Soma uelewe comment yangu mkuu, ukikurupuka hutaielewa. Nimesema, kwa kukusaidia, mwanaume ni ulimbukeni wa mapenzi na anadhani akamzalisha ndipo atammliliki. Kwa bahati mbaya maisha hayako hivyo, pindi akiibeba mimba, mwanamke ataanza kumtandika kiboko cha mimba. Hapo ndipo mategemeo ya mwanaume yatakapofifia. Akijifungua hapo ndo kabisa na gharama za kulea, mwishowe kama alivyosema
cariha atamkimbia.
Kwa mwanaume anayejitambua hawezi kulazimisha kuzaa na mwanamke maana mateso mbele ya safari ni makubwa ajabu. Hata uwe na hela kama Jeff wa Amazon, bado viboko utatlchapwa na kuomba dunia ipasuke.