hamuwataki ama mnajua kwamba ni ngumu kuwapata??
imagine mwanaume ukutanapo nae unauhakika kwamba ni msafi, wallet inasoma na hana shida manake nyumban kaacha mambo safi wafikiri utamkataa?? ishu ipo kwa hao mnaowaitta MARIO hao hata Kibonde kawasema leo. wanakaa kusubiri muwaveshe, muwalishe na pakulala juu. mwanaume hata ndevu hawez kujinyoa wafikiri utahangaika nae??
siku zote mwanume mwenye mke anajulikana hata aketipo kwenye vikao vya bia.
cc Dark City Mtambuzi, Asprin, Kaizer, Mzee wa Rula paka jimmy na wanaume wooote waliooa.
GRACE popote ulipo ujue kuwa mume wako ananitaka,nimevumilia vya kutosha,nimemkanya hasikii,
Message sent
Hahah mume wa grace mchovu nn?hana mahela ya kukuhonga angekuwa nazo wala usingekuja huku kumweleza grace,ila wanaume wachovu hawana mvuto aisee,mwenyewe ana boxer 1 ww atakupa nn?wanajiaibisha kutokea warembo ilhal wamechokaaaa
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhh hii dunia bwana ina vituko kibao,
Hata hivyo, haya mambo siyo rahisi namna hiyo....
Ila ukweli unabaki pale pale. Ni wanaume wachache sana ambao wameoa, na wana familia zao ambao wanatokea kumpenda kweli kweli (kwa maana ya kupenda) mwanamke mwingine nje ya ndoa...Wanachokitafuta ni mahali pa kupunguzia mizigo yao na kuogeza idadi...
Siyo jambo la kujisifia hata kidogo kutembea na mtu ambaye yuko kwenye ndoa...
Naomba niishie hapa...
Babu DC!!
hahahah, jamani Grace mkanye mumeo asimsumbue bidada wa watu. Ila bidada nikuambie kitu? Akikusumbua tena basi mpige picha ya kadudu kake halafu ukabandike kwenye noticeboard ya manispaa ndipo ataacha kukusumbua.
Ila hakuhongi? Maana huyo Grace nasikia kajengewa bonge la mjengo na hamsumbui sumbui sana kama weye!
Nasikia magonjwa ya akili siku hizi ni tatizo kubwa sana!
hahahah, jamani Grace mkanye mumeo asimsumbue bidada wa watu. Ila bidada nikuambie kitu? Akikusumbua tena basi mpige picha ya kadudu kake halafu ukabandike kwenye noticeboard ya manispaa ndipo ataacha kukusumbua.
Ila hakuhongi? Maana huyo Grace nasikia kajengewa bonge la mjengo na hamsumbui sumbui sana kama weye!
...wait, message sent but not delivered, let Grace read the message before you decide to strip for her hubby!GRACE popote ulipo ujue kuwa mume wako ananitaka,nimevumilia vya kutosha,nimemkanya hasikii,
Message sent
unapenda hayo kimbwekasi anakupa dushelele uhangaike nalo .................!:a s wink: