Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).

Mtafutie vumbi la DRC
 
Hadith yako inatufundisha nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndio classmate bana wengine wa ku-pakua ndo maana nakukubaligi sana. Tangu kipindi kile mpaka sasa uko strong
Siyumbishwi na maneno wala matusi. Watu na vipaji vyao

Kipaji changu ni kupuuzia vitu visivyokua na madhara kwangu.

Bado niko gado nakula mema ya Smart911 tu

Mahondaw wa Smart911
 
Hebu mlazimishe.

Kwasababu ni Mume wako na mmeshaingia mkataba, na pengine ni mgeni wa Majamboz.

Kumwaga Dakika mbili sio tatizo, Goli la kwanza.

Akipiga cha Pili muda utaongezeka, na akipiga cha Tatu ndio kabisa atachelewa Kukojoa.

Na akiwa anaendeleza kukamua kila Siku japo Goli mbili, itafikia Muda cha kwanza atakuwa anachelewa Kukojoa na itafikia Muda akiweka Kimoja wewe utakuwa hutaki tena kumpa, utaanza:-

"Oooh nimechoka," mara "Wewe kila siku unataka nikupe".

Muhimu apige Gemu za mfululizo wewe mwenyewe utaona mabadiliko
 
MALIPO YA UMALAYA NI MAUTI.MKE UMEOLEWA BADALA YA KUTENGENEZA MAZINGIRA ILI UTOSHEKE NA MUMEO UNAANZA KUFANYA UMALAYA.SI NI BORA UKAFE TU.
NAWACHUKIA SANA WANAWAKE WA AINA HIYO MAANA HAWANA TOFAUTI NA WAUAJI. ENDELEENI NA TABIA HIYO LKN SIKU YA KUKAMATWA NAJUA YATAKUTOKEA MAKUBWA.
SHAME ON YOU.I HATE WOMEN OF YOUR KIND,STPD.
Mwehu wewe, unataka kuua mke kwa sababu ya ngono? Kwani wakimkaza huko nje papuchi yake inabaki huko huko? We so humtoshelezi mwache tumkaze vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia angalia tabia yako wewe mwenyewe, je unampa hamasa na kumwelewa tatizo lake kwa upendo? Kwa sababu haya mambo ni saikorojia ya ubongo na ufariji utokanao na ushirikiano wa upendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom