Ghwalamusha sebho0713 mjini kuna sodoma na gomora mungu tupe macho tuone tunayo yatenda ni chukizo mbele yako
Hapo kwenye avatar napenda hiyo style ya Twanga pepeta,tena iwe jikoni huku unapika.Ujasiri ulinitoa woga na nikampa mume wangu penzi lililokua linanitesa kwa sasa nafurahia maana nimekua karibu nae sana na yeye pia ameongeza apetait ya kufanya mapenzi na amekua na wivu sana na mimi kwa sasa mpaka imepelekea nakosa Uhuru niliokua nao zamani, ila kuna maswali kila tuwapo faragha ananiuliza huu mchezo nilijifunzia wapi? Nashindwa kumjibu maana pia na wasiwasi akijua je nimjibuje ?
Naomba ushauri.
YaaniShetan yupo kazini
Amwambie alijifunza kwa x-wakemkuu si ulituambia ulishatumia sana hiyo na ex wako ? kwanimumeo hakuona imetumika mpaka aulize? usimjibu
Mwambie ukweli ulijifunza kwa x-wakoUjasiri ulinitoa woga na nikampa mume wangu penzi lililokua linanitesa kwa sasa nafurahia maana nimekua karibu nae sana na yeye pia ameongeza apetait ya kufanya mapenzi na amekua na wivu sana na mimi kwa sasa mpaka imepelekea nakosa Uhuru niliokua nao zamani, ila kuna maswali kila tuwapo faragha ananiuliza huu mchezo nilijifunzia wapi? Nashindwa kumjibu maana pia na wasiwasi akijua je nimjibuje ?
Naomba ushauri.
Ha ha ha kesi hiyoAmwambie alijifunza kwa x-wake
Haiwezi kuwa kesi maana mmewe ameshanogewa na mchezo wa kishetaniHa ha ha kesi hiyo
Kuna mchamungu mmoja kwenye ndoto alitokewa na shetani akawa anamuuliza vp yupo na walimwengu shetani akajibu zamani nilikuwa napata tabu sana kuwafundisha wanadamu kuwapoteza wenzao lakini siku hizi wanadamu ndio wananifundisha mbinu za kuwapoteza wenzaohakika shetani yuko beach anapunga upepo.......
Ujasiri ulinitoa woga na nikampa mume wangu penzi lililokua linanitesa kwa sasa nafurahia maana nimekua karibu nae sana na yeye pia ameongeza apetait ya kufanya mapenzi na amekua na wivu sana na mimi kwa sasa mpaka imepelekea nakosa Uhuru niliokua nao zamani, ila kuna maswali kila tuwapo faragha ananiuliza huu mchezo nilijifunzia wapi? Nashindwa kumjibu maana pia na wasiwasi akijua je nimjibuje ?
Naomba ushauri.