Mkuu umemaliza kila kitu!!!hayo yote uliyoeleza ndo chanzo cha huyo mume kumchunia mkewe!Hilo ni kawaida kwenye mimba yabkwanza na hata ya pili. Kwanza ulivyobeba ujauzito possibly umebadilika either hujijali, ama unamjibu vibaya ama umekuwa mzembe. Na yawezekana ulikatalia kidude chake cha kuchezea, unajua sisi watoto tunapenda michezo. Na kwa vile ni mimba ya kwanza mume anakuwa hana psychological experience ya mama mwenye mimba. Hivyo mabadiliko hayo ana hisi unamfanyia makusudi, na yawezekana anagegeda nje. Hata mm ilinitokea hiyo tulikuwa tunagombana kila siku. Maana mke alikuwa mkali balaa so nikaona bora niwe narudi usiku sana
Thank you my dear... Hope nawe ndoa yako inaamani. Kama sivo Mungu aingilie kati na kama bado hujaingia huko basi Mungu akukutanishe na yule maalum aliemwandaa kwajili yako...Natamani ningekuwa karibu yako ningekupatia zawadi ujue. Nani alikupatia hiyo hekima, ndoa yako itakuwa na amani kweli. Unajua sisi wanaume mkeo akikuheshimu na kuonesha yupo kwa ajili yako, hata akatize mwanamke mbele yako mrembo hauwezi kumtamani.
Unastahili kuwa mke wa mume anayejitambua
Jirani yangu nahamu ya mango juice mwenzioJirani nani kakuficha?
Mwingine anakuamsha usiku anataka chips kuku, unaenda kutafuta chips unaleta anakutupia usoni anasema anataka sandwich toka samakisamaki ilhali nyie mnakaa mbezi kibanda cha mkaa.Pole sana ila ujitahidi tu uende clinic ni muhimu sana ili kujua kama mtoto anaendelea vizuri au la. Nashindwa kumuelewa mumeo kwa kushindwa hata kukuletea chakula ukipendacho kwa kudai kwamba utamzeesha! Baadhi ya wanaume wanashangaza sana.
Jamani tullio ndan ya ndoa tunafahamu. Mimi natamani hata kuachana. Sometimes mwanamke anaona anaweza kuwa juu ya mwanamme. Hata mimi leo ni siku ya 5,siongei na mke wangu. Tatizo ndo hilo kutaka kunipanda kichwani. Sitaruhusu hiyo Hali. Mimi siyo bwege. Wanawake badilikeni. Mnasababisha sana wanaume kuwa na maamuzi mbadala yaliyo mengi vichwani meeting.
Mwingine anakuamsha usiku anataka chips kuku, unaenda kutafuta chips unaleta anakutupia usoni anasema anataka sandwich toka samakisamaki ilhali nyie mnakaa mbezi kibanda cha mkaa.
Jamaa kajifikiria atoke mbezi hadi samakisamaki usiku saa Sita tena na bodaboda, akaona anazeeshwa tuuuu Ikabidi asuse tu mana hakuna namna!!!
Hatari sanaKama alikuwa hataki kuzeeshwa basi angebaki single ili aendelee kuwa kijana milele.
😉😉
Hatari sana
Urewedi mtani? Nani kakuficha?Mimba ya miezi sita hujaenda clinic? Fanya haraka uanze clinic, muende wote ili mpimwe maradhi kama HIV, muhimu sana kwenda kujua afya zenu na kiumbe kilichopo tumboni.
Huyo jamaa yako sijui nimuite vipi, huwezi kumnunia mke mwenye ujauzito, unless kwa zile imani zetu za "mimba imemkataa", otherwise hana sababu hata kama wewe ndio una makosa.
Nirewedi mtani, nifichwe na nani wakati wewe unanikimbia?Urewedi mtani? Nani kakuficha?
Jirani yangu uombe nn nikunyime..Haya njoo chukua mamaJirani yangu nahamu ya mango juice mwenzio
Shikamoo mpendwaUrewedi mtani? Nani kakuficha?