Mume wangu anacheat nifanyeje?

Fuata ushauri huu ujimalize kabisa.Mie najua unampenda ndiyo maana unaomba ushauri.Je kabla hamjafunga ndoa, hii si ndiyo ilikuwa tabia yake mpaka na wewe akakupata?nauliza tena, sio kwamba mimba ndiyo imemlazimisha kukuoa.Ukiolewa na mwanaume kiwembe, na ndoa yenu ikawa imekuja kwa sababu ya ujauzito, haka ka mchezo ka chovya chovya atachukua muda kukaacha.Sasa kama uliolewa kwa staili hii, pole sana, sijui utafanyaje, maana jamaa ataendelea kuonja na kuacha.Au jamaa kakuchoka ndiyo maana anafanya vituko hivi ili utambae? kwani mna watoto?nadhani hapa maswali ni mengi kabla haujaamua kuondoka.Kucheat ni tabia, kama hujaizoea itakushinda tu.yataka uzoefu, utajiumiza bure kwa kuwa huko utaenda kwa ajili ya kulipiza kisasi na hutakuwa na furaha kamwe.
 

ah wapi? Anakuzuga tu huyo. Nani kakwambia ni rahisi kuvunja mahusiano ya nje. Cha msingi ndani amani itawale kama mtu anapiga nje, hiyo ni starehe yake mwenyewe wewe isikupe pressure wala nini! Kama unataka mume wako mwenyewe basi muweke mfukoni.
Midume kibao mihuni na wake zao ni very good wives maskini.
 
 

Sasa kama anacheat, na wewe uko ndani na anakuhudumia kila kitu, ya nini kumfuatilia?
 

Na wewe anza ku-cheat. Jino kwa jino. Tafuta serengeti boys. You only live once!!! Take note.
 
Pole huyu mume nae, hadi ndani kwenu? hapa fikiria mara mbili mrembo
 

Sijui kwa nini unapata stress za bure. Kama ana cheat na alikuweka ndani, akakujali na kukuoa, aliwaacha wengi akakuchagua wewe, ya nini kumfuatilia kama anakupa kila kitu? Iwapo unakuuma, basi achana nae wapishe wenzako wale!

Kitu cha kujali nia kama anakupenda basi. Ukimfuatilia mwanaume kwa kila kona ni mbaya sana. Alichokosea ni kumleta mwanamke ndani wakati ulipokwenda kujifungua hilo ni kosa kubwa. Lakini la kuwa na kimada, haa weeee!
 
kweli nimeamini kuna wake duniani.
 
my dia hapa tatizo ni moja tu wapo kitandani wanacheza sebene simu zinapigwa za wanawake.
hakyamungu mi hata miguu haipanuki.
hao mahawara zake hawajui kuwa ana mke??? huo ni udhalilishaji
 
Ndicho alichofanya mama yako kumkeep baba yako?????

Ingawaje hii jibu imeonekana kama jibu la hasira kutokana na alichojibu mhusika mimi nakuunga mkono na mimi nakusaidia swali kwamba ndivyo ilivyokuwa kwa mother ake
 

Dada dont try kucheat kwani utakuwa unajiharibia zaidi na hii haina tofauti ya kuzima moto kwa kutumia petroli. Tit for tat mara nyingi haina mshindi. Tulia tulia elewa tu wanaume ndio zao na wengi ni wale ambao wanafanya haya mambo kwa siri sana tena wakila hata machangu. usijiumize ukaacha ndoa yako ila anza kufanya maombi na hudhuria strong prayer sessions kumwomba Bwana Yesu ninaamini soething will happen
 

I wish kama wanaume wangetambua changamoto ambazo akina mama wanapitia ktk ujauzito hadi kujifungua.

Badala yake baadhi ya wanaume wamekuwa ni watu wa kulalamika sana kipindi hiki pamoja na kutoka nje ya ndoa.. Inaudhi sana pale unaposhindwa kumtia moyo na kumsaidia mwenzio ktk safari hyo na jukumu zito badala yake oo mke wangu ana mauziiii ya ujauzito na blaaa blaaa nying.

Unakaa unasubiri mtoto azaliwe uanze kujishaua.. Wanaume wenye tabia hii badilikeni. Hamjui tu vidonda mnavyowasababishia wenzi wenu..


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
yaaa ni kweli ndugu, mi nashangaa wa2 humu mara oooh zidisha manjonjo kitandani nimejikuta nacheka 2. mwanaume ukizidisha manjono atatafuta ambaye hana manjonjo
chezeyaa wanaume ww. bora kutoolewa 2. maisha ya usingle mazurije no stress aiseee.

Wonders wonders wonders wonders!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
my dia hapa tatizo ni moja tu wapo kitandani wanacheza sebene simu zinapigwa za wanawake.
hakyamungu mi hata miguu haipanuki.
hao mahawara zake hawajui kuwa ana mke??? huo ni udhalilishaji

Hapo nakubaliana na wewe, ila iwapo mwanaume amekwenda kuoga na wewe ukapekuwa simu yake, hilo ni la kujitakia utakachokiona kwenye sms zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…