Mume wangu ananilalamikia nilijifunza wapi penzi ninalompa

Mambo haya tulishazowea kuyaona nje ya ndoa tu. Tukaona wanawake wa nje wanavyo jitahidi kujituma zaidi ya tulio kwenye ndoa kwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Ili wawape wanaume kitu tofauti.

Sasa haitoshi. Sisi tulokuwepo kwenye ndoa tunatoka nje na uchafu huo tunawaletea waume zetu ndani.

Dada umepotea njia. Sio ujanja huo. Afu umemfundisha mwenyewe? Utakuja kulia.
 
C'mon Karusii, you should know better than to believe anything about that account.
 
Ujasiri ulinitoa woga na nikampa mume wangu penzi lililokua linanitesa kwa sasa nafurahia maana nimekua karibu nae sana na yeye pia ameongeza apetait ya kufanya mapenzi na amekua na wivu sana na mimi kwa sasa mpaka imepelekea nakosa Uhuru niliokua nao zamani, ila kuna maswali kila tuwapo faragha ananiuliza huu mchezo nilijifunzia wapi? Nashindwa kumjibu maana pia na wasiwasi akijua je nimjibuje ?

Naomba ushauri.
[emoji121]
WAKUU,

NAOMBA IFAHAMIKE KUWA HUYU NI MWANAUME ANAYETAFUTA 'ATTENTION' YA WANAUME WENZIE MITANDAONI.

[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Ujasiri ulinitoa woga na nikampa mume wangu penzi lililokua linanitesa kwa sasa nafurahia maana nimekua karibu nae sana na yeye pia ameongeza apetait ya kufanya mapenzi na amekua na wivu sana na mimi kwa sasa mpaka imepelekea nakosa Uhuru niliokua nao zamani, ila kuna maswali kila tuwapo faragha ananiuliza huu mchezo nilijifunzia wapi? Nashindwa kumjibu maana pia na wasiwasi akijua je nimjibuje ?

Naomba ushauri.
Kwani ulijifunzia wp mkuu
 
Umempaje kwani kabla sijaanza kutiririka kutoa ushauri?
 
Kama ulimpa tigo hata kama ni mumeo sio tena mumeo muite mzinzi mwenzio maana mkilana tigo tuu ndoa nayo hakuna
 
We ni shetwani ulietumwa kutudanganya tuwape wanaume mtandao pendwa. HATUDANGANYIKI
Yani afadhali umegindua anataka tuone kama ni kitu cha kawaida[emoji17] [emoji17] ila hatafanikiwa.
Kama unafanya hayo kweli ipo siku utatambua ni kosa la namna gani unalifanya,Mungu akuongoze na kukufundisha jinsi ya kuenenda katika dunia hii.
 
395486.jpg

Kuna penzi natamani kumpa mume wangu ila nasita

mara hii ushampa na kapagawa

wewe hizi chai tu
Mkuu huyo pichani ndio mleta hii post mbona kajibinua namna hiyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom