Mume wa mtu ananitesa

Contradiction ya hali ya juu. Kati ya hayo mawili kuna kimoja sio kweli..and I suspect huna hofu ya Mungu kivile na mumeo humpendi kivile..mapenzi yapo Muhezaa..sad.

Cc Daby, chunga sana

Bcc Asprin kwa taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeolewa nikiwa na miaka 22
Tumepishana na Mr, miaka8
Sijwah kuishi na mwanaume tofauti na Mr,
Uchumba wetu umedumu mwaka mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe tatizo lako ni kuruka steji ya ujana kabla huja experience matatizo ya mahusiano. Hapo ulipo huoni thamani ya ndoa maana kwako ilikuja kirahisi tu. Inaelekea hujawahi kutendwa, kuumizwa, kunyanyaswa, kuchitiwa nk ili uone faida ya kua na mume alietulia.

Kwavile wanawake mkishapenda hua hamshauriki, we nenda Muheza ukatimize haja za moyo wako. Mkishaanza, wewe hutamtamani tena mumeo, utabadilika, ndoa yako itavunjika, familia itafarakana, watoto watateseka, na huyo jamaa wa Muheza atakuacha pia ili alinde ndoa yake. Utarudi kwenu kwa aibu ukaanze maisha upya. Hapo ndio akili itakukaa sawa. Maisha yako chaguo lako..
 
Njoo pm kuna ushauri nitakupa
 
Contradiction ya hali ya juu. Kati ya hayo mawili kuna kimoja sio kweli..and I suspect huna hofu ya Mungu kivile na mumeo humpendi kivile..mapenzi yapo Muhezaa..sad.

Cc Daby, chunga sana

Bcc Asprin kwa taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, hawa ni wale wadada ambao anamaliza tu shule jamaa kamdaka juu juu na kumuweka ndani. Hana experience yoyote ya mapenzi.
Naunga mkono kwamba huyu hakuwahi kumpenda mume wake ni kwavile tu jamaa alikuja na proposal ya ndoa na kama alivyosema jamaa ana vihela basi dada akaona asiache hii fursa. Hili ni funzo pia kwetu wanaume..
 
Ah kumbe huwa una nondo hivi....hongera aisee
 
I lov u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika msing wa yote ni kua hakuna upendo kati yao.
kama utasex na mumeo na humpend hatakama mumeo anaweza vp bado hataridhika sabab humpendi.
my dear maisha mafupi oho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funzo kubwa kabisa mkuu Choji. Ilivyo wadada wengi wanadhani ndoa ndio kilele cha kila kitu kwenye maisha hivyo wanaingia hata bila kujiuliza mara mbili mbili. Matokeo yake ndio kama haya sasa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Penye miti hapana wajenzi!
Dunia hii kila mwanamke analilia mwanaume alotulia, anayependa na kujali! Wewe unaye unahangaika na mwanaume mwenye mke wake?!
Anakupotezea muda wako na mwisho atavunja ndoa yako!

Tulia tena umuombe Mungu akusamehe!
Jamaniiiii acheni atafunwe, mtu gani huyu kila ushauri anaupanguamtu, mzima huyu mnamuelekeza nini achane akatafunwe moyo wake ufurahie
 
@everlenk nimekumiss sana ulipotelea wapi lejendari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funzo kubwa kabisa mkuu Choji. Ilivyo wadada wengi wanadhani ndoa ndio kilele cha kila kitu kwenye maisha hivyo wanaingia hata bila kujiuliza mara mbili mbili. Matokeo yake ndio kama haya sasa....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana,ni ninyi wanaume pamoja na jamii mmeaminisha mabinti na wanawake,kuwa ndoa ndio kilele cha kila kitu kwenye maisha.

Hivyo bila ndoa msichana ama mwanamke si lolote,hana thamani ni rejected material, hata thread nyingi zinazoanzishwa MMU zinareflect hilo .

Hivyo kuepuka kuwa labed as a rejected material, wasichana na wanawake wengi wanaingia ndoani especially wakitz bila kufikiri Mara mbili,bila kupima kiwango cha upendo na bila kujuwa maana halisi ya ndoa.So tusiwalaumu,to every action there is an equal and opposite reaction, haya ni matokeo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…