Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Dada (kama kweli msichana) uwe unasoma kabla ya kufoka, imeishaandikwa kitambo

Jaribu kuelewa vitu rahisi. Huyo niliye mquote mimi ameandika F.M, hakuandika Flora Mbasha na ndiye niliyetaka kumfikishia ujumbe kwamba hana sababu ya kuficha jina la mhusika. Sasa wewe pofu linakutoka kwa nini sijui.

Tiba
 
Mkuu mie niliposoma tu kwenye gazeti nikajua nikiingia JF nitayaona majina ya wahusika.. Long live JF..

We kama mimi baada ya kuiona nikasema ngoja niende JF, Basi sikuiona lkn nikasema lazima ipo, nikaamua ku-google "Mwimbaji injili + Jamiiforums" mara kitu hicho, nikaperuzi nikakutana na J. M. nikashuka kidogo mara jina hilo! We acha tu!
 
Jaribu kuelewa vitu rahisi. Huyo niliye mquote mimi ameandika F.M, hakuandika Flora Mbasha na ndiye niliyetaka kumfikishia ujumbe kwamba hana sababu ya kuficha jina la mhusika. Sasa wewe pofu linakutoka kwa nini sijui.

Tiba
Kama swali limeishajibiwa tayari na mwanafunzi mwingine hakuna haja ya kuuliza tena, siku nyingine siyo unadandia gari kwa mbele "utagongwa dada".
 
Acha uongo wako wewe,ama hujui kusoma??? Wapi wameandika kwenye habari hiyo kuwa mke na mume wote ni waimbaji?Acha upotoshaji ndugu yangu

may be wewe ndo hujui kusoma. Heading inasema mwimbaji abaka.ukianza kusoma utaona wamesema mume wa mwimbaji maarufu so ukiunga utaona wote ni myuzishansi. Tumia common sense
 
jamani tusisahau ishu ya Vicky kamata,,
dah!,ule mti wa kati ule, bila ule nafkiri dunia pangekua mahala salama sana pa kuishi.
 
Hawa akina F.M vipi ???? Huyu mdogo wake aliyebakwa si ndio yule ametengeneza movie ya wakubwa Mrisho Ngassa. Kwenye hiyo movie anaoneka kumudu vyema lakini!!!!!!
 
Dar es Salaam. Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).

Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara tatu na kumsababishia maumivu makali.

Binti huyo alifika katika kituo hicho cha polisi akiwa na ndugu zake wawili ambao walilalamika kwamba kulikuwa na jitihada kubwa kutoka upande wa mtuhumiwa wa kuzima kesi hiyo.

Akizungumza na gazeti hili nje ya kituo hicho, binti huyo alisema shemejiye alimbaka mara ya kwanza, Ijumaa iliyopita na Jumapili alipombaka mara mbili ndani ya gari.

Alisema mara ya kwanza alikaa kimya baada ya mtuhumiwa kumtishia kwamba angemdhuru kama angetoa taarifa ya tukio hilo alilofanyiwa wakiwa sebuleni nyumbani kwako Tabata Kimanga, lakini aliamua kutoa taarifa kwa ndugu zake baada ya kubakwa mara ya pili.

Polisi katika kituo hicho walithibitisha kupokea taarifa za tukio hilo lakini walishindwa kwenda kumkamata mtuhumiwa kwa maelezo kwamba hawakuwa na askari wa kutosha na kuahidi kwamba angekamatwa jana. Hata hivyo, hadi jana mtuhumiwa huyo alikuwa hajakamatwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi kutwa nzima ya jana hakupatikana kuzungumzia tukio hilo na kila simu yake ilipopigwa (kati ya saa nane mchana na saa mbili usiku), ilipokewa na msaidizi wake akisema bosi wake ana kazi nyingine.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema hakuwa amepokea taarifa yoyote ya aina hiyo.

Mwimbaji anena

Alipoulizwa jana, mwimbaji huyo alisema kwa sasa hawezi kuzungumzia kwa undani tuhuma zinazomkabili mumewe na kwamba alikuwa anajisikia vibaya kutokana na tukio hilo kuhusisha watu wake wa karibu.

"Of course (bila shaka), hili sio tukio zuri. Kwa sasa sina uwezo wa kuzungumza kwa sababu hili suala lipo Polisi. I am confused (nimechanganyikiwa), ukizingatia kwamba linasemekana kutokea wakati sikuwepo nyumbani, naomba tuzungumze baada ya akili kutulia," alisema.

Kadhalika, jana saa 6:20 mchana, gazeti hili lilifanikiwa kuzungumza na mtuhumiwa ambaye baada ya kupewa maelezo kuhusu tuhuma zinazomkabili alisema: "Samahani sana ujue sikusikii kabisa," kisha alikata simu.

ImageUploadedByJamiiForums1401264322.836743.jpg
someni mwananchi ya leo!!!!!!kala shemeji yake


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
duuh! juzi juzi tu walikuwa wakijigamba kwenye sporah show ati wana mapenzi yasiyo na shaka...
 
may be wewe ndo hujui kusoma. Heading inasema mwimbaji abaka.ukianza kusoma utaona wamesema mume wa mwimbaji maarufu so ukiunga utaona wote ni myuzishansi. Tumia common sense
Sikatai wamesema mume wa mwimbaji maarufu na hawajasema kuwa na mwanaume ni mwimbaji (hapo wewe ndiyo unatakiwa kutumia common sense kwa kurukia eti ni Flora Mbasha) maana mwandishi amesema mume wa mwimbaji maarufu kwa hiyo wewe ukaunganisha eti wote ni waambaji wakati mwandishi hajasema kuwa wote ni waimbaji.Kama ni mume wa mwimbaji maarufu hata Christina Shusho nae ni mwimbaji maarufu na ana mume pia na zaidi nae anakaa Tabata so kwa nini hukumsema yeye ukakimbilia kwa Flora Mbasha wakati mwandishi ameshasema ni mume wa mwimbaji maarufu na hajasema kuwa wote mke na mume ni waimbaji?
 
Back
Top Bottom