Hommie ulijueaje huyu kama ni she?
Ahaa kumbe? Haya tuambie maeksipiriensi yako ya kuchuna waume za watu waliokung'ang'ania!:A S angry:
mmh....hiyo umechanganya ian infidelity ama? sasa wzo la kuchuna 'wanaume' wengine unalipata wapi kama una ndoa ya miaka 12? :doh::doh:
ni katika kukomesha tabia ya kikware ww unaju fika huyu ni mke wa mtu unamtongozea nini usiotafuta wako?.
kwanza mwambie NATAKA GARI YA KUTEMBELEA aina ya HUMMER,shopping kwakua sijakuzoea bado nipeleke DUBAI ila tukishazoeana napendelea na hua nina kawaida ya kwenda UINGEREZA,CANADA AU US,pia naomba unijengee nyumba ya ghorofa 3 ili nikiachwa ninakae huko ghorofa moja na 2 nitazipangisha ili niweze kumudu maisha na kujaza mafuta ya gari pia usiache kunijazia voucher kila siku ya elfu 50 tena kwakua bado hatujazoweana nikishakuzowea utakua utakua unaniwekea laki moja ni kawaida yangu kuweka hiyo.Sasa hapo utajua mwanaume wa mtu alivyo muongo kwa vyovyote hatoweza au pengine hana uwezo kabisa wa kukugharamia japo theluthi ila atakupa porojo ooh sasa kwa mwezi huu mambo ni mengi sana ila kuanzia mwezi ujao nitaanza kutekeleza ila ungenionjesha kwanza,sasa imekua chumvi????????????????????????????.na hapo utakua umemkomesha akikuona yule atapiga no-ribder mwenyewe nyambafffffffffffff.
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.
Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??
Eti mwanaume RIJALI ndio nini?Hilo neno usingeliweka ningekupiga faini..........!
roselyne unahitaji maombi....wapi baba Askofu?
Well asanteni wote kwa ushauri wenu. nimefurahi angalau jioni yangu inamalizika kwa amani. I love you so much JF and all its members. Pheeeuuuxx
Nyani Ngabu kanikomalia kweli kweli kisa niligawa namba ya simu maskini mie. this got me thinking wat is it with namba za simu??
Kidonge aina ya Aspirin I hope hukuzirai maana i took you by suprise huh!!! So is Teamo na Kaizer
Nyamayao, Da sophy, Rose, Kaityline, Gaijin na wengine mmetoa mawazo mengi. I just love you guys...........
Duh... JS!!!
Mara nyingi sana mambo mengi huwa ni ya kujitakia; sometimes unakuta mtu anaflirt mpaka tena inalead to something else.. Inawezekana kabisa unampa huyo jamaa signs zote za kukubali, au hata kuonyesha baadhi ya behaviours za watu wanotamani kitu in a "nataka staki" style.
..... pengine unamtaka au mshaanza mahusiano... HIVI HILO NALO NI SWALA LA KUOMBA UHSAURI KWELI... mi naona hilo ni out of question ushasema ni mume wa mtu kuna la zaidi hapo au ndio unataka ku justify madhambi yako........
...kwa vile mlikutana kwenye starehe hizi na pia ulionesha mazingira ya kupromis kwa huyo mume wa mtu, nakushauri umpe mara moja kisha umstopishe ili haki itendeke!..
Unamwanika uliyemkatalia, wale waume za watu unatembea nao mbona inabaki siri yako? Na huyu angebaki siri yako
Shida hapa inaonekana kama nawe ulimtaka...inaashiria nawe umempenda na labda unatafuta "justification" ya kuendelea nae. ...
...Au unataka kutuambia asingekua mme wa mtu mngemalizana na tusingejua.
Pheeeeeeeeeewwwwwwwww....
Hebu ngoja niandae misa
Na huyo atayekutimiza hayo hapo juu atakuwa si raia mwema labda mla rushwa mkubwa kama walio TRA, Ofisi za Ardhi wanaouza viwanja vya wazi au anayeeneza virusi
Nilikuwa kwenye Maombi Maalum kwa ajili ya uchaguzi wa amani.... Am I still needed here au mume wa mtu na mpenzi wa mtu wameshaelewana??
Hahahaha!Baba Askofu naona leo uko kikazi zaidi!!!
as you can see, you are still needed baba Askofu!