mume wa mtu

mume wa mtu

Halooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO!

Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi.

Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100%

Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.
Hilo nalo neno
 
endelea naye kwani hakuna tatizo!!mwambie aifanye official na mkewe akufahamu!otherwise ukimpiga kibuti chuo hutamaliza na gari atakunyang'anya!!
 
sidhani km unauzoefu wowote, binti anasema ashanunuliwa gari na shule kapelekwa! umbu nambie hicho kitu ambacho huyo mwanaume ashapata! yawezekana mwanzoni alimficha ili asijekutolewa nje!
ndugu unelewa kiswahili vizuri au ubishi umekujaa -nimesema kwa udhoefu wangu inwezekana ni 1/121,836 ya member wa humu tu ya ukweli ina maana 121,835/121,836 ya member humu jf inawezekana ni uongo be brave mkuu
 
brilliant
wanaume wanaokula nje wanapenda sana support ya namna hii
ukishajali wanae na familia yake utapata kila utakacho kwa uwezo wake...

but I mean but.....jiangalie nafsi yako na dini yako

Halooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO!

Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi.

Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100%

Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.
 
ndugu unelewa kiswahili vizuri au ubishi umekujaa -nimesema kwa udhoefu wangu inwezekana ni 1/121,836 ya member wa humu tu ya ukweli ina maana 121,835/121,836 ya member humu jf inawezekana ni uongo be brave mkuu

ukiona mwanaume amekuficha kuwa ana mke toka mwanzo akaja kukuambia bada ya muda fulani jua kwamba
1.alichokuwa anakitaka keshakipata then
2.amekuchoka anashindwa tu kusema bye from my experience

Kiswahili kigumu Nivea nisaidie, kifupi sijakuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Nimependa kwenye bold....sijuhi wanaoolewa kwa style hiyo nao wakichitiwa wanalalamika au wanakula bati.

Kutenda kosa ni kosa...
Kutenda kosa bila kujua ni kosa is forgivable
Kuendelea kutenda kosa huku unajua ni kosa......., well wewe ni mtu mzima na unawajibika kwa vitendo vyako, and feeling bad is normal sasa wewe unaiba vitu vya watu alafu unataka u-feel normal ?

Inaonyesha wewe bado una ubidamu na haujawa "total evil" bado roho inakusuta.., kama swali lako ni vipi unataka roho isikusute, just pretend kwamba unafanya jambo jema and he is better off kuliko huko alipo (although utakuwa unajidanganya)

Getting married to a man who cheats his wife, you will be married to a man who cheats his wife.
 
Hapa mwenye uzi yuko wapi? Nataka nimshauri in private
 
kwa mara ya kwanza tangu nikufahamu lara 1 comment yako imenimove. leo i agree with u 100%
 
Last edited by a moderator:
Unampenda jamaa au unapenda pesa zake? Asingekununulia hiyo gari cjui kama ungekuja kulialia hapa, tatizo la mabinti wa cku mnapenda sana pesa, go and spread ur legs kwa wanaume wengine ambao hawajaoa watakupa gari nyingine.
 
wewe bwana sema hako kagari kamekuzuzua umeona umefika huitaji kitu kingine,otherwise sioni kwa nini umeileta hii topic hapa,kama unaona kila kitu amekutimizia na huna haja nae muache subiri miezi sita tuone utasurvive vipi mtaani,FYI hawa masharobalo wanaokunyemelea humu na mtaani hata wese kwao ngumu,nachotaka kusema ukimwaga huyu baba ujue kuna consequences zake lazima ujihakikishie utazimudu na udogo wako....

wachunaji oyeee lol dhambi wanaziona kwako tu mdada hawaoni kuwa kuna kubwa jinga linaloamua kuacha kuendeleza familia yake na kugharamia kimada.
 
Huo uongo huwez kukaa miaka 4 na mtu ndipo ugundue kuwa kaoa!!! Ulikuwa unafahamu ameoa sema ulitaka hvyo vitu!! Enderea nae tu.....
 
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
Mwanaume Hawezi penda watu wawili.Anampenda mkewe anakutumia.Lini mtaelewa mwanaume halazimishwi kuoa anapenda ndio anaoa.Unapoteza Muda and get a life
 
Tel us about his family.

Kama anawatunza equally/better than you then awachukue nyote tu muwe wake zake. Hii mambo ya mke mmoja wazungu wametuharibia sana...sensa yenyewe inaonyesha tulivyo endangered species.
 
Angalia dini yako na yake kama zinaruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja, ikiwa haziruhusu hasa dini yako jiulize kati ya Mungu na mume wa mtu nani kwanza?
 
Endelea tu kutumika kama kopo la KIWI...kutwa kung'arisha viatu wakati lenyewe jeusi tiii....mbaya zaidi likiisha matumizi latupwa kuleee.
 
Usikurupuke soma kwanza , maana ukikurupuka ataacha kukulipia chuo halafu utakuwa hauna njia ya kujikwamua, soma , wakati huo unafanya maendeleo kama kujenga, then na wewe unatafuta mumeo , unamwambia umefika wakati wa kutengeneza familia yako na wewe. ila kwa sasa jifanye mjinga. Ni UJiNGA WAKE MWENYEWE KUTOA PESA AMBAZO ZILITAKIWA KUTUMIKA NA FAMILIA YAKE.

Asante, lisa! umewakilisha mawazo yangu
 
Halooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO!

Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi.

Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100%

Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.

Sawa kabisa....hata mimi nafanyiwaga hivyo hivyo na na enjoy sanaaaa.....sasa hivi nampigia kanyumba binju B. Ananisuuza sana huyu binti.
 
Back
Top Bottom