Mume wa mtu ananipa wakati mgumu

Mume wa mtu ananipa wakati mgumu

Duh! First try and figure out lengo lake la kumwambia mkewe. Is it because he plans to officially leave her for you or was it in hopes that you and the missus can come to terms with the situation and live in harmony moving forward? If it's the former, and you do love or still want to be with him then I'll say go for it! Though at this point for me ingekua shida kumuamini. 4+ years of keeping such a crazy secret...........It seems like he wants to have his cake and eat it too.
Mada umeisoma kwa kiswahili kuchangia unaleta mambo ya Shilole mazafak
 
Wasukumua mwanaume kuwa na wake wawili au zaidi ni culture
so anajua anachokifanya
wewe tulia muache yeye ndo ata handle kila kitu
i am sure mkewe hattakusumbua hasa kama ni msukuma pure...

uko kwenye polygamy
kama Jacob Zuma na wake zake
its just life here in africa
nothing new
 
Duh! First try and figure out lengo lake la kumwambia mkewe. Is it because he plans to officially leave her for you or was it in hopes that you and the missus can come to terms with the situation and live in harmony moving forward? If it's the former, and you do love or still want to be with him then I'll say go for it! Though at this point for me ingekua shida kumuamini. 4+ years of keeping such a crazy secret...........It seems like he wants to have his cake and eat it too.

Amemwambia mkewe ili mkewe asisumbue
polygamy in Africa is still much alive...
i miss you...
 
Sijawahi kuona watu wanao pendana kama ninyi.
Ama kwa hakika mshikilie huyo jamaa, na usiogope wala usiwaze kuhusu mkewe, saaaana jihesabu kama mkewe wa pili na jitahidi uzoee hivyo.
Nikiunganisha maelezo yako yooote naona kabisa jamaa anakupenda kwa dhati, sema inawezekana alijikuta ameoa mke ambae badae aligundua hampendi na pengine ipo shida kwenye ndoa yake, na kwakua umesema kwamba ni mtu wa kupenda maisha ya usiri basi inawezekana aliamua tu kuishi na mkewe na asiyaseme matatizo yao nje kwa kupenda kutunza usiri.
Kimtazamo jamaa anakupenda kuliko anavyo mpenda mkewe.
Nawewe nikiyasona maandishi yako, naona yamejawa narangi ya mihemko ya wivu na donge la jakamoyo....
Ebu tulizana mama ufanye maisha aiseee.....
Kwanza bora hata huyo mume wa mtu anae kupenda kwa dhati kuliko single kaka atakae kupanga kama gari bovu.
Ebu ngoja niishie hapa aiseee..
Mdaganye tu, hata mimi huwa navuga hivyo out lkn namheshimu kuliko maelezo mke wangu. Ungeuliza huyo mke wa mwanzo ana watoto wangapi then uanze kudaganya haya. Jamaa kama angekuwa anajutia mke wa kwanza basi angempiga chini sasa gari na kiwanja wapi na wapi kama mtu nimempotezea miaka kama hiyo na kama una woga na mungu!! Yeye aendelee tu ama awe mke wa pili basi. Huwa nashangaa sana watu eti akuambie sina mke/mme/hawara huku akiwa na umri wa zaidi ya miaka 30.
 
Wasukumua mwanaume kuwa na wake wawili au zaidi ni culture
so anajua anachokifanya
wewe tulia muache yeye ndo ata handle kila kitu
i am sure mkewe hattakusumbua hasa kama ni msukuma pure...

uko kwenye polygamy
kama Jacob Zuma na wake zake
its just life here in africa
nothing new
Saluti mkuu utafikiri tumeishi pamoja maeneo ya Geita. Hiyo kulia ni janja tu ili asikose nanihii hayo maisha ndo yetu ila dini tu ndo imepunguza hiyo life style
 
Kwahiyo mkuu...
Wewe ndie msema ukweli sana na mwenye hofu ya Mungu kuliko wote humu jf..?
Au wewe ndie msafi sanaa....
Mdaganye tu, hata mimi huwa navuga hivyo out lkn namheshimu kuliko maelezo mke wangu. Ungeuliza huyo mke wa mwanzo ana watoto wangapi then uanze kudaganya haya. Jamaa kama angekuwa anajutia mke wa kwanza basi angempiga chini sasa gari na kiwanja wapi na wapi kama mtu nimempotezea miaka kama hiyo na kama una woga na mungu!! Yeye aendelee tu ama awe mke wa pili basi. Huwa nashangaa sana watu eti akuambie sina mke/mme/hawara huku akiwa na umri wa zaidi ya miaka 30.
 
Tatfta wako dada omba mungu utapata si vzur kuvunja ndoa ya mwanamke mwenzio atakupotezea mda uje ujute baadae kuna wakat kwenye maisha mtu anatakiwa kufanya maamuz magum jikaze utamsahau kabsa usijal
 
Hizi masheria za kutulazimisha kuoa mke mmoja ndio yanasababisha mabalaa zaidi.
Polygamy is nature.
 
Kwahiyo mkuu...
Wewe ndie msema ukweli sana na mwenye hofu ya Mungu kuliko wote humu jf..?
Au wewe ndie msafi sanaa....
Niseme kweli kwani mimi Malaika!? jamaa kapiga mzigo miaka nenda rudi chezea ngosha wewe
 
Tatfta wako dada omba mungu utapata si vzur kuvunja ndoa ya mwanamke mwenzio atakupotezea mda uje ujute baadae kuna wakat kwenye maisha mtu anatakiwa kufanya maamuz magum jikaze utamsahau kabsa usijal
Ashasema hataki kuolewa au sijaelewa alichoandika.
 
Sijawahi kuona watu wanao pendana kama ninyi.
Ama kwa hakika mshikilie huyo jamaa, na usiogope wala usiwaze kuhusu mkewe, saaaana jihesabu kama mkewe wa pili na jitahidi uzoee hivyo.
Nikiunganisha maelezo yako yooote naona kabisa jamaa anakupenda kwa dhati, sema inawezekana alijikuta ameoa mke ambae badae aligundua hampendi na pengine ipo shida kwenye ndoa yake, na kwakua umesema kwamba ni mtu wa kupenda maisha ya usiri basi inawezekana aliamua tu kuishi na mkewe na asiyaseme matatizo yao nje kwa kupenda kutunza usiri.
Kimtazamo jamaa anakupenda kuliko anavyo mpenda mkewe.
Nawewe nikiyasona maandishi yako, naona yamejawa narangi ya mihemko ya wivu na donge la jakamoyo....
Ebu tulizana mama ufanye maisha aiseee.....
Kwanza bora hata huyo mume wa mtu anae kupenda kwa dhati kuliko single kaka atakae kupanga kama gari bovu.
Ebu ngoja niishie hapa aiseee..
Nimeupenda ushauli wako i like it,nilitaka nishauli ila naunga mkono ushauli sster usimuache alie kupenda kwa dhat then ukaja juta,fikilia kwa makin sana miaka mitano sio mchezo kumpenda mtu,nakushauki fata huu ushauli.
 
Ndio maana waislam tukaruhusika kuoa wake hadi wanne.Kwa sababu mungu ameona hayo mambo yatatokea .Inakua sio issue kubwa ni kuhalalisha na nyote munakua na haki sawa dhidi ya mume.Usidhini na mume wa mtu hizo asset zisikutoe utu
 
Huyo jamaa dini gani?.kama mkristo abadili dini waislam tunaowa mpaka wanawake wanne kwahivo akiwa na nyie wawili itakuwa powa tu.
 
Back
Top Bottom