Mume wangu anacheat nifanyeje?

kama mmefunga ndoa ya dini mpeleke kwa uongoz imamu au mzee wa dini pia uwe mtaratibu usimkemee kwani inaweza kumfukuza kabisa pia mwombee sana kwa mungu lia sana machoz yako hayata enda bure mmeo atarudi anatembelea magoti kuomba msamaha.
 
Jadilini mjue tatizo liko wapi na kama kunakosa basi sameheaneni muaze safari mpya
 

Uwe unamwekea Condom mfukoni awe anazitumia
 
Mh, azidishe mapenzi kwa anayemcheat? au ni kwa kujifanya? coz tayari roho unauma, hayo mapenzi yanazidishwaje knowing mtu anakudanganya na hakuheshimu? si ndo atakuona mjinga kabisa?
 

Sasa utaishije bila mume? Inawezekana kweli?
 

Umejichunguza tabia yako? Wanawake wengi wanalalamika hooo mme wangu ana cheat..nk nk. Kwanini acheat baada ya kukuoa? Wengi mnajisahau sana ndo maana waume zenu wanacheat huko nje. Some thread hapa zina ushauri tele..
 
yaaa ni kweli ndugu, mi nashangaa wa2 humu mara oooh zidisha manjonjo kitandani nimejikuta nacheka 2. mwanaume ukizidisha manjono atatafuta ambaye hana manjonjo
chezeyaa wanaume ww. bora kutoolewa 2. maisha ya usingle mazurije no stress aiseee.
 

mh we ushaanza kumcheat pia, acha kuzuga. Anyway, sidhani kama anakucheat, anajipa tu raha ya dunia na kufaidi ujana so u can either join him or simply watch him as he enjoys!
 

Kuna ukweli hapa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
yaaa ni kweli ndugu, mi nashangaa wa2 humu mara oooh zidisha manjonjo kitandani nimejikuta nacheka 2. Mwanaume ukizidisha manjono atatafuta ambaye hana manjonjo
chezeyaa wanaume ww. Bora kutoolewa 2. Maisha ya usingle mazurije no stress aiseee.

mh maisha ya usingle ndo stress mara 2
 
angekuwa hakupendi angekuacha huyo aliyenaye wakupoozea tu
 
umejichunguza tabia yako? Wanawake wengi wanalalamika hooo mme wangu ana cheat..nk nk. Kwanini acheat baada ya kukuoa? Wengi mnajisahau sana ndo maana waume zenu wanacheat huko nje. Some thread hapa zina ushauri tele..

tatizo ni kwamba watu wengi wanadhani mume au hata mke akicheat then mwenzie ana matatizo. Kwa taarifa yenu, watu hucheat sana tu out of boredom, na kutafuta new vionjo. Kama mtu ana mke portable atatafuta bonge, na kama ana bonge then ataonja nje portable. Period
 
Pole sana, inafurahisha na kutia moyo pale mpenzi/mume anapokuwa amekosea ukagundua anakuwa anajutia kosa na kukuonyesha kuwa kakukosea, lakini sio majibu ya mkato, na ya uongo,huyu anahitaji kupelekwa kwa wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…