Mume wangu anawashwa sehemu zake za siri

dagaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
290
Reaction score
382
Habari wana jamvini

Mimi ni dada niliyeolewa na nimebahatika kupata mtoto mmoja katika ndoa yangu na ana miaka 3, ila toka nimjue mume wangu, uwa anawashwa sehemu zake za siri, na tukiwa tumelala usiku utamsikia anajikuna tena kwa nguvu, ni kijaribu kuongea nae twende kwa dokta wa ngozi hataki, anasema nikawaida tu, ila mi ananiboa kitu kimoja anatoka kujikuna harafu anamshika mtoto bila kunawa.

Naombeni ushauri, au kama kuna dawa ya kupaka naweza nikanunua nikajaribu kumpaka, nampenda mume wangu ndo maana najaribu kutafuta njia mbadala
 
Hizo ni fangas zitakuwa zinamsumbua kwa muda mrefu, na inaonekana anaona aibu kwenda hospitali. Mshauri mwende wote mkamone daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi, dermatologist. Mnaweza kwenda pale MUHAS mtafuteni Dr. Yassin M Mgonda, kama bado yupo.
 
Habari wana jamvini

Mimi ni dada niliyeolewa na nimebahatika kupata mtoto mmoja katika ndoa yangu na ana miaka 3, ila toka nimjue mume wangu, uwa anawashwa sehemu zake za siri, na tukiwa tumelala usiku utamsikia anajikuna tena kwa nguvu, ni kijaribu kuongea nae twende kwa dokta wa ngozi hataki, anasema nikawaida tu, ila mi ananiboa kitu kimoja anatoka kujikuna harafu anamshika mtoto bila kunawa.

Naombeni ushauri, au kama kuna dawa ya kupaka naweza nikanunua nikajaribu kumpaka, nampenda mume wangu ndo maana najaribu kutafuta njia mbadala
Humo nilimokoleza rangi pananitia mashaka makubwa.
Yani kwa miaka 3 anajikuna alafu wewe leo ndio unaona kero.
Alafu naona humpendi mumeo na umekuja kumdhalilisha mumeo hapa ndani,kwanini ushauri huu unaoutaka hapa usingemfuata dr moja kwa moja?
Na kilichokukela wewe ni kujikuna na kumshika mtoto bila kunawa,ila kama angekua ananawa ungeona poa tu si ndio!
 
aaaaaahgghhh, huyo ni wa kumzuia kushika mtoto

aende akatibiwe, ni mchafu kabisa huyo
 
Humo nilimokoleza rangi pananitia mashaka makubwa.
Yani kwa miaka 3 anajikuna alafu wewe leo ndio unaona kero.
Alafu naona humpendi mumeo na umekuja kumdhalilisha mumeo hapa ndani,kwanini ushauri huu unaoutaka hapa usingemfuata dr moja kwa moja?
Na kilichokukela wewe ni kujikuna na kumshika mtoto bila kunawa,ila kama angekua ananawa ungeona poa tu si
ndio!
Ndoa yake ina miaka mitatu na si mume wake anajikuna kwa miaka mitatu
anampenda sana hubby wake ndo maana kaamua kuja kuomba ushauri humu MMU akiamini kwamba atapata mawazo constructive kumnusuru mumewe
next time hakikisha unajua maana ya kudhalilisha ndo ushauri
 
Jamani kujikuna rahaa... Wewe umepata madhara yoyote? kwasababu kama ni ugonjwa lazima na wewe ungekuaffect? chamuhimu mwambie amshike mtoto na gloves..
 
Mpedawa hii chuku punje tano za vitunguswaum vimenye ponda na apake usiku anapo taka kulala.
 
Ndoa yake ina miaka mitatu na si mume wake anajikuna kwa miaka mitatu
anampenda sana hubby wake ndo maana kaamua kuja kuomba ushauri humu MMU akiamini kwamba atapata mawazo constructive kumnusuru mumewe
next time hakikisha unajua maana ya kudhalilisha ndo ushauri

Amesema toka amjue mume wake!!(toka aanze kugegedwa na huyo mumewe)hiyo miaka mitatu ni umri wa mtoto na kwa mujibu wa yeye mgegedwaji anasema tangu aanze kugegedwa na mumewe amekua akiwashwa.

Ebu rudi kasome vzr alafu uje ulekebishe comment yako usije ukaingia kwenye lile kundi la Div0 bhana!
 
Omari hii ni kazi gani unayoifanya?
kazi kujikuna ngwara ngwara ngwara.
Tumia protex kujikuna kukuzidi nenda kamuone daktari

Habari wana jamvini

Mimi ni dada niliyeolewa na nimebahatika kupata mtoto mmoja katika ndoa yangu na ana miaka 3, ila toka nimjue mume wangu, uwa anawashwa sehemu zake za siri, na tukiwa tumelala usiku utamsikia anajikuna tena kwa nguvu, ni kijaribu kuongea nae twende kwa dokta wa ngozi hataki, anasema nikawaida tu, ila mi ananiboa kitu kimoja anatoka kujikuna harafu anamshika mtoto bila kunawa.

Naombeni ushauri, au kama kuna dawa ya kupaka naweza nikanunua nikajaribu kumpaka, nampenda mume wangu ndo maana najaribu kutafuta njia mbadala
 
Pole msaidie kumkuna na pia mwambie muende hospitali

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
aiseeee babayangu kama hali imeshakuwa hivyo wewe na mtoto wako mlale mzungu wa

alafu akijikuna akushiki wewe kwenye
 
Ajipake detto ya maj ya vuguvugu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Pole msaidie kumkuna na pia mwambie muende hospitali

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mhhhh!Kwa maelezo haya na kwa miaka yote hiyo hii kweli sio chronic syphillis mweee?
 
Habari wana jamvini

Mimi ni dada niliyeolewa na nimebahatika kupata mtoto mmoja katika ndoa yangu na ana miaka 3, ila toka nimjue mume wangu, uwa anawashwa sehemu zake za siri, na tukiwa tumelala usiku utamsikia anajikuna tena kwa nguvu, ni kijaribu kuongea nae twende kwa dokta wa ngozi hataki, anasema nikawaida tu, ila mi ananiboa kitu kimoja anatoka kujikuna harafu anamshika mtoto bila kunawa.

Naombeni ushauri, au kama kuna dawa ya kupaka naweza nikanunua nikajaribu kumpaka, nampenda mume wangu ndo maana najaribu kutafuta njia mbadala

Kwanza kabisa hizo ni fangasi.
Pili ni kweli anaona aibu kwa hilo.
tatu,hawezi kukubali mwende nae hospital hali ya kuwa hata kwenda mwenyewe anaona aibu
nne,fanya yafuatayo ili kumuanzishia tiba. kuhusu tiba kuna njia mbili za matibabu.

Njia ya kwanza:

Tiba mbadala, hear I mean tiba za miti shamba( Note:siyo sangoma), kuna madaktari wengi sana wa tiba mbadala wanajitangaza daily kwenye maredio, kuna mmjoa najua yupo maeneo ya shekilango wanajiita Antipa mpigie na umueleze 0754464525, pia kuna mwingine yupo maeneo ya tankibovu namba yake 0455913397,kuna mwingine yuko ukonga mongolandege 0717961795/0754391743,hao wanatosha, na ghalama zao sijawahi kusikia wakitaja kuwa ni nyingi wote hudai ni rahisi mno na huwa wanasema hali hiyo ikiendelea hizo basi atakuambukiza na wewe wakati mnajamiana kwahiyo be serious na hilo.

Njia ya Pili :Hospital
Kwa nia hii kwa kuwa tayari yeye anaona aibu kwa hilo, nakushauri wewe utengeneze mazingira ya kujiuguza ili kuwepo ulazima wa yeye kwenda na wewe hospital na ukifika pale ufanye ujanja wa kuongea na Dr ili Dr wakati anakusikiliza na mumeo awepo hapo hapo na Dr alazimishe wote mpime vipimo ambavyo Dr anajua kabisa atakuwa amepima ugonjwa huo wa fangasi na hapo Dr atoe dozi, na Dr aeleze kinaga ubaga athari za fangasi katika ndoa, then from there hatokuwa anaogopa kwani atakuwa anajua kabisa kuwa wewe unajua tayari tatizo hilo kwa undani. na uwe mshauri na mvumilivu kipindi chote cha matibabu.

Huo ndio ushauri wangu.
 
Humo nilimokoleza rangi pananitia mashaka makubwa.
Yani kwa miaka 3 anajikuna alafu wewe leo ndio unaona kero.
Alafu naona humpendi mumeo na umekuja kumdhalilisha mumeo hapa ndani,kwanini ushauri huu unaoutaka hapa usingemfuata dr moja kwa moja?
Na kilichokukela wewe ni kujikuna na kumshika mtoto bila kunawa,ila kama angekua ananawa ungeona poa tu si ndio!

Unamjua mleta mada, au mume wake wamjua?
Huko kudhalilisha bila identinty ya mtu kuwa relieved kunatoka wapi??????
Au ni wewe ndio muwashwaji!
 
Rudia kusoma tena vizuri utamuelewa huyu mdada anamaanisha nini amesema tokea amemjua mume wake huwa anawashwa sehemu za siri amemjua lini kama sio kabla ya ndoa

Back
Top Bottom