Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Hahahaha Smart911 nahisi atatuloga aisehhh hahahahah classmate wangu akiikuta na hii, asubuhi ya leo atamwesha mkojo hahah na na kumuogesha na upupu

Ingekuwa mimi ndo mahondaw nikakakata na kisu hako ka bolo dinda alafu niwe natembea nako kwenye pochi
sasa hivi bado imemkolea ila lazima tu siku yake ipo atakimbia, sisi mafisi tunamuwinda classmet wako. lazima tumbebe, kunguru hafugiki ipo siku tu yatamshinda
 
sasa hivi bado imemkolea ila lazima tu siku yake ipo atakimbia, sisi mafisi tunamuwinda classmet wako. lazima tumbebe, kunguru hafugiki ipo siku tu yatamshinda

Hahaha huyu akitoka kwa Smart911 unaniachia mimi kwanza nisafishe nyota na niondoe gundu sawa jirani.

Alinifanyaga nikaacha kwenda shule karibia mwezi na nikawa najificha kila nilipomwona mpaka tukamaliza.

Sasa tunafanya kama mkoloni 'DIVIDE AND RULE'
 
Hahaha huyu akitoka kwa Smart911 unaniachia mimi kwanza nisafishe nyota na niondoe gundu sawa jirani.

Alinifanyaga nikaacha kwenda shule karibia mwezi na nikawa najificha kila nilipomwona mpaka tukamaliza.

Sasa tunafanya kama mkoloni 'DIVIDE AND RULE'
Kama utamrudisha cheupe wangu maahondaw poa. Ila inabidi uwe na mapigo makali kama yangu au ya smart manake huyu myoto tumeahamzoezesha mchaka mchaka
 
Kama utamrudisha cheupe wangu maahondaw poa. Ila inabidi uwe na mapigo makali kama yangu au ya smart manake huyu myoto tumeahamzoezesha mchaka mchaka

Duhh huyu mahondaw yale macho yake jirani aisehhh sio ya dunia hii maana nahisi aliumbwa asubuhi wakati jua linachomoza sio usiku wakati umeme umekatika.

Jirani ntaweza kumkojaza kama Smart911 na zaidi maana nitatafuta godoro la water proof asijeonekana kikojozi.

Nitamuweza tu mchumba wangu wa maisha
 
Fata moyo wako mama life is too short, isitoshe kuna maada ikiletwa humu kuhusu mwanaume kumwacha mke utasikia tu ''achana nae tafuta mwingine'' ila ikija kwa mwanamke utaona ushauri mwingi wa kuvumilia. Tupa kule hata ukiishi mwenyewe haina shida mradi moyo wako una furaha.
 
Unahitahi Maombi Serikali3!!

Unaombaje ushauri wa Kumuacha Mtu?? Unahitaji uelezwe ni Njia gani/Ipi utumie kumwacha Mmeo??
Mimi Nadhani ulipaswa kuja humu kuomba ushauri wa jinsi gani utaweza kumfanya Mmeo akidhi hitaji lako katika Ndoa na siyo vinginevyo,Kaa chini na Mmeo na hili litaisha.

Mfanye mmeo kuwa bora kuliko Mwingine,Ufanye toba kwa Kumsaliti Mmeo pasipo kufahamu! Ungesalitiwa wewe ingekuwaje??

Why are we Easy to judge Mistake of others rather to recorgnize our own Mistakes?? THINK BIG.
I like your advice unaonekana ni mtu unayejitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Nimsaidie jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga chini wanaume wa bifsi sana mchovu mkubw huyo wa nn hawana ha maan washenz hao
 
Back
Top Bottom