Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,987
- 54,119
Omari hii ni kazi gani unayoifanya?
kazi kujikuna ngwara ngwara ngwara.
Tumia protex kujikuna kukuzidi nenda kamuone daktari
unamfahamu kumbe
Omari hii ni kazi gani unayoifanya?
kazi kujikuna ngwara ngwara ngwara.
Tumia protex kujikuna kukuzidi nenda kamuone daktari
Mtoto ndo ana miaka mitatu na siyo ndoa ndo yenye miaka mitatu, jamani hizi comprehension zinasumbua sana.Ndoa yake ina miaka mitatu na si mume wake anajikuna kwa miaka mitatu
anampenda sana hubby wake ndo maana kaamua kuja kuomba ushauri humu MMU akiamini kwamba atapata mawazo constructive kumnusuru mumewe
next time hakikisha unajua maana ya kudhalilisha ndo ushauri
Asante kwa ushauriKwanza kabisa hizo ni fangasi.
Pili ni kweli anaona aibu kwa hilo.
tatu,hawezi kukubali mwende nae hospital hali ya kuwa hata kwenda mwenyewe anaona aibu
nne,fanya yafuatayo ili kumuanzishia tiba. kuhusu tiba kuna njia mbili za matibabu.
Njia ya kwanza:
Tiba mbadala, hear I mean tiba za miti shamba( Note:siyo sangoma), kuna madaktari wengi sana wa tiba mbadala wanajitangaza daily kwenye maredio, kuna mmjoa najua yupo maeneo ya shekilango wanajiita Antipa mpigie na umueleze 0754464525, pia kuna mwingine yupo maeneo ya tankibovu namba yake 0455913397,kuna mwingine yuko ukonga mongolandege 0717961795/0754391743,hao wanatosha, na ghalama zao sijawahi kusikia wakitaja kuwa ni nyingi wote hudai ni rahisi mno na huwa wanasema hali hiyo ikiendelea hizo basi atakuambukiza na wewe wakati mnajamiana kwahiyo be serious na hilo.
Njia ya Pili :Hospital
Kwa nia hii kwa kuwa tayari yeye anaona aibu kwa hilo, nakushauri wewe utengeneze mazingira ya kujiuguza ili kuwepo ulazima wa yeye kwenda na wewe hospital na ukifika pale ufanye ujanja wa kuongea na Dr ili Dr wakati anakusikiliza na mumeo awepo hapo hapo na Dr alazimishe wote mpime vipimo ambavyo Dr anajua kabisa atakuwa amepima ugonjwa huo wa fangasi na hapo Dr atoe dozi, na Dr aeleze kinaga ubaga athari za fangasi katika ndoa, then from there hatokuwa anaogopa kwani atakuwa anajua kabisa kuwa wewe unajua tayari tatizo hilo kwa undani. na uwe mshauri na mvumilivu kipindi chote cha matibabu.
Huo ndio ushauri wangu.
nimeshamuelewa,thanks@roby2006
Habari wana jamvini
Mimi ni dada niliyeolewa na nimebahatika kupata mtoto mmoja katika ndoa yangu na ana miaka 3, ila toka nimjue mume wangu, uwa anawashwa sehemu zake za siri, na tukiwa tumelala usiku utamsikia anajikuna tena kwa nguvu, ni kijaribu kuongea nae twende kwa dokta wa ngozi hataki, anasema nikawaida tu, ila mi ananiboa kitu kimoja anatoka kujikuna harafu anamshika mtoto bila kunawa.
Naombeni ushauri, au kama kuna dawa ya kupaka naweza nikanunua nikajaribu kumpaka, nampenda mume wangu ndo maana najaribu kutafuta njia mbadala