teamleader
Senior Member
- Nov 27, 2015
- 150
- 66
Yaani umeshindwa kuvumilia mpaka umekuja kuyasema huku?
Ulidhani sitokuwepo?
sasa safari hii hutoniona nyumbani kabisa
Nimekwambia huu ni mwaka wa 'kazi tu' siyo sex mbona hunielewi wewe?
Imaginative comment
ahsanteni kwa ushauri wenu, hapa nimekaaa namsubiria niongee nae kwa mara ya mwisho kabisa, nitamueleza yaliyo moyoni na kumsikiza anasemaje.
Mmmh mmmh mke wa mtu.......Pole ni pm
Habari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.
Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.
Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote
hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.
Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba.
Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!
Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.
Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,
hili swala linanikondesha jamani naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
Pole sana dada Monika2, mdogo wako mie pia napitia hali kama yako. Soma ushauri wa member hapa pia upitie na ushauri kwenye thread yangu. Tena naona tulianzisha jana kwa pamoja. Kisha changanya na zako ufanye maamuzi.
Dah... Sijawahi kuona mwanaume mkamilifu akakataa papuchi ya mkewe bila sababu ya msingi... Huyo piga ua, lazma anasababu zake tu... Ni vizuri akuweke wazi, Tafuta njia mpaka ujue tatizo, Sio bure... Usiwe mtu wa kupotezea kiurahisi namna hiyo, Pigani haki yako...
Habari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.
Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.
Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote
hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.
Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba.
Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!
Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.
Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,
hili swala linanikondesha jamani naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
Pole mamy we miezi 3 unalalamika mie hata sita huisha na wala sina mpango wa kumuuliza ila mawasiliano yapo kama kawaidaHabari zenu,

fumbo la imani lini litafumbuliwaHapo ndiyo kuna fumbo la imani