Mume wa mtu ananipa wakati mgumu

Mume wa mtu ananipa wakati mgumu

Usiharibu ndoa ya mwanamke mwenzio. Fikiria yale machozi; lazima ujifunze upendo; na mojawapo ya upendo na kujitoa hata kama wew unaumia Mungu atakutia nguvu. Hawa wanaume wanakwambia nakupenda sana na yule mwanamke wangu nilimuoa tu bt sikumpenda hata; lakin kuna kitu ukijiuliza je akienda kwake anaweza chat na ww zile txt za love? Au akienda kwake unaweza mpigia cm muda wowote unao utaka? Au ndio ile mwanaume anakwambia nipo nyumbani tayar usipige simu wala usinitxt. Hapo sasa utajua kuwa bado anamuheshimu mkewe na anampenda sema akija kwako anataka pumziko sababu kule ukute wife ana makwazo mengi lakin hata akiwa na mwakwazo mengi bado anampenda ndio maaba hamuachi na hii ndio inayoitwa ndoa kuvumiliana ktk shida na raha. Anakuona ww asali sababu hajakaa na ww miaka yooote na mkajuana vzr; sababu umesema kila mtu anaishi kwake. Kuna tofaut ya kumuona mtu dakika au siku moja halafu akaondoka na akarud kwa muda mwngne na mtu kukaa naye kila siku yaan kakukera yupo kakufurahisha yupo tu had unahitaj space ya kupumua bt ndio mume hawez ondoka. Ila kwako akikuudh ataondoka baadaye akirud hasira zimeisha mapenz yanaendelea. Na je akiwa kwako? Mkewe akimpigia simu huwa hapokei simu ya mkewe? Bila shaka anapokea na hatak kumis call wa txt lazima ajibu zote hata kama akiwa yupo na ww karibu sababu ana muheshimu mkewe na hatak kumuumiza; na ukute hata txt za mkewe hazifut ktk simu yake ila za kwako ww mchepuko lazima azifute ili mkewe asizione na hebu kapekue simu kakusave vip ukute ni dada au hajakusave kabisaaaa. Halafuuuu kwanini hutak kuolewa? Hayo maneno yako umejifunga. Kumbuka ktk kinywa zinatoka baraka na laana. Sasa ww umejinenea laana hebu futa hayo maneno kuwa hutak kuolewa; sema sasa nataka kuolewa na yale maneno ya mwanzo yafute kabisaa usimpe shetan nafas akakufunga kwa maneno yako ndio maana hata Mungu anashindwa hata kukusaidia hata akileta mume huon sababu ulisha funga mlango wa ndoa. Na kingineeeee kuzalishwa ni nini? Huyo aliyekupa mtoto ndio akufanye usiolewe.? Jiulize hiv ? Huyo aliyekuzalisha sa hiz anafanya nn; ukute ameshaoa na yupo happy na family yake hata memory na ww hanaaa. Hebu kung'uta mavumbi move on woman move on. Sio wanaume wote wabaya ; nakuhakikishia wapo best husband in da word choic ni yako; ukiamua kuwa mshikio wenzio wanapakua sawa. Bt ukiamua ww ni mpish na bado unapakua na unakula mwenyew ni maamuz yako. Move on utapata mume tena mzuri had watu washangae; acha kung'ang'ana na mume wa mtu unakosa baraka za kupata wako peke yako. Tena tubu hiyo dhambi ili ukiolewa mume wako asifanye hayo kwa wengine ; ziba huo mlango shetan asiingilie na asiutumie bt yakupasa kujutia dhambi uliyo ifanya na urud kwa Mungu. Halafuuuuuu wanaume kukupa pesa hawaonag shida tena akiwa nazo na akiwa na mkono wa kutoa; hata ukitaka nini lazima akupe; mapenz sio pesa though sikatai ina chukua nafasi bt hapa naongelea ule upendo wetu uleee halis wa kina dada au mama ambao Mungu katupatia ule huwa haungalii pesa hata kidogo tunapenda from moyon. Lakin mwanaume anaweza kukupa pesa ukahis anakupenda; hakuna hicho kitu wapo humu ngoja wataeleza vzr; mwanaume anaweza akagawa pesa lakin anajua kabisaaa my heart mwanamke fulan ndiye anaye deserve; anakuja kwako atue mzigo tuu . kulala kwa mkewe hata akiwa kamuudh vip lazima arud kwake. We need strong woman and ua a strong woman;stand up talk to God; speak to Him and tel Him that God help me; am doing this just for u ( God) utaona kama Mungu atakuacha; lazima akutie nguvuu; Mungu anatusikiliza sana sisi wamama or wadada or mabinti sababu tuna something special inside ; evry drop of ua tears Mungu anahesabu. Simama plzzzz. Ooh Mungu Linda mume wangu popote alipo macho yake yawe kwangu tu hata akifumba macho. Amen
It shall always be well with you sis. couldn't have said it better myself.

Hahah kwa kweli shem apigwe tu upofu wa kiroho popote alipo (na wa kwangu umuombee eti)
#Blessingsswts#
 
Yaan ingekua mm ningefanya juu chini nimshaur km ananipenda aachane na mke wake ampe stahiki na mali ili asipate shda halaf mm nifunge naye ndoa
Alafu akimpata mwingine atakayempenda zaidi, na wewe akuache kwa style hiyo hiyo? Ubinafsi huo
 
Kwa sababu wewe huna mpango wa kuolewa, endelea nae tu ila uje mtenda hutendwa
 
It shall always be well with you sis. couldn't have said it better myself.

Hahah kwa kweli shem apigwe tu upofu wa kiroho popote alipo (na wa kwangu umuombee eti)
#Blessingsswts#
Yaan umeona my sweet one. Mungu lazima ampige upofu huko alipo. He shall never see best woman like I. Upofu wa kiroho huu unaruhusiwa kwa Mungu. Ah ah ah
 
"Hello baby , nimemwambia wife everything about us Kwa Sababu sitaki kukukosa please baby don't panic"

Jamani wanaJF hii message yaleo asubuhi imegeuza ulimwengu totally completely nifanyejeee

Hapo ndo nimemkubali huyo bro / dogo ... mwanaume lazima uwe muwazi kwa lolote lile ambalo umeamua wewe mwenyewe bila shinikizo toka kwa mtu mwingine. Naamini penzi lenu litadumu ila sasa kama wewe una wivu, mwenzio atapata shida sana.
Ushauri, endelea naye ila jitahidi kutomkorofisha .... kama kweli uloyaandika ni ya kweli ... bro anakupenda kwa dhati.
 
muache aendelee na life yake kwanza ukiendelea naye utamfilisi nahic upo hapo kwa ajili ya hela
 
Yaan umeona my sweet one. Mungu lazima ampige upofu huko alipo. He shall never see best woman like I. Upofu wa kiroho huu unaruhusiwa kwa Mungu. Ah ah ah
Hahahah Amen Amen sis (kama nakuona unavyopiga hilo ombi sasa, no utani)
 
Yaan ingekua mm ningefanya juu chini nimshaur km ananipenda aachane na mke wake ampe stahiki na mali ili asipate shda halaf mm nifunge naye ndoa
UNA ROHO MBAYA WE MDADA!

UNA MAWAZO YA KUTENGANISHA WANANDOA???? JAMANI ....
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hujui unachokitaka na shukuru umepata mkubwa jinga linalokulilia na kukupa viwanja gari na ada za watoto miaka mitatu mbele.Hivi unafikiri wewe una nini cha zaidi alichokosa mwanamke mwingine? Kama u nadhani wewe ni wa tofauti hebu weka kichwa ngumu halafu uone wengine watakavyo mng'angania wanaume wenyewe yuko wachache shauri yako.
 
Hahahah Amen Amen sis (kama nakuona unavyopiga hilo ombi sasa, no utani)
Love ombi kwa Mungu muhimu hawa viumbe ni dhaifu; hata kama mwanaume kaokoka bado ana mwil ule ule wa vishawishi; unahis unaenda kwa nani? Zaid ya kwa Mungu aliyekupatia huyo mume. Tena hata kama hana hiyo tabia sugua goti hapo kwa Mungu tunayaita maombi ya akiba wakat ukifika Mungu anayatumia maombi yako. Sasa hebu angalia kisa cha huko juu cha huyu dada; halafu jiweke ktk nafas ya mama mwenye ndoa; uhiii unaweza hisi kufa kama neema ya Mungu haijakufunika waweza achia nyumba ndogo nyumba. Ooh Lord mtie upofu wa kiroho mume wangu; udhaifu wake uwe kwangu tuu. Amen
 
Exactly sis "Moyo u radhi lakini mwili ni dhaifu" na pia "Tumesamehewa Dhambi na si Majaribu". Ujanja ni kusurrender tu kwa Mungu, bila hivyo daah mbona tutaishia tu kulia kila siku
 
Hueleweki. Mara hutamani kuolewa, sasa unapata kigugumizi cha nini?njoo kwa vijana huku tule hela za babu bushoke.
 
Kikubwa kwenye mapenzi ni heshima na upendo, kwa mujibu wa maelezo yako jamaa anakupenda sana na anakuheshimu, anakufanya ujisikie kuwa mwanamke, anakufanya kuwa bora kati ya wanawake wenzako (Amekufanya umiliki gari, viwanja). Kuna ugumu sana ukifikiria juu ya mwanamke mwenzako ambaye ni mkewe wa ndoa, si muumini wa wake wawili coz nimeona kwa watu madhara yake, Ila nakushauri kwanza badili mtazamo wako juu ya mahusiana ya kimapenzi, kubaliana na yote yaliyotekea forget about the past, anzia hapo ulipo kwenda mbele.
Nakushauri usimuache huyo jamaa anakupenda kwa dhati, fikiria kuishi maisha ya kuwa na mke mwenza na uikubali hiyo hali. Ukimuacha huyo jamaa utakuja kujuta, mwanaume utakayepata hatokua malaika siku akikusoea jambo kubwa utatamani kurudi kwa huyo uliyemwacha ambapo jamaa hatokua na upendo tena kama alionao sasa hivi, naamini jamaa pia ana wivu. Mshirikishe Mungu pia akusaidie kuamua kwa hekima.
Wish u all the best.
 
Niko kwenye mahusiano na mtu Kwa muda wa miaka 5 sasa. Mwanzoni aliniambia hajaoa na alikuwa anaishi hotel Kwa Sababu alihamishiwa mkoa nilipo Kikazi akitokea mikoa ya kanda ya ziwa.

Sana Sana katika mapenzi yetu niligundua Ni mtu anayejiheshimu Sana hata Kama alikuwa anapretend basi alipretend Kwa kipindi kirefu mno
Baadae alipata nyumba na tukaendelea yeye kwake na Mimi nikiwa kwangu na Mara moja moja tulilala kwake naye kulala kwangu miaka mitatu style ilikuwa hii

Nilimwambia wazi kuwa sina mpango wa kuolewa tangu nilipozalishwa mtoto na baba mtoto wangu kula kona si kutaka tena kuolewa Kwa sasa hivyo awe anajua kuwa siko katika mambo ya mipango na ndoa nayeye

Tulipendana Sana na heshima juu yetu ilishamiri. Mwaka wa nne wa mahusiano yetu alikuja kwangu siku moja akaniambia weekend twende Zanzibar me nikamwambia siwezi Kwa kuwa nitakuwa kazini akasema no no lazima niwe Nawe Zanzibar fanya uwezavyo

Ikabidi ofisini niwapelekee Report fake nikaenda Zanzibar huko jamaa yangu alionekana mkimya na mwenye mawazo Sana

Akatoa Pete mfukoni akaiweka mezani me tena macho yakanitoka Pete yandoa wala sio engagement akasema unaona hii Pete Ni yangu Mimi Ni Mume wa mtu samahani nimekaa Nawe sikuwahi kusema haya Kwa Sababu nakupenda Sana tens Sana sitaki kukukosa na sitakubali kukukosa maishani mwangu

Niliganda Kama nusu hasira zikanipanda wivu ukanikaba japo sikuwa na mpango wa kuolewa lakini Kwa jinsi trend ilivyokuwa inakwenda nilianza kufikiria tukifika miaka 7 ya mahusiano hakika atanibadili mawazo na naweza kuwa mkewe

Ndugu zangu na hata wazazi wangu wameshamuona kukitokea matukio ya mkusanyiko kwetu na upande wao pia Mara kadhaa nimeshaenda japo sio Mara nyingi ila kuna misiba na sherehe Fulani tulishiriki pamoja japo anabeba tabia zile za private life so nimemzoea hivyo hata wakati wa sherehe na misiba ya kwao hatukuwa jirani saana kiasi cha watu kuunga dots me niliona Ni kawaida yake na vile huwa simind kukabana na mtu Kama watoto wadogo mapenzini so sikuweza kugundua kuwa yeye anaprevent nini.

Turudi Zanzibar sasa pale alinibembeleza Sana kiukweli simkumsikiliza maombi yake kawa laingia kushoto lachomokea kulia
Kauli yake ilinifanya kufa ganzi Ni kuniambia mkewe anakuja kuishi nae hapa na ameona Ni vema atafute nyumba ingine Kwa Sababu pale itakuwa Ni picha tofauti Kwa majirani waliotuzoea Kama wapenzi

Nikamwambia sawa nashukuru nakutakia maisha mema he started crying na kubembelezaaa weee nikamwambia nipe muda maana akili yangu haiko sawa kabisa

Tukarudi Safari yetu kweli ilikuwa ya simanzi huku moyoni nikijiambia Mimi na yeye basi japo naumia ila Ni bora nimuache tu Kwa kweli

Nikakaa week moja huku nimeacha mawasiliano yawe upande mmoja wa yeye kunitafuta Mimi. Akaja kwangu one evening ameshakonda na kupungua ya kutosha kabisa akaniambia week ijayo mkewe anakuja nikamwanbia sawa akawa Kama anaishiwa maneno maana me jibu langu lilibaki sawa . Hata Mimi nilikonda pia Kwa Sababu jambo hili lilikuwa sio je je pesi kabisa.

Akaendelea kuja kwangu Sana hata baada ya mkewe kufika na tuakenda hivyo hivyo Hadi ukiingia mwaka huu wa tano . Ila Ni mapenzi tofauti na mwanzo . Akaanza kujitahidi kugharamia assets akaninunulia viwanja viwili na gari yangu akaniambia niuze niagize ingine aka ongeza pesa juu nikaagiza akaenda kulipa ada ya mtoto wangu shuleni Kwa miaka mitatu mbele vitu ambayo hajawahi kufanya kabisa tena Kwa majina yangu hizo asset amezinunua na kunikabadhi nyaraka zote na nilikuwa nazifuatilia mwenyewe . Ni hivi juzi tu nimetoka kuchukua nyaraka ya kiwanja kimoja wapo

Last week alikuja kwangu jioni Mimi nilichelewa kutoka kazini basi nikamkuta kakaa na mwanangu anamsaidia kumalizia home works baadae akapokea simu akaongea kilugha kisha akamaliza akaweka simu pembeni tukaendelea na mazungumzo yetu Mimi na yeye akaaga na kuondoka alisema mke hajisikii vema hivyo amemwambia ende hospital atamkuta huko ikawa bye

Kesho yake asubuhi akapiga simu saa 11 asubuhi akasema kuna tatizo Kumbe Jana alipo malizia kuongea na simu hakuikata so mke wake amefaidi mazungumzo yetu tano yake Kwa hiyo bomu baya limelipuka on my side nikaona haya mambo Ndio siyataki kabisa hii Ni Sababu muafaka ya Mimi kuachana nae for good

Mwanaume akasema usiwa na wasiwasi I'll handle situation me nikabaki na hasira moyoni mwangu cause I need a free man sio Mume wa mtu kila napofikiria kuachana limoyo langu linanisaliti . Nikaacha kupokea simu zake na nikablock namba yake kabisa Kwa kuanzia tu

Akaja akabembeleeza Sana akalia akasema yale yale Maneno ya Zanzibar kuwa hakubali kunikosa. Nikamwambia anipe nafasi na muda wa miezi miwili hivi ili nifikirie akasema miezi miwili mingi nikamwambia msimamo wangu Ni huo akaondoka zake Kwa makubaliano ya mawasiliano ya Mara moja moja Kwa simu ila asije kwangu wala sitaki kukutana nae popote . Nilichofanya nika unblock namba yake ili aweze kupiga na kutuma text

Wana JF Leo nimeamka asubuhi Ni siku 7 tu tangu tukwaruzane na kupeana time and space nakutana na message

"Hello baby , nimemwambia wife everything about us Kwa Sababu sitaki kukukosa please baby don't panic"

Jamani wanaJF hii message yaleo asubuhi imegeuza ulimwengu totally completely nifanyejeee
Kuwa mke mdogo,ni mambo ya kawaida hayo.Usivunje ndoa yake ila kubali uwe mke wa pili kwake na mtunziane heshima.Hukuanza wewe hiyo ilianza tangu enzi za manabii Ibrahim,Sulemani.Wanaume wengine watakuumiza tuu
 
unahisi MUNGU ataamua nini hapo akimshirikisha, hata mkewe wa ndoa ana lia na Mungu juu ya hilo tatizo, Mungu wetu ni wa haki , lazima mwenye ndoa apate haki yake, mume atarud tu kwa mkewe, umemshauri asimuache, halafu amshikirishe Mungu, unataka dada wa watu achanganyikiwe, MUNGU anaweza kwanza sio anaweza atasema amuache, na wakati yeye moyoni hataki kuukubali ukweli, inabid a let it go for gud, hayo manyumba, sijui gari atavipata tu, Mungu wetu ni tajiri bwana, akimtoa kule atampa vingine kwa njia nyingine ambayo ni ya haki, ukisema uufuatishe mwil katika kila kitu aisee tutaikosa mbingu.
Kikubwa kwenye mapenzi ni heshima na upendo, kwa mujibu wa maelezo yako jamaa anakupenda sana na anakuheshimu, anakufanya ujisikie kuwa mwanamke, anakufanya kuwa bora kati ya wanawake wenzako (Amekufanya umiliki gari, viwanja). Kuna ugumu sana ukifikiria juu ya mwanamke mwenzako ambaye ni mkewe wa ndoa, si muumini wa wake wawili coz nimeona kwa watu madhara yake, Ila nakushauri kwanza badili mtazamo wako juu ya mahusiana ya kimapenzi, kubaliana na yote yaliyotekea forget about the past, anzia hapo ulipo kwenda mbele.
Nakushauri usimuache huyo jamaa anakupenda kwa dhati, fikiria kuishi maisha ya kuwa na mke mwenza na uikubali hiyo hali. Ukimuacha huyo jamaa utakuja kujuta, mwanaume utakayepata hatokua malaika siku akikusoea jambo kubwa utatamani kurudi kwa huyo uliyemwacha ambapo jamaa hatokua na upendo tena kama alionao sasa hivi, naamini jamaa pia ana wivu. Mshirikishe Mungu pia akusaidie kuamua kwa hekima.
Wish u all the best.
 
Niko kwenye mahusiano na mtu Kwa muda wa miaka 5 sasa. Mwanzoni aliniambia hajaoa na alikuwa anaishi hotel Kwa Sababu alihamishiwa mkoa nilipo Kikazi akitokea mikoa ya kanda ya ziwa.

Sana Sana katika mapenzi yetu niligundua Ni mtu anayejiheshimu Sana hata Kama alikuwa anapretend basi alipretend Kwa kipindi kirefu mno
Baadae alipata nyumba na tukaendelea yeye kwake na Mimi nikiwa kwangu na Mara moja moja tulilala kwake naye kulala kwangu miaka mitatu style ilikuwa hii

Nilimwambia wazi kuwa sina mpango wa kuolewa tangu nilipozalishwa mtoto na baba mtoto wangu kula kona si kutaka tena kuolewa Kwa sasa hivyo awe anajua kuwa siko katika mambo ya mipango na ndoa nayeye

Tulipendana Sana na heshima juu yetu ilishamiri. Mwaka wa nne wa mahusiano yetu alikuja kwangu siku moja akaniambia weekend twende Zanzibar me nikamwambia siwezi Kwa kuwa nitakuwa kazini akasema no no lazima niwe Nawe Zanzibar fanya uwezavyo

Ikabidi ofisini niwapelekee Report fake nikaenda Zanzibar huko jamaa yangu alionekana mkimya na mwenye mawazo Sana

Akatoa Pete mfukoni akaiweka mezani me tena macho yakanitoka Pete yandoa wala sio engagement akasema unaona hii Pete Ni yangu Mimi Ni Mume wa mtu samahani nimekaa Nawe sikuwahi kusema haya Kwa Sababu nakupenda Sana tens Sana sitaki kukukosa na sitakubali kukukosa maishani mwangu

Niliganda Kama nusu hasira zikanipanda wivu ukanikaba japo sikuwa na mpango wa kuolewa lakini Kwa jinsi trend ilivyokuwa inakwenda nilianza kufikiria tukifika miaka 7 ya mahusiano hakika atanibadili mawazo na naweza kuwa mkewe

Ndugu zangu na hata wazazi wangu wameshamuona kukitokea matukio ya mkusanyiko kwetu na upande wao pia Mara kadhaa nimeshaenda japo sio Mara nyingi ila kuna misiba na sherehe Fulani tulishiriki pamoja japo anabeba tabia zile za private life so nimemzoea hivyo hata wakati wa sherehe na misiba ya kwao hatukuwa jirani saana kiasi cha watu kuunga dots me niliona Ni kawaida yake na vile huwa simind kukabana na mtu Kama watoto wadogo mapenzini so sikuweza kugundua kuwa yeye anaprevent nini.

Turudi Zanzibar sasa pale alinibembeleza Sana kiukweli simkumsikiliza maombi yake kawa laingia kushoto lachomokea kulia
Kauli yake ilinifanya kufa ganzi Ni kuniambia mkewe anakuja kuishi nae hapa na ameona Ni vema atafute nyumba ingine Kwa Sababu pale itakuwa Ni picha tofauti Kwa majirani waliotuzoea Kama wapenzi

Nikamwambia sawa nashukuru nakutakia maisha mema he started crying na kubembelezaaa weee nikamwambia nipe muda maana akili yangu haiko sawa kabisa

Tukarudi Safari yetu kweli ilikuwa ya simanzi huku moyoni nikijiambia Mimi na yeye basi japo naumia ila Ni bora nimuache tu Kwa kweli

Nikakaa week moja huku nimeacha mawasiliano yawe upande mmoja wa yeye kunitafuta Mimi. Akaja kwangu one evening ameshakonda na kupungua ya kutosha kabisa akaniambia week ijayo mkewe anakuja nikamwanbia sawa akawa Kama anaishiwa maneno maana me jibu langu lilibaki sawa . Hata Mimi nilikonda pia Kwa Sababu jambo hili lilikuwa sio je je pesi kabisa.

Akaendelea kuja kwangu Sana hata baada ya mkewe kufika na tuakenda hivyo hivyo Hadi ukiingia mwaka huu wa tano . Ila Ni mapenzi tofauti na mwanzo . Akaanza kujitahidi kugharamia assets akaninunulia viwanja viwili na gari yangu akaniambia niuze niagize ingine aka ongeza pesa juu nikaagiza akaenda kulipa ada ya mtoto wangu shuleni Kwa miaka mitatu mbele vitu ambayo hajawahi kufanya kabisa tena Kwa majina yangu hizo asset amezinunua na kunikabadhi nyaraka zote na nilikuwa nazifuatilia mwenyewe . Ni hivi juzi tu nimetoka kuchukua nyaraka ya kiwanja kimoja wapo

Last week alikuja kwangu jioni Mimi nilichelewa kutoka kazini basi nikamkuta kakaa na mwanangu anamsaidia kumalizia home works baadae akapokea simu akaongea kilugha kisha akamaliza akaweka simu pembeni tukaendelea na mazungumzo yetu Mimi na yeye akaaga na kuondoka alisema mke hajisikii vema hivyo amemwambia ende hospital atamkuta huko ikawa bye

Kesho yake asubuhi akapiga simu saa 11 asubuhi akasema kuna tatizo Kumbe Jana alipo malizia kuongea na simu hakuikata so mke wake amefaidi mazungumzo yetu tano yake Kwa hiyo bomu baya limelipuka on my side nikaona haya mambo Ndio siyataki kabisa hii Ni Sababu muafaka ya Mimi kuachana nae for good

Mwanaume akasema usiwa na wasiwasi I'll handle situation me nikabaki na hasira moyoni mwangu cause I need a free man sio Mume wa mtu kila napofikiria kuachana limoyo langu linanisaliti . Nikaacha kupokea simu zake na nikablock namba yake kabisa Kwa kuanzia tu

Akaja akabembeleeza Sana akalia akasema yale yale Maneno ya Zanzibar kuwa hakubali kunikosa. Nikamwambia anipe nafasi na muda wa miezi miwili hivi ili nifikirie akasema miezi miwili mingi nikamwambia msimamo wangu Ni huo akaondoka zake Kwa makubaliano ya mawasiliano ya Mara moja moja Kwa simu ila asije kwangu wala sitaki kukutana nae popote . Nilichofanya nika unblock namba yake ili aweze kupiga na kutuma text

Wana JF Leo nimeamka asubuhi Ni siku 7 tu tangu tukwaruzane na kupeana time and space nakutana na message

"Hello baby , nimemwambia wife everything about us Kwa Sababu sitaki kukukosa please baby don't panic"

Jamani wanaJF hii message yaleo asubuhi imegeuza ulimwengu totally completely nifanyejeee

The most difficult thing to deal with is the heart when it's in love. Usijidanganye kuhusu hisia zako kwa jamaa coz u luv the guy. Cha kufanya hapo ni kukubali ukweli kuwa u will always be the other woman regardless of how sweet his words will be. He might love you so much but not enough to leave his wife for you.

Hapa inapaswa ufikiri kwa akili na si kwa nafsi maana nafsi ndio inayopenda na daima itakwambia unachotaka kusikia, itahalalisha hata vilivyo haramu. Ukitumia akili utagundua u deserve better than another woman's man. Haitokuwa rahisi kumsahau jamaa in a day or two, it will take days probably months to erase 5 years memories u had with him but u can erase him from ur life. Hatua ya kwanza epuka vitu vitakyokufanya umuwaze, kitendo cha kuruhusu msgs na calls daima kutakukumbusha uwepo wake na kutakupa udhaifu wa nafsi. Cut all kind of communication with him, it will be hard but it's doable.

Mioyo yetu ni kama spring ina stretch kadri ya unavyoweza kuvuta lakini ukiachia inarudi kwenye original form, right now u r stretched with the feelings for him but gradually with some effort u will return to the original form of not relying on him emotionally.

These are just my words and views I don't know better of how you feel than u do so all the best in dealing with the matter just remember a heartbreak never kills it just makes you stronger.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom