Mume wa mtu ananilazimisha nizae naye

Mume wa mtu ananilazimisha nizae naye

Status
Not open for further replies.
Usijaribu kufanya huo ujinga wanaume wengi hudaganya wanawake wazae, siku ukizaa hutamuona tena
Ujinga aliishaufanya kwa kukubali kuwa mpenzi wa kudumu wa mume wa mtu huku akijidanganya kuwa kuna kijana ambaye hajaoa atajitokeza katikati ya mahusiano hayo na kumuoa.
 
Ndugu mtanzania mwenzangu achana na mume wa mtu huyo akufai atakuzarisha kisha atakuacha kwenye mataa a upate tabu kulea watoto peke yako

mimi Mama ni mbena baba ni muhehe njoo PM tuyajenge ikiwezekana tufunge pingu za maisha
Hahaha unajipigia debe.
 
Habari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.

Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.

Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.

Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
Jua unataka nn kwanza, wewe sio yeye
 
Kwa kuwa kwenu wamekuambia uolewe kwa proccess zote basi hili swali lako linawahusu.

Nenda kawaeleze nyumbani hali halisi kisha subiri ushauri
 
Habari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.

Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.

Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.

Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
Duuh ivi utapataje wa kukuoa wakati bado upo kwenye mahusiano mengine ? Achana nae labda unaweza pata wa kukuoa , kingine kwa hiyo nyumbani ndio wanataka uolewe wewe hutaki au inakuwaje
 
Habari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.

Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.

Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.

Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
wanafunzi wa vyuo mnatuchosha, sasa wewe kama unataka kuolewa kwa nini unatembea na mume wa mtu??
 
Unatembea na mme wa mtu anakuchakaza unazeeka badae unaanza kutafuta wa kukuoa nan atakaekuoa ushatumika sana
 
Habari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.

Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.

Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.

Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
kwani jamaa hana watoto huko kwa mke wake? kama hana mzawadie na kama hutaki kumzalia basi kila mtu achukue time yake isiwe unataka akutunze ila wewe kumzalia hutaki hiyo mbaya itafika muda mtadhuriana.
 
Habari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.

Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.

Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.

Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
Njoo nikuwowe
 
Kha wee huna msimamo kwa kweli.
Unasema kwenu wanataka uolewe but pia u asema unataka uendelee na mume wa mtu kama wapenzi. Sasa unataka kumfurahisha nani maana kwa harakaharaka inaoneka wee ndoa kwako wala sio ishu cha msingi unapata utamu tuu
 
Hivi mnajifanya mlikuwa hamuwaoni wale wamama wapoleee.. na watoto wao mnacheza nao toka utoto mpaka mnakua na hamjawahi kumuona baba yao.?.

Ila wanaishi freeeesh, na mwisho wa mwaka wanasafiri na leo mko nao makazini na bado hamumjui baba yao..? Bado.

We zaa kama mmekubaliana.
 
Habari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.

Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.

Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.

Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
Wajuvi hili tangazo la kutafuta mke tujiongeze wakuuu

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Mwambie ahalalishe kwanza uwe mke wa pili ndo umzalie otherwise achana nae tu
Io Achana nae kwake ni kam unampa kazi nyingine....huyu hatak mwacha mme wa mtu na hatak zaa nae adi apate wakwake
inaonesha anakula mema ya nchi haki...................................
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom