sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,539
- 9,462
Jamii forum Namba nyingine kabisa, we acha tu!
Mkuu mie niliposoma tu kwenye gazeti nikajua nikiingia JF nitayaona majina ya wahusika.. Long live JF..
Jamii forum Namba nyingine kabisa, we acha tu!
Dada (kama kweli msichana) uwe unasoma kabla ya kufoka, imeishaandikwa kitambo
Mkuu mie niliposoma tu kwenye gazeti nikajua nikiingia JF nitayaona majina ya wahusika.. Long live JF..
Kama swali limeishajibiwa tayari na mwanafunzi mwingine hakuna haja ya kuuliza tena, siku nyingine siyo unadandia gari kwa mbele "utagongwa dada".Jaribu kuelewa vitu rahisi. Huyo niliye mquote mimi ameandika F.M, hakuandika Flora Mbasha na ndiye niliyetaka kumfikishia ujumbe kwamba hana sababu ya kuficha jina la mhusika. Sasa wewe pofu linakutoka kwa nini sijui.
Tiba
Acha uongo wako wewe,ama hujui kusoma??? Wapi wameandika kwenye habari hiyo kuwa mke na mume wote ni waimbaji?Acha upotoshaji ndugu yangu
Ni kweli mrembo ila shetani ni nuksi sometimes.
Ndo nini sasa hii;
Sikatai wamesema mume wa mwimbaji maarufu na hawajasema kuwa na mwanaume ni mwimbaji (hapo wewe ndiyo unatakiwa kutumia common sense kwa kurukia eti ni Flora Mbasha) maana mwandishi amesema mume wa mwimbaji maarufu kwa hiyo wewe ukaunganisha eti wote ni waambaji wakati mwandishi hajasema kuwa wote ni waimbaji.Kama ni mume wa mwimbaji maarufu hata Christina Shusho nae ni mwimbaji maarufu na ana mume pia na zaidi nae anakaa Tabata so kwa nini hukumsema yeye ukakimbilia kwa Flora Mbasha wakati mwandishi ameshasema ni mume wa mwimbaji maarufu na hajasema kuwa wote mke na mume ni waimbaji?may be wewe ndo hujui kusoma. Heading inasema mwimbaji abaka.ukianza kusoma utaona wamesema mume wa mwimbaji maarufu so ukiunga utaona wote ni myuzishansi. Tumia common sense