Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Ninamaanisha hivi. Kumwelewa mwenzi wako tatizo lake la ndoa na kulitafutia ufumbuzi, tena kwa upendo ndio ufariji mwema na tiba pekee. Kutafuta namna nyingine kama ulivyofanya na kusaliti ndoa yako kwa uzinzi kamwe ni njia ambayo haitakuacha salama. Usikubali na wala humu hutopata ufumbuzi zaidi ya kumuomba Mungu na kuzidisha mashirikiano na mwenzi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo ninapoukumbuka ushauri wa babu mmoja katika mazungumzo yetu alisema "Mjukuu wangu zembea katika mambo yoote unayoyajua wewe , ila usizembee ukiwa 6*6 maana heshima yako yote iko pale hata kama hanywi chai asububi yote atasahau"

Huyu Dada amegundua kuwa mumewake hajiwezi hata kimatumizi baada tuu ya kupata huduma ya kumridhisha kutoka kwa mtu mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
wakati wewe unatamani kutoka kwenye hiyo ndoa yako,huko nje yuko mwanamke anayetamani kuingia ampate huyo mume wako
 
Wewe utakuwa na bwawa sio bure, au vinginevyo una mataizo makubwa ya kuchepuka. Umeshazoe kupigwa miti nje ya ndoa hivyo sio rahisi kutulia katika ndoa.

kifupi wewe ni malaya na huiheshimu ndoa yako na hujui nini maana ya ndoa. nyambafuuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasmile kazuri

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app

 
Huo ndio ubaya wa kutojaribu mambo kabla ya ndoa
Ila tafuta wataalamu watamsaidia tu na utainjoy kama kawaida cha muhimu ongea nae nae akubali kuwa ana tatizo hapo mnaweza kumaliza tatizo
Kama mmefunga ndoa huyo ni wa kwako tu
Au labda kama hutaki kwa sababu ya mahitaji ya familia hapo sawa
 
Huo ndio ubaya wa kutojaribu mambo kabla ya ndoa
Ila tafuta wataalamu watamsaidia tu na utainjoy kama kawaida cha muhimu ongea nae nae akubali kuwa ana tatizo hapo mnaweza kumaliza tatizo
Kama mmefunga ndoa huyo ni wa kwako tu
Au labda kama hutaki kwa sababu ya mahitaji ya familia hapo sawa
Kwani mkuu toka mwakajana mpaka Leo hajapata ufumbuzi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom