Mume wangu ana kisirani

Asante
 
Concise words of wisdom

Big-up my sic[emoji8][emoji8][emoji8]
 
Njoo kwangu..
 
Asante kwa ushauri Dia nitaufanyia kaz
 
Hyo ni mwanaume au mvulana?
Mwanaume utamnuniaje mkeo aisee..
 
Mama la mama, mwambie aache kisirani , hizo ni tabia za kike, afu ndoa ni kuvumiliana, ww mvumilie tu, huku ukimwitia wazazi wake wamhoji kwanini ananuna?
Unajua kuna watu wakikosea ukwashtakia kwa wazazi wao ndo unakuwa km umetangaza vita kati yako na wazazi wengi huona watoto wao wapo sahihi
 
Mpeleke outing....mpe mechi ya ugenini hukohuko...then muongeleshe, mchekeshe...
Akiendelea kununa bac atakua na pepo
 
Naona umeshindwa kutimiza wajibu wako wa ndani ya nyumba kama mwanamke umeamua kuja kutangatanga huku mama la mama3
 
Umeolewa au Ni mume wako wa ndani ya Uchumba? Mitongonazaje? Mliowanaje?
 
Hicho kisirani kakianza ndani ya ndoa au alikua hivyo hata kabla???? Jichunguze wewe kwanza ili iwe rahisi kumtafutia tiba
Fanya utafiti mdogo kujua kama ndio tabia (unaweza uliza watu wake wa karibu kijanja wasijue dhamira yako)
Ukipata majibu kama ni tabia yake toka zamani badala ya kuhusisha tafuta mtu wa pschology awasaidie na uwe mvumilivu (kama anakupenda atabadilika polepole) ila kama bado jeuri fanya maamuzi magumu....
Mtu wa kukublock mkewe mpaka mitandao ya kijamii na maendeleo anasitisha lazima ana tatizo sehemu fulani.
Najaribu kujiuliza huo uchumba mlivuka vipi
 
Duh! Pole sana mkuu.
 
Nina ndugu yangu ana hilo tatizo, yani namhurumia my wife wake. Wanaweza kukaa six months jamaa limenuna hata kusalimiana na my wife wake tu ni shida.

Huo ni ugonjwa mbaya sana katika saikolojia ya binadamu na mara nyingi watu wa hivyo hawabadiliki. How on earth ukae na dude rohoni kwa miezi sita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…