Mume wangu ananilalamikia nilijifunza wapi penzi ninalompa

Mume wangu ananilalamikia nilijifunza wapi penzi ninalompa

[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] duuuh haya majanga
 
395486.jpg





Kuna penzi natamani kumpa mume wangu ila nasita

mara hii ushampa na kapagawa


wewe mkuu hizi chai tu [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
naomba na mimi hiyo kitu uliyompa
 
Unayasoma mitandaoni, na ndio unajaribisha nae. So muulize kama anapenda utazidi kujiongeza. kamwe hakuna kusema kama ulijifunzia kwa mwanaume mwingine, kamwe hakuna kumwambia kama unampenda na unapenda ndoa yako.
 
Kuna ufanano wa hali ya juu na post za monicca!
 
Wachangamsha genge utawajua tu .......Leo kaja na hiki kesho kile......but ukiwa muongo jitahidi sana uwe na kumbukumbu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom