Mume wangu ananinyima unyumba

Binadamu tumetofautiana kwa kweli,ntavumilia yote ila si kunyimwa unyumba,kilichonitoa kwetu "ni kile ambacho wazazi wangu walishindwa kunipatia" na mwanaume kama atashindwa kunipatia tena bila kuwepo dharura ya msingi,natambaa. Huo ni unyanyasaji wa kijinsia na kisaikolojia. Kwani hiyo ndude anayo yeye peke yake? Eboo..! Chukua watoto wako kaanze maisha yako,hukuzaliwa naye na wala hutokufa naye.
 
Duuuuh...ni mara ya kwanza kuisikia hii,atakuwa ana mtu mwingine anayemt...labda hakukupenda ulivyo ni aliamua kufunga ndoa tu nawewe kwasababu flan.

Mimi hata nikizidiwa na ugonjwa au nikizimia...mwanamke akinikalia tu au akigusa gusa dushe natandika ile kitu barabara sheikh
 
tatizo ni we kuwaza ngono, mpe muda mwenzio apumuwe.
he is a human being and not a sex machine, and the first sexual organ is the mind - mwenye masikio na asikie kile Roho ayaambia makanisa


Kama na yeye hafanyi huko nje ni sawa, kakini kama yeye anamalizia huko nje hell no...
 
duh hatar
 

USHAURI MZURI
 
MMMH INAWEZEKANA ANA NYUMBA NDOGO AU NA YEYE ANALIWA FUATILIA TARATIBU
 
Kuna vitu vya kususa lkn siyo hicho, atakuwa na matatizo hyo.. Ni pm kwa ushauri zaid
Kususa hiyo kitu inatakiwa akapimwe akili Mimi sajawai kususa hata tuwe na ugomvi sijaribu kususa hii kitu hilivyo tamuuuuu
 
Mwanaume asusi pa punch anasusa msosi huyo atakuwa anachepuka tuwekee picha yake hili tumjue tukimuona kwenye anga zetu tunakuita ukamate anasusa hiyo kitu duh!!!😎😎😎😎
 
MREJESHO,
yeye anasema hana tatizo ila basi tu hana hamu na anapitiwa,
nimemuuliza mengi akasema atajirekebisha na nikamuuliza kama kuna kitu nifanye kumvutia, akasema hakuna,
ila cha ajabu nimebembeleza mechi mpaka nikakwazika nikaondoka nimekaa mahali najipumzisha kidogo.
karibuni nitakuja na uzi mpya wa maamuzi yangu. Ahsanteni
 
mkuu hili tatizo hata mimi ninalo mpaka limesababisha mpasuko kwenye mahusiano.. licha ya kuwa na mtu msafi, mrembo na mjuaji wa mambo lakini hamu ya tendo sina kabisa..
 
Hebu ngoja kwanza.
Ushauri umetolewa mwingi. Ule unaoona utakusaidia uujaribu na uduende haraka. Hilo tendo linahitaji utulivu wa akili na msisimko murua.
 
wenzako hawakurupuki Hivyo lakini Ukihitaji mgegedo wa Dharura mtafute peterchoka au mito na ikishindikana njoo kwa ibra87 tatizo litakwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…