mume wa mtu

mume wa mtu

nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.

Du du du ud uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Ni mimi umeamua kunianika hapa JF, kuanzia leo nakata misaada yote, utakulaje nyasi!
 
Endelea tu kutumika kama kopo la KIWI...kutwa kung'arisha viatu wakati lenyewe jeusi tiii....mbaya zaidi likiisha matumizi latupwa kuleee.

ahahahhahahahahha mtai wangu mimi huyo!ila watu8 sijui huwa unawaza nini!KHA!
 
Last edited by a moderator:
ukiona mwanaume amekuficha kuwa ana mke toka mwanzo akaja kukuambia bada ya muda fulani jua kwamba
1.alichokuwa anakitaka keshakipata then
2.amekuchoka anashindwa tu kusema bye from my experience

hii yenyewe kabisa....ushachokwa...tafuta wako wa peke yako akuoe....utaiba mpk ln
 
mpe sumu mkewe afe uchukue goma zima zima moja kwa moja...but dont forget kulea watoto wake ok mummy?
 
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.

Ndugu huyo mwanaume namjua ni mme wa mtu yes ameoa kwa ndoa kanisan coz ni mkristo na hana watoto 2 ni wa 4 watatu ndo kazaa na mkewe na 1kazaa nje.alikuwa na mtoto mwingine 1ambaye ni marehem.huyo baba ni mfanyabiashara na hujakuwa nae kwenye mahusiano miaka hiyo 4 kama unavyodai means umedanganya.
huyo baba ambapo mkitembea we kama mtoto wake hajakununulia gari kama unavyodai nabaada ya kujua ukweli alikuambia alikudanganya coz anakupenda.kama unajua au hujui huyo mbaba kwanza ni mganga wa jadi na hujapenda muonekano wake means hujampenda the way alivyo bali umependa vijisent vyake na najua hata awe na mkewe pemben hata usiku wa manane cm yako atapokea coz mke anajua kuna bi mdogo wa.mumewe c wewe ila kwa kuwa yule bi mdogo yalimshinda ambaye ni mimi na mume hataki wajue mi naye kilinuka tayar ndo mana anatumia mgongo wangu kukuweka we free but kamwe hawez kukukutanisha na family yake zaid ya marafiki zake anaofanya nao kazi ya uganga.bidada hapo maji umeyavulia nguo yaoge tu kwan usitegemee ipo cku utamwacha huyo mzee gharama za kumuacha ni kubwa kuliko kujitoa kuwa hawara kwa vyovyote vile anajua kulea lakin.....najua mengi yake huyajui kama nlivyojua mie nakushaur kabisaaa hiyo pesa hata shiling unayoila utailipa kwa gharama.endapo ukimuacha.na usipende akutumie pesa bank hazitupi zile risiti ng'oo matokeo yake utaniambia.ila hata ukiona mambo ya kuogopesha vp jikaze kiume huyo awe wako hadi kufa.huo ndo ushauri wangu kwako.umeingia jehanamu fia humo.siandiki kama story namaanisha ipo cku utarud jamvin.jitoe muhanga hapo ulipo hadi kufa.mimi namshukuru mungu ingawa kwa mbinde nimetoka nikiwa hai.
 
ahahahhahahahahha mtai wangu mimi huyo!ila watu8 sijui huwa unawaza nini!KHA!

Nakupa kazi moja mtani...uwe unaikusanya hii misemo fo fyucha riferensi maana mwendhako huwa sivirudii hivi.
Unaweza kuteneneza kamusi ya haya makorokocho
 
Mbona wakati mnataka kuanza mahusiano hukuja jamvini kutaka ushauri! Unakumbuka shuka sasa.....sasa ndio graph yako imeshafika kileleni na tayari imeanza kuteremka...jiandae mwanakwetu kwa kutafuta miliki yako halali kwa raha zako, na si ya kudandia vya wenzako.
 
Halooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO!

Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi.

Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100%

Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.

Duh!
Kweli mwenyenzi Mungu kaumba viumbe wake!
 
achana na mume wa mtu, vinginevyo utapata laana ya kutokuolewa maisha yako yotefikiri ungefanyiwa hivo ww ungefurahini dhambi kubwa kutembea na mume/mke wa mtu, umesahau utaabika mchana kweupe

malipo ni hapa hapa duniani, hii dhambi itakusumbua sana mpendwa
 
Halooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO!

Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi.

Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100%

Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.

hahah modz mtupe option za kugonga like zaidi ya moja jaman
 
nachukia sn watu wanaojua mtu ana mke na kuolewa mke wa 2 haiwezekani, wao wanaendelea kung'ang'ania tuuu. Nashindwa nishauri nn.:shut-mouth:
sasa we hujui wanaume wachache kuliko wanawake.., ku-share ni lazima bhana, nani anapenda kuukosa utamu..
 
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.

uMEVUNA ULICHOPANDA, MUME WA M2 ANAKUPA 10% YA KILE ANACHOKIPELEKA KWA MKE WAKE. TAMBUA KUWA KAMA KWELI HUYO MWANAMUME ANA AKILI TIMAMU HATA SIKU MOJA HAWEZI KUTELEKEZA FAMILIA KWA SABABU YAKO BALI ANAWEZA KUACHANA NA WEWE ILI KURUDISHA AMANI NYUMBANI.
USHAURI, JIPANGE UTAFUTE WA KWAKO.
 
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
koma achana na waume za watu
 
jamani wana jf wangangapi hawana vi small house hapa mjini? wanaume waliooa wanaongoza kwa kuhonga vibinti utafiti wangu umefanywa sinza madukani
 
jamani wana jf wangangapi hawana vi small house hapa mjini? wanaume waliooa wanaongoza kwa kuhonga vibinti utafiti wangu umefanywa sinza madukani
Sample space yako ndogo sana mkuu...
 
Kwani muwa ukishatafunwa unakua na kazi gani kama sio kutupwa?

Angekua anakupenda asingekuambia. Ungekuja kujua mwenyewe.
 
Ungesoma kwa makini hoja ya mwanzisha thread nadhani ungejua kwa nini kang'nga'ania! Sio rahisi kuondoka mara moja kama unavyofikiri
sio rahic kwasababu tayari ana gari, na chuo anasomeshwa c ndiyo? ila akigundulika itakuwa balaa kwake kuliko faida aipatayo sasa.
 
Back
Top Bottom