Mume wa mtu

......Duuh! Mwanangu akifika umri wa kwenda chuo sijui atakuwa Malaya na omba omba hivi hivi?. Namuomba Mungu amuepushe na janga hili la watoto wa chuo wa aina hii?
 
niliambiwa wanafunzi wa udsm hall 3 wanajiuza nikawa siamini haya sasa.
 
Huoni hatia kula bila kulipa?

........Mkuu, huwa hawasemagi vyote hao!. Unadhani kwa jinsi jamaa alivyompata kiulaini namna ile atakuwa ameshindwa kumla kweli?

Amejaribu ku-skip baadhi ya "scene" katika movie yake ili ilete ladha aliyokusudia.
 
Nimekupata mkuu.
Nilikuwa najaribu kupiga picha naona haiwezekani. Kwa zama hizi ule vitu vya watu halafu usitoe!!?
 
kwani ikiwa ameliwa angeandika hapa mngemfabya nini?
tatizo hizi fake ids mnaona kama mtu huyu hapa!
angalieni morals za hii story!chaaaa jamani angekyaa amempa kwa mfano angesena ingemuathiri nini?
kipi cha ajabu hapo?
mume wa mtu kwake no na kweli ni.no!
mwingine angekula kichwa kweli ndio, sio yeye sasa!
 
hongera mamy kwa uamuz wako wa busara. hakuna kitu kibaya kama kumfanya ntu mwingne ateseke. mi nilishajiapiza mume wa mtu kwabgu sumu ba atakaemchukua wangu na alaaniwe.
 
Mtoa post we fa-la- sana,kwanini ustumie lugha moja,au hako ka kingereza kako kanakunyegesha sana?

afadhali mkuu umemuambia wewe kaniboa sana mpuuzi huyu kama ni kingereza basi aongee kingereza sio kutuletea upashkunata wake mfyuuuuuuuuuu!
 
......Duuh! Mwanangu akifika umri wa kwenda chuo sijui atakuwa Malaya na omba omba hivi hivi?. Namuomba Mungu amuepushe na janga hili la watoto wa chuo wa aina hii?

Hata huko chuo anaweza asifike labda umuwahishe kuanza huduma ya uzazi wa mpango.
 
Hakuna mwanaume siku hizi wa kuhudumia miezi yote hiyo bila kupiga, umekuwa mama yake! Mademu wenyewe loose siku hizi, unapiga siku hiyo hiyo mliyokutana. Kamba hii
 
Ok course you are lacking something upstairs, hope you know that by now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…