Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Pole sana.
Kweli The world is not fair ujue wakati wengine tumebarikiwa wengine wamepungukiwa dahhhhhhhhhhh!

Mahondaw wa Smart911
 
Unahitahi Maombi Serikali3!!

Unaombaje ushauri wa Kumuacha Mtu?? Unahitaji uelezwe ni Njia gani/Ipi utumie kumwacha Mmeo??
Mimi Nadhani ulipaswa kuja humu kuomba ushauri wa jinsi gani utaweza kumfanya Mmeo akidhi hitaji lako katika Ndoa na siyo vinginevyo,Kaa chini na Mmeo na hili litaisha.

Mfanye mmeo kuwa bora kuliko Mwingine,Ufanye toba kwa Kumsaliti Mmeo pasipo kufahamu! Ungesalitiwa wewe ingekuwaje??

Why are we Easy to judge Mistake of others rather to recorgnize our own Mistakes?? THINK BIG.

Ushauri mzuri mno
 
And that's what am afraid off...nyumba bila msingi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hakuna nyumba isiyo na msingi. Ni wewe tu kuweka msingi imara unaodumu au mbovu siku mbiltatu umeanguka. The choice is yours

Mahondaw wa Smart911
 
MALIPO YA UMALAYA NI MAUTI.MKE UMEOLEWA BADALA YA KUTENGENEZA MAZINGIRA ILI UTOSHEKE NA MUMEO UNAANZA KUFANYA UMALAYA.SI NI BORA UKAFE TU.
NAWACHUKIA SANA WANAWAKE WA AINA HIYO MAANA HAWANA TOFAUTI NA WAUAJI. ENDELEENI NA TABIA HIYO LKN SIKU YA KUKAMATWA NAJUA YATAKUTOKEA MAKUBWA.
SHAME ON YOU.I HATE WOMEN OF YOUR KIND,STPD.
 
Back
Top Bottom