mume wa mtu

mume wa mtu

huyo mwanaume hakupendi na he doesn't deserve you.
atakudanganyaje miaka 4? achana nae ASAP.
 
mtoa mada msome Lara moko na Lisa!....wenzio ndio tunamaliza masters hivyoooo,na ndoa mlangoni.....vumilia umalize shule,then sepa
 
Endelea tu kutumika kama kopo la KIWI...kutwa kung'arisha viatu wakati lenyewe jeusi tiii....mbaya zaidi likiisha matumizi latupwa kuleee.


nani atakeyeisha matumizi?dont you see this is like barter trade?nipe nikupe...akiisha matumizi na yeye atakuwa kashavuna vya kutosha
 
huyu jamaa atakuja kulia hawajui wanawake....yaani kamnunulia demu gari na anasomesha!!! ngoja bidada apate kijeba hapo chuo jamaa ataosoma namba....totoz wee kula tuu maraha na jamaa kwani papuchi kitu gani bana wee unapata elimu unambwaga ila angalia asine kukuomba tigo
 
Mwanaume Hawezi penda watu wawili.Anampenda mkewe anakutumia.Lini mtaelewa mwanaume halazimishwi kuoa anapenda ndio anaoa.Unapoteza Muda and get a life

NOT ALWAYS THE CASE!!!!!!!!!!!!!

Kuna watu waliwapenda watu kutoana na maisha wakaolewa na wengine nao wakaoa ilimradi tu, not in the name of love.

Kama anampenda mkewe kwa huyu student kagandia nini na gari katoa? Ukute mkewe anatumia TZ 11

Mkewe ndo hapendwi anatumiwa tu, sema its so sad for him kumbwaga after what they have been through ndo maana kajiweka kwa student. That isnt love bt Pity! He loves the student and pity the wife so inabidi aendelee kuwa na wote (Chungu lakini dawa)

Afterall moyo wa mtu ni kiza kinene! Neither the student nor the wife anaeweza kuwa na uhakika anapendwa yeye na hatumiki. All is possible!

IM JST SAYIN PEOPLE ITS NOT THAT KUWA NAUNGA MKONO UCHUKUAJI WA WAUME ZA WATU!
 
Mmmmh..! Haya maisha ukishakuwa mtu wa kumtegemea mwanaume kipesa umeumia..!
Mie wacha nife masikini hakyanan... Niligundua mwanaume niliyekuwa nae ana mke nilimuacha papo hapo..!
Sikujali pesa alizokuwa nazo au maahadi aliyonipa..!
Dunia hii ukiwa mtu wa kupenda vya bure itakugharimu sana..! Najua nafsi yako itakuwa inakusuta kila siku na utakuwa huna amani hata kama unaendesha gari la gharama kiasi gani..! Kwa nini uishi maisha ya wasiwasi jamani??
 
Nilikua napita tu ikabidi nisign in ili nilike hii,nimeipenda sana,hasa kuhusu bag la ben ten na vimkebe.
Ila fact is at least 90% of married men are cheating (openly or in secrecy)and the remaining 10% are considering to cheat in the future.Nisianze kuulizwa research ya wapi.hbr ndio hy kila mwanaume ajiulize yuko kundi lipi.
 
wewe bwana sema hako kagari kamekuzuzua umeona umefika huitaji kitu kingine,otherwise sioni kwa nini umeileta hii topic hapa,kama unaona kila kitu amekutimizia na huna haja nae muache subiri miezi sita tuone utasurvive vipi mtaani,FYI hawa masharobalo wanaokunyemelea humu na mtaani hata wese kwao ngumu,nachotaka kusema ukimwaga huyu baba ujue kuna consequences zake lazima ujihakikishie utazimudu na udogo wako....

wachunaji oyeee lol dhambi wanaziona kwako tu mdada hawaoni kuwa kuna kubwa jinga linaloamua kuacha kuendeleza familia yake na kugharamia kimada.

Hahahaaaa....mboni kazi atasaga mawe ndani ya miezi 6 mtaani.
 
ngoja mwenye mume halali ajue ndio utajua ufanyeje!
 
Huwa inaanza kidogo kidogo, leo unajiskia vibaya akiwa na mkewe, kesho tena unajisikia vibaya zaidi, kusho kutwa utaona hee mbona mkewe anazidi kuwa kikwazo, kwa nini niendelee kuumia hivi? kulikoni kwa nini nisifanye mbinu amwache mkewe? unaanza visa, au mashoga zako wakakushauri umwendee kwa mganga ili asimkumbuke tena mkewe etc(uchawi upo). hii ndio hatari kubwa ilioko mbele yako. Mengineyo Nadhiri yako ikaamue ndani yako.

nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
 
nani atakeyeisha matumizi?dont you see this is like barter trade?nipe nikupe...akiisha matumizi na yeye atakuwa kashavuna vya kutosha

Sasa mtu atembeaye na mume wa mtu halafu taarifa hizo anakuja kuzipata baada ya miaka minne bado tu huoni kama anatumika hapo!!!
In short kafanywa ni jamvi la wageni, linatumika tu kuwaweka kitako wageni pale tu wanapolihitaji...
 
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.

Kama huu mwaka wa kwanza ulipitia ile kawaida(O-level, A-level then chuo moja kwa moja) Ulianza kufanya ngono ukiwa form 3!!! Nahisi ulikuwa chini ya miaka 18.

Embu leta hii kesi kwangu kwanza tukamshtaki jamaa maana hapo kuna mpunga mwingi sana tukishinda kesi.
 
hivi vijimambo viko saana sio kwa mtu mmoja, wengine waviita small house, naridhika kabisa kwamba ulimjua ni mume wa mtu kwa muda uliokaa naye, sababu miaka minne hujamfahamu huyu mwanababa rijali au hata kujua mwelekeo wa malove/ mahusiano yenu inatia wasiwasi kwa mwanamke wa kisasa kama wewe. cha msingi kukuruka tu mdada toa huduma pata chako maisha mbele kwa mbele, usimwamshe alielala ila ujue na UWEKE KICHWANI MME WA MTU NI SUMU, siku yakikufika usishangae, (kukimbia nje bila viwalo hahaha muziki wake we sikia kwa wengine) :frusty:
 
ngoja mwenye mume halali ajue ndio utajua ufanyeje!

ni bahati nzuri mwenye mali halali hayuko humu ila isiwe sababu, sababu za mwizi siku hizi zimepungua ni siku 15 tu kwisha.siyo 40 tena.
 
Back
Top Bottom