Mmmmh...!hilo linawezekana.Kwa hiyo avatar yako lazima ulimpa ule mtandao wa 0714!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa unamasihara sana.Umembadilishia gia angani???
Unasema voda. Kuna pipo wana HALOTELKakuta tigo imetanuka sana kama voda?!
Mkuu mi nasubiri atakavyokua anaanza kuvaa nepi na pampasi alete mrejesho pia [emoji16]Hii ni series....!! which season and episode.