Mume wangu anawashwa sehemu zake za siri

Mume wangu anawashwa sehemu zake za siri

Habari wana jamvini

Mimi ni dada niliyeolewa na nimebahatika kupata mtoto mmoja katika ndoa yangu na ana miaka 3, ila toka nimjue mume wangu, uwa anawashwa sehemu zake za siri, na tukiwa tumelala usiku utamsikia anajikuna tena kwa nguvu, ni kijaribu kuongea nae twende kwa dokta wa ngozi hataki, anasema nikawaida tu, ila mi ananiboa kitu kimoja anatoka kujikuna harafu anamshika mtoto bila kunawa.

Naombeni ushauri, au kama kuna dawa ya kupaka naweza nikanunua nikajaribu kumpaka, nampenda mume wangu ndo maana najaribu kutafuta njia mbadala
Unaweza kumshauri aende mwenyewe kwa Daktari. Maana kuna maswala mengine katika tamaduni zetu ni nyeti au yanahitaji faragha kubwa.
Otherwise ukioa anaendelea na ubishi nakushauri ununue msasa namba 2 ( unapatikana kwenye Hardware stores) umsaidie kumkuna kutwa mara 3. Halafu ukimaliza kumkuna unamwagia Maji ya chumvi.
 
Kikubwa hapa ni kwenda kumwona daktari tatizo lake litakwisha.
 
Unaweza kumshauri aende mwenyewe kwa Daktari. Maana kuna maswala mengine katika tamaduni zetu ni nyeti au yanahitaji faragha kubwa.
Otherwise ukioa anaendelea na ubishi nakushauri ununue msasa namba 2 ( unapatikana kwenye Hardware stores) umsaidie kumkuna kutwa mara 3. Halafu ukimaliza kumkuna unamwagia Maji ya chumvi.

ha! ha! ha! hiyo ya msasa ni vunja mbavu na kiboko ya mbishi wa tiba!
 
Habari wana jamvini

Mimi ni dada niliyeolewa na nimebahatika kupata mtoto mmoja katika ndoa yangu na ana miaka 3, ila toka nimjue mume wangu, uwa anawashwa sehemu zake za siri, na tukiwa tumelala usiku utamsikia anajikuna tena kwa nguvu, ni kijaribu kuongea nae twende kwa dokta wa ngozi hataki, anasema nikawaida tu, ila mi ananiboa kitu kimoja anatoka kujikuna harafu anamshika mtoto bila kunawa.

Naombeni ushauri, au kama kuna dawa ya kupaka naweza nikanunua nikajaribu kumpaka, nampenda mume wangu ndo maana najaribu kutafuta njia mbadala

Harafu ndo nini? Mtoto wako ndo kamuambukiza kujikuna
 
Inaonyesha ni kweli unampenda na upendo wako kwake haukuathiriwa na hiyo hali yake kwani ulisema 'tangu umjue, huwa anawashwa'. Nadhani huyo mwenzako anasumbuliwa na aibu, na huenda anahisi ni kujishusha au kujifedhehesha au kujidhalilisha kukukubalia kuwa hilo ni tatizo hivyo kufuata ushauri wako; Pengine anahisi kukusikiliza ktk hilo ni kujipunguzia kitu katika heshima zake kwako, lakini amesahau kuwa unampenda pengine saana!. Kupendana ni pamoja na kutafuta mbinu muafaka za kusaidiana; ungeweza kutafuta mbinu za kumsaidia mapema sana tangu ulipogundua hilo tatizo (hatimaye anakuambia ni kawaida tu), lakini nikupe pole kwa uvumilivu na nikupongeze kwa jitihada hii ya kutafuta ushauri. Ushauri: Dawa ikiwa ni pamoja na usafi huhitajika. Muhimu: Kauli nzuri za kistaarabu huku ukionyesha mapenzi na kujali ni muhimu ili kumlainisha akubali matibabu (ukizingatia unampendaa!!). Kumlainisha hakuanzii tu kwenye kumtaka atumie dawa au kwenda hospitali, kunaweza kuanzia mbali zaidi kabla ya kuzungumzia hilo tatizo. Miongoni mwa mbinu za kufanikiwa, ni kulifanya hilo zoezi kuwa shirikishi zaidi. Mbinu ni nyingi sana, endelea kufunguka endapo utakutana na kikwazo chochote ili uendelee kushauriwa.
 
Mpedawa hii chuku punje tano za vitunguswaum vimenye ponda na apake usiku anapo taka kulala.
Awe anaoga kabla ya kwenda kulala, huo ni uchafu tu, vile vile kila baada ya kuoga awe anapaka mafuta sehemu zote muhimu, I am sure 89% tatizo lake litaisha. Kujikuna, badala ya kuwa ni fungus, inaweza kuwa ni dalili ya kuwa na mabaka (watts), kwa sababu ya ngozi kukauka. Jaribu huu ushauri, atapona. Pole.
 
aaaa dagaa watamu sana kwa ugali

back to topic.. endelea kumshawishi kuhusu umuhimu wa kumwona dokta
 
Last edited by a moderator:
Mnunulie candistat apake pia nend msikiti w manyema kuna jamaa wanauza daw za kisunna Arabic powder nzuri sana
 
Chupi moja anavaa kwa siku ngapi kabla ya kubadilisha na kuifua?
 
Mficha maradhi kifo humuumbua kinacho mfanya aone aibu ni nn wkt hospitali ziko kwa ajili yetu ningekuwa mimi hata nanihii nisingempa mpk twende hsptl kujua tatizo, kama mwanamke najua utakuwa unauwezo wa kutumia mbinu zote kumfanya aende maana ugonjwa utakuwa sugu la sivyo atakuwa haumwi chochote ni kilema chake na starehe yake kujikuna.
 
Mshikaji anaelekea kwenye final stage sasa. Huko atalazimika kushika zile kengele zake (namna hii) na kuanza kujikuna na kitana mpaka ashushe wazungu ndio anaacha!

NOTE: angalia hasije kua anakiweka kitana kwenye friji.
 
mwambie atumie mafva ya SAMONA NA SABUN YAKE. PIA AZINGATIE USAF WA NGUO ZA NDAN.
 
Humo nilimokoleza rangi pananitia mashaka makubwa.
Yani kwa miaka 3 anajikuna alafu wewe leo ndio unaona kero.
Alafu naona humpendi mumeo na umekuja kumdhalilisha mumeo hapa ndani,kwanini ushauri huu unaoutaka hapa usingemfuata dr moja kwa moja?
Na kilichokukela wewe ni kujikuna na kumshika mtoto bila kunawa,ila kama angekua ananawa ungeona poa tu si ndio!
hv mtoto wa miaka mitatu kitanda kimoja kwa dunia hii
 
Itakuwa fungus kwa kuanzia nunua dawa aina ya ketakenazol ameze kila cku kidonge kimoja mpaka atakapohisi muwasho umetoweka kabisa.
 
yaweza kuwa ni fungus hizo dada muende hospitali mkachekiwe wote wawili kwani kuna uwezekano wa gonjwa la zinaa pia. hivyo wote inabidi mpatiwe tiba
 
Hivi Fungus haziambukizi?

Huambukiza kama aina ya ugonjwa mwingine wowote wa ngozi. Hususan saa kufanya sex maana sehemu za mapaja/ in between legs hukutana. Dalili za kutambua fungus ni rahisi kwani hutoa harufu mbaya na wakati mwingine waweza kuona katikati ya mapaja kuna layer flani kwenye ngozi ambayo kama ina leak unyevu nyevu. Na hiyo ndio inayofanya watu wajikune kupita kiasi baada ya hiyo infection. Wakati mwingine ni vizuri kumkagua partner wako kabla ya mechi kuanza ili kuepuka magonjwa mengine ya Zinaa (STD's) ambayo yanaweza kupimwa na macho tu🙂
 
Nivizuri ukawa msafi. Utajikunaje hizo fungus halafu umshike mtoto bila kunawa? Dada mshauri vizuri mmeo aende hosp akatibiwe.
 
Ni rahisi tu, wengine ni tabia tu alishazowea kuchezea dudu lake basi! Dawa kama hataki kwenda hospitali, mkilala wewe wahisha mkono wako huko kunako mitaa husika kiasi kwamba mkono wake hautapata nafasi kufika, ukifanya hivyo kwa wiki moja mfululizo utagundua kama ni ugonjwa au mazowea, maana kama ni ugonjwa na ni wa muda mrefu hivyo kutakuwa na harufu pia... Hivyo ukiweka mkono wako baada ya muda toa nusa, kama hakuna harufu basi ni mazowea tu na kwa kuwa unampenda kama ulivyosema mwenyewe, waweza kuwa unamkuna-kuna kumpa raha mumeo...!
 
fangasi hao. makagare yake hayasugui vizuri anapo kua anakoga. jaribu kumuogesha kwa kutumia dettol ya maji baada ya hapo mpake mafuta ya nazi. siku tatu tu kwisha kazi. mkimaliza kufanya mambo yenu awe anaoga sio kujipangusa dusherere tu. mia
 
Omari hii ni kazi gani unayoifanya?
kazi kujikuna ngwara ngwara ngwara.
Tumia protex kujikuna kukuzidi nenda kamuone daktari
Hapo ndio kiboko ya Fungus ya pu*mbu na uvunguni kwake Protex lenye ganda jekundu/ugoro ndani ni nyeusi
Yaani akishaiogea apakae lile povu lake au sabuni yenyewe akalale, dagaa utajaniambia yaani hamalizi wiki amepona
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom