Mume wangu hataki kunipa chakula cha ndoa

Mume wangu hataki kunipa chakula cha ndoa

Uchafu kwa wanawake wenye watoto ndo tatizo linafanya mtu usijisikie.....unamkuta demu ananuka maziwa...ndan kunanuka mikijo ya mtoto....
 
Toroka uje magetoni! Ila kesho kura kwa Lowassa....
 
Jiulize haya maswali kwanza
1.we ni msafi??.usikute unanuka maziwa. .maana mkishazaa hamjipendi
2.umenenepeana?..yawezekana awali ulikua kaportable. Baba akikushika anakukunja kunja sasa ivi labda ukunjiki
3.unampeti peti? ??..mkishazaaga mapenzi yanahamiaga kwa mtoto unamsahau baba

Kama huna tatzo lolote kati ya hayo matatu ebu ni PM upate msaidizi kama mwezako alivyo na msaidizi mpya

huyo baba ni bubu kushindwa kuwa wazi?
au ndo mnaouita uanaume?
 
Toka uzae pengine umeacha kujiweka nadhifu namaanisha usafi, labda umeanza kujiachia sana pengine nguo ulizo kua una vaa kipindi huja zaa zilikua ziki mtamanisha jamaa yako. Generally mtege mmeo wewe kuwa malaya kwa mmeo. Unajua jinsi malaya wanavyo vaa sasa vaa hivo chumbani ikiwezekana shinda na chupi tu chumbani, jitahidi hata kununua chupi mpya ambazo hajawai kuona kabatini au bikini, lengo ni moja tu jamaa apate hamu yaku fanya mapenzi... badilisha hata muonekano wa chumba chenu.. weka mashuka mapya kama ina wezekana.... uta shangaaa kwa nn nasema yote haya mimi ni mwanamme tena nime kamilika najua nacho kisema... hakuna kitu mwanaume anawai kukata nacho tamaa kama kila siku akiona mwanamke wake ni yule yule tu... anajua akitoka kazini atakukuta umevaa vile vile siku zote. Kua mpya na utaona mmeo atakavyo data na weee... USI SAHAU KUNI PM ENDAPO HAYA MAWAZO YATA KUSAIDIA...

Haya mawazo yasipo msaidia aombe talaka hamna namna tena!
 
Miezi mitatu kwa mwenye mtoto hilo ni la kawaida.....

Wewe kaaa subiri kunasiku atafidia vya miezi sita...ataipiga mashine mpaka utaugua wiki nzima, atakuwa akikuomba mchezo unaogopa kutoa wewe subiri uchaguzi uishe aaapishwee then utatuletea mrejesho
 
Km haujawahi fanya hii kitu jaribu kufanya,,,,,,,nyonya koni,,,
 
Sio mageni shosti ulokua nayo,nna shoganu kazini mumewe alimuona wakati anajifungua hakumgusa miezi 6 kila akimsugelea jamaa anatapika mpaka wakawa wanagombana,sasa wewe yakwako ni mepesi sana jaribu kujiweza hali ya usafi sana na akikisha unampa time as much as you can akiwepo nyumbani na sms za we miss u kwa sana akiwa kazini....
 
Habari zenu wapendwa,

Nimeolewa na nina mtoto mmoja na nampenda sana mume wangu.

Mimi na hubby wangu tumekaa ktk relationship for more than five years ndipo tukafunga ndoa.

We were so much into each other hadi nilipofanikiwa kupata mtoto last year mambo yakaanza kubadilika.

Ni mtu ambaye yuko bize sana na kazi.Since niwe na mtoto tumekuwa tunastruggle kwenye tendo la ndoa kwani mwenzangu huwa hajisikii au amechoka like all the time.

Sasa tuna miezi mitatu bila kugegedana na nimejaribu kuzungumza nae kama kuna tatizo anasema anachoka sana na kazi.

Plz nisaidieni kimawazo kama wanaume wakichoka sana hawawezi kuwa na huo uhitaji kwani ndiyo mwanaume pekee niliyewahi kuwa nae.

Asanteni

Nipe iyo chans
 
Tatizo umezoea ngono ni kitandani na wakati wa kulala tu
 
Ndiyo maana mnakatazwa kuzini na uasherati.

Aliezowea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi.
 
mimi kama mimi hata nichoke namna gani akita muda wowote nampa kwani ni haki yake kupewa huwa najiuliza kwanza pindi nitakapo mnyima atasaidiwa na nani?kutuliza mtima wake?

Upo sawa kabisa...I really like that spirit. I wish wanaume wote wangekuwa na mawazo kama yako. Mkeo aende wapi kukamilisha mahitaji yake ya kimwili?!
 
mimi kama mimi hata nichoke namna gani akita muda wowote nampa kwani ni haki yake kupewa huwa najiuliza kwanza pindi nitakapo mnyima atasaidiwa na nani?kutuliza mtima wake?
Umri unakusumbua, wakati ukifika utajua kuwa mawazo yako na mwili huwa ni vitu viwili tofauti.
 
Habari zenu wapendwa,

Nimeolewa na nina mtoto mmoja na nampenda sana mume wangu.

Mimi na hubby wangu tumekaa ktk relationship for more than five years ndipo tukafunga ndoa.

We were so much into each other hadi nilipofanikiwa kupata mtoto last year mambo yakaanza kubadilika.

Ni mtu ambaye yuko bize sana na kazi.Since niwe na mtoto tumekuwa tunastruggle kwenye tendo la ndoa kwani mwenzangu huwa hajisikii au amechoka like all the time.

Sasa tuna miezi mitatu bila kugegedana na nimejaribu kuzungumza nae kama kuna tatizo anasema anachoka sana na kazi.

Plz nisaidieni kimawazo kama wanaume wakichoka sana hawawezi kuwa na huo uhitaji kwani ndiyo mwanaume pekee niliyewahi kuwa nae.

Asanteni

Karibu Kwangu Mamii, Nikupeleke Kwenye Sayari Moja Inaitwa Mahaba! Utamsahau, Kama Tunavyoisahau Ccm Leo!
 
nilikuoa kwa umbo lako dogo full kimodo,miaka 3 tu umefutuka,shapeles na nikikuambia mazoez hutaki..umenenepeana hadi nakuogopa ukiwa kitandani...nimerud kwenye original(vimodal)
 
Habari zenu wapendwa,

Nimeolewa na nina mtoto mmoja na nampenda sana mume wangu.

Mimi na hubby wangu tumekaa ktk relationship for more than five years ndipo tukafunga ndoa.

We were so much into each other hadi nilipofanikiwa kupata mtoto last year mambo yakaanza kubadilika.

Ni mtu ambaye yuko bize sana na kazi.Since niwe na mtoto tumekuwa tunastruggle kwenye tendo la ndoa kwani mwenzangu huwa hajisikii au amechoka like all the time.

Sasa tuna miezi mitatu bila kugegedana na nimejaribu kuzungumza nae kama kuna tatizo anasema anachoka sana na kazi.

Plz nisaidieni kimawazo kama wanaume wakichoka sana hawawezi kuwa na huo uhitaji kwani ndiyo mwanaume pekee niliyewahi kuwa nae.

Asanteni

miezi mitatu??hebu mkumbushe kuwa ni miezi 3 kama hajashtuka basi mshauri mwende hospital au akigoma ujue anachepuka
 
Anakula nje abashiba. Au baada ya kuzaa hujitunzi? Labda wanuka maziwa ya mtoto!! Pole!!
 
Back
Top Bottom