Mume wake dada hataki kunipa mtaji

angalia asikitatue marinda
 
Mtaji wanatakiwa kukupa wazazi wako
Wengine wakikupa ni hisani sio lazima
 
Nyinyi ndio team bodaboda sio ajira🀣🀣🀣
 

Yule uncle wako ana umri gani?
 
Kaka komaa usiondoke bila kukupa mtaji , kwann walikuchukua kijijini wakati wanajua hawawezi kukusaidia ,sema umezingua kugoma kula,kula Sana Kaka
 
Kaka ushauri unaompa sio mzuri,atoke aende wapi
 
Wanashindwa kujibana hata mwezi ili mimi nipate mtaji? Leo tumezozana sana, walivyo na tabia mbaya, wameanzisha haya malumbano wakati wa kula. Hapa nipo na msongo wa mawazo, pia njaa ni kali maana nimegoma kula chakula chao usiku.
mmeolewa wote, Kijana 29 yrs huna akili kiasi hiki?
 
Kaka huu ushauri sio mzuri umemuonea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…