binafsi pia zahitajika huwezi kupiga mzigo kwa kurukia sehemu husika moja kwa moja,mshauriane ww na jamaa yako kabla ya kuingia mzigoni michezo ifanyike kwa sana,yaaani mautundu na maujanja ili kuundaa uhusika,lakini pia hili la maombi kwa muumba bado limeshika hatamu!
asante sana dada michelle kwa ushauri mzuri nafikiri nitaanza nao mapema zaidi
Ni kweli gaga.....wengi wapo humu ila kusema hawawezi
kama hii ni ya kweli basi huyu mwanadada mwenyewe hajatulia. Anafikiri Mungu ni kama binadamu. Huwezi ukamuasi Mungu halafu ukaja haraka haraka ukategemea akujibu kwa wakati wako. Michele amekupa ushauri nasaha kabisa. Na usije ukapima maombi yako kwake kwamba sasa nimeshasali vyakutosha kama angekuwa wa kukubali ingekuwa tayari, la hasha! Haswa kwa kuwa mwenyewe ulifanya kosa hilo hilo, tena huenda wewe ndiye ulianza ila unaona haya kukiri tu.
Na ukishatulia kama ulivyoshauriwa hakuna hata haja ya kwenda sijui kutafuta tambara gani lililotumika, maombi yako yakiishajibiwa hata liliko hilo tambara kutaungua moto nalo litateketea! Ila kuwa mwangalifu na unachomwomba Mungu maana anaweza akakupa tena maradufu, ila uwe tayari kupokea kutunza na kuendelea kushukuru, kumwogopa na kumsujudia kwa kweli. Kinyume chake ni balaa.
JAmani mie nafikiri kati ya watu waliomwelewa vema huyu dada ni Rose1980............... katoka nje ndio but amekiri kabisa kuwa alikosa ndo akaamua kutulia ni reaction ya kawaida kabisa......Binadamu tuna reactions za aina mbili irrational na rational na kawaida irrational decisions huwa ndizo zinazoanza kabla mtu hajawa rational. Hebu nambieni wanaume wangapi ambao akipata tatizo la kutosimamisha kwa mkewe atakimbilia moja kwa moja kanisani?? Kama hatajaribu nje ili aone tatizo ni lake au mkewe?? NAye ni binadamu pia na ana mahitaji yake na hisia kitu cha msingi ni kuwa alijaribu akagundua si suluhisho ndo kaja omba ushauri msimuhukumu.Nakubali ya dunia ni mengi, ila pia umeulizwa swali la msingi: Kwa nini hukutafuta ushauri au msaada kwanza kabla ya kwenda nje ?
Unanikumbusha story moja iliwahi kuletwa na mtu humu kuwa eti ana rafiki yake, na huyo dada anadai kaolewa zaidi ya miaka 10, ana watoto 2 na hajawahi kufkishwa kule juu hata siku moja. Sasa watu wakajiuliza yaani miaka yote hiyo amekaa tuu, hajawahi kuuliza kulikoni, au hata ongea na mwenzie mpaka akaamua kuwa malaya kwa kisingizio hicho ?
Pole sana yataisha tu hayo ndo dunia.....
ahsante mpenda tz shukuru mungu kwa kukupa moyo mzito usiopata majaribu kumbuka shetani nae yupo anahangaika na akikuta mtu mwenye matatizo anajipenyeza.mimi ni mdada niliyetulia sana huwez amin ila ndio hivyo tena