Mume wangu hataki kunipa chakula cha ndoa

Mume wangu hataki kunipa chakula cha ndoa

Wewe ndio yule uchungu wa kujifungua ulienda na mume lebaa? baada ya hapo ukarudi kwakeee na hile hali? Aisee kama ni hivyo 1% ya wanaume anakuja kutokuwa na kinyaa na mkeewee....
 
Habari zenu wapendwa,

Nimeolewa na nina mtoto mmoja na nampenda sana mume wangu.

Mimi na hubby wangu tumekaa ktk relationship for more than five years ndipo tukafunga ndoa.

We were so much into each other hadi nilipofanikiwa kupata mtoto last year mambo yakaanza kubadilika.

Ni mtu ambaye yuko bize sana na kazi.Since niwe na mtoto tumekuwa tunastruggle kwenye tendo la ndoa kwani mwenzangu huwa hajisikii au amechoka like all the time.

Sasa tuna miezi mitatu bila kugegedana na nimejaribu kuzungumza nae kama kuna tatizo anasema anachoka sana na kazi.

Plz nisaidieni kimawazo kama wanaume wakichoka sana hawawezi kuwa na huo uhitaji kwani ndiyo mwanaume pekee niliyewahi kuwa nae.

Asanteni

1.Ni muhimu ungetuambia kwanza ni nini kilisababisha mkae miaka mitano Bila kuoana?
2.ulikua unaishi kwake au alikua anaishi kwako?
3.kati ya wewe na yeye, ni nani mwenye uwezo mkubwa wa kifedha toka awali?
4.toka mwanzo ni nani alikua na mzuka zaidi na mwenzake?
5.kiuchumi mkoje baada ya miaka mitano, mmeshuka au mmepanda?
 
Labda kabla ya kuzaa ulikiwa unajiweka nadhifu na tayari kwa ajili yake. Lakini baada ya kuzaa umebadilika na kuwa rafu.
 
Mumezidi kuwanyima, mukiwa na mimba unawapangia ratiba ya kupewa mgegendo. Mimba miezi 6 unamnyima. Ona sasa kakutafutia msaidizi alafu msaidizi kawa Fundi zidi yako. Pole
 
Naona wengi wamekusha kushauri na kiai kikubwa hayo niliyofikiria

  1. Angalia usafi wako
  2. Tenga muda wa Mume
  3. Muhudumie mume wako sio kumwachia dada
  4. Angalia kama umejiachia sana unene
  5. Ju muda muafaka wa kuongea na mume wako kuhusu mahitaji ya Familia. Kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ukimpokea jioni na kuanza kumuelleza matatizo ya hela...hapo hamu humuishia kabisa
  6. Jaribu pia kujua Ratiba ya mume wako... ili uwe na hakika kuwa ni kweli kila siku yupo busy kwa mwezi mzima

Kama hiyo haiweki naomba uni pm huenda nikahitaji maelezo zaidi ili kukupatia ushauri sahihi
Kila la heri
 
Acha kutafuta mimba nyingine.mtoto bado mchanga unalia lia kumenywa.uwe na subira mtoto aote meno ya juu.
 
Hiyo maswali ya kujipenda kunukia maziwa ni mbwembwe tu, kuna bidada nae huwa ananiambia mme wake hamfwanyi kila siku kujisingizia kachoka....wana mtoto mmoja mdada ni mzuri, mzuri haswa, msafi anajipenda nabakigi tu na maswali mwanaume anakosaje apetite kwa mwanamke kama huyo
Eeeh pole lakini,bora kukosa msosi sio dushe
 
karibu... usiweke effort kwenye kupata tendo ndoa weka effort kwenye kujenga mahusiano yalio na misingi isiyo tetereka en he will come around yeye mwenyewe tu..
kama kazi za ofisin kwake anakuja nazo ad hom na unaziweza give him a hand lakin isiwe sababu et upewe mgegedo la hasha just to be close..
with time mtakua vzuri t needs patience

Aisee unajua wewe...
Had the same prolem as well. Ili happen naturaly tu kwamba nikapoteza hamu na mke wangu, but alikua mnyenyekevu na kuwa concerned na vitu vyangu, pamoja na kufanya ibada pamoja, slowly mambo yakabadilika. Lakini waliochangia kuhusu kujiweka safi pamoja na kuweka mazingira pia wapo sahihi. Sometimes baada ya kujifungua wanawake mnakuwa busy sana na watoto kiasi kwamba mnajisahau wenyewe au mazingira around you. Jitahidi chakula kiwe tayari kabla hajawasili, akute mazingira masafi, usidemand sana attention au kuanza kumuelezea matatizo ya home, bali jitahidi kumsikiliza na kumpunguzia stress.
Honestly ikifika era hiyo huwa mnakua na mzigo mkubwa sana but if you'll handle it well,yote yataenda vizuri. Cha muhimu usisahau sala
 
Huyo jamaa namshangaa..Labda kama huduma anapata kwingine..nwei..Vipi we hujabadilika??...

Swala la kupata mtt mlishirikishana??..

Kaeni chini mzungumze..Usikubali maongezi yaishe bila kupata majibu ya kuridhisha..
 
Pengine anahofia utapata nyingine wakati mtoto bado ananyonya.
 
Habari zenu wapendwa,

Nimeolewa na nina mtoto mmoja na nampenda sana mume wangu.

Mimi na hubby wangu tumekaa ktk relationship for more than five years ndipo tukafunga ndoa.

We were so much into each other hadi nilipofanikiwa kupata mtoto last year mambo yakaanza kubadilika.

Ni mtu ambaye yuko bize sana na kazi.Since niwe na mtoto tumekuwa tunastruggle kwenye tendo la ndoa kwani mwenzangu huwa hajisikii au amechoka like all the time.

Sasa tuna miezi mitatu bila kugegedana na nimejaribu kuzungumza nae kama kuna tatizo anasema anachoka sana na kazi.

Plz nisaidieni kimawazo kama wanaume wakichoka sana hawawezi kuwa na huo uhitaji kwani ndiyo mwanaume pekee niliyewahi kuwa nae.

Asanteni

Toka uzae pengine umeacha kujiweka nadhifu namaanisha usafi, labda umeanza kujiachia sana pengine nguo ulizo kua una vaa kipindi huja zaa zilikua ziki mtamanisha jamaa yako. Generally mtege mmeo wewe kuwa malaya kwa mmeo. Unajua jinsi malaya wanavyo vaa sasa vaa hivo chumbani ikiwezekana shinda na chupi tu chumbani, jitahidi hata kununua chupi mpya ambazo hajawai kuona kabatini au bikini, lengo ni moja tu jamaa apate hamu yaku fanya mapenzi... badilisha hata muonekano wa chumba chenu.. weka mashuka mapya kama ina wezekana.... uta shangaaa kwa nn nasema yote haya mimi ni mwanamme tena nime kamilika najua nacho kisema... hakuna kitu mwanaume anawai kukata nacho tamaa kama kila siku akiona mwanamke wake ni yule yule tu... anajua akitoka kazini atakukuta umevaa vile vile siku zote. Kua mpya na utaona mmeo atakavyo data na weee... USI SAHAU KUNI PM ENDAPO HAYA MAWAZO YATA KUSAIDIA...
 
Pole sana Lakini jiulize baada ya kujifungua una mpa time Na yeye au Ndio Uko busy Na baby? Jee una vutia ki mwili Kama mwanzo au Kama umenenepa unafanya mazowezi, je usafi umeongezeka au umepumgua? Manake unaweza kua 24/7 busy Na mtoto Na maziwa yana vujaa usafi wa mgogoro Chakula dada Ndio mpikaji hivyo pia vina changiaa , kaanae chini Tena muongee...

Hili nalo la msingi sana nadhani muhusika amelisikia
 
Mara nyingi wanawakw wakishazaa huwa hawana mufa na mwanaumw. Concentration yao yote ni kwa mtoto. Hii inawwza kumfanya mwanaume kupunguza hamu.
 
Daah hivi mwanaume unakosaje hamu ya kunanihii....mwanamke jichunguze kwanza wewe
 
Back
Top Bottom