Morning glory
Senior Member
- Mar 20, 2014
- 149
- 55
Wadau wote wa JF Nliwahi kupost Uzi Hapa wa mume wangu kutokuwa na kazi na Huu ni mrejesho.Tunaendelea kuumia kadri siku zinavyoenda mbele na msaada wangu unakuwa haitoshi Kwa familia yangu.Watu wengi waliahidi kunisaidia lakini mpaka Leo nimeishia kuambulia ahadi hewa tu na uchokozi na utani mwingi kutoka Kwa wadau humu JF.Wenye nafasi tafadhali msaidieni mume wangu yani karibu tunaumbuka na ukizingatia tunaishi nyumba ya kupanga
Amesoma post gr. Ya nini na ni biashara gani ameanzisha zinaishia njiani? Anzia hapo ili tusaidiane mawazo
ndoa ndoano hapo panataka maombi! pia arudi kwa nyumbani akae na wazee ale nao mbuzi na pombe, wazee na mizimu ya nyumbani hufunga njia kabisa! then arudi dar he will see wonder! within 3 weeks
Mwambie akasome na phd kabisa.
Sawia kama ulikuwepo yaani ndo mipango yake hiyo
Wana JF please please nawaomba sana mnisaidie mume wangu amesoma mpaka post degree na Hana ajira nifanyeje?Yaani mi ndo nalisha nyumba na kulipia mahitaji yote,sasa inaniumiza!Binafsi sijamtenga ila namwonea huruma sana hajawahi kuajiriwa since 2011 na kila miradi anao anzisha unaishia njiani,sasa yupo tu home-nimewaza sana kuweka thread hii jamvini coz siko sure sana Kama yuko humu
Sawa kilimo hua analimia maeneo gani? Na hua anajizatiti kabisa? Au analima kilimo cha kisasa kwa kufuata ushauri wa wataalam? Lakin pia utaftaj wa ajira hua ni mgumu lkn akikomaa kwenye kujiajiri atatoka fasta kama atapambana vizuri lkn biashara pia atatoka vizuri,,,
Wana JF please please nawaomba sana mnisaidie mume wangu amesoma mpaka post degree na Hana ajira nifanyeje?Yaani mi ndo nalisha nyumba na kulipia mahitaji yote,sasa inaniumiza!Binafsi sijamtenga ila namwonea huruma sana hajawahi kuajiriwa since 2011 na kila miradi anao anzisha unaishia njiani,sasa yupo tu home-nimewaza sana kuweka thread hii jamvini coz siko sure sana Kama yuko humu
Pole sana atapata ajira uwe na subira endelea kumpenda hivyohivyo usimchoke
if less than 3.5 GPA don't go for PhD
if less than 3.5 GPA don't go for PhD
JERRY umetisha nahisi positivism Hapa,thanks sana