Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Haswaaa hiyo ni darsa tosha tuMtu anajisifu kabisa kufanya zinaa na watu wanashangilia:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
1 WAKORINTHO 6