Mume wa Maana Usipokuwa naye tu, Ukimpata...!!!

Mume wa Maana Usipokuwa naye tu, Ukimpata...!!!

Achana nae TUSHAMTIA KWENYE DUSTIBIN!!!!!!!!! MTU KUCHABWA NA MIMI AU KIJIWENI KWANGU 1. AWE JF SENIOR EXPERT MEMBER au MWANAUME kidogoo itatulazimu tumchambe. Hawa UCHAFU KUNUKA WANAOTAFUTA KICK dawa yao waji.nga waji.nga TUNAWAPOTEZEA TU!

Dont even bother na hawa watu wanaokuzungumzia na hawakujui even dogs bucks when they dont know the person.
 
hahaha akanana.
Daa huyo mdada daa ameshika adabu.
 
Sasa we Mwanaume Mwenzangu,hiyo tabia ya kujibishana na wadada wakati usha sema una busara zako sio Muhuni inakuaje?? Acha kujidhalilisha bana Wanaume wa ukweli hatunaga Mambo ya hivyo ,

Nyie ndio mnafanya thamani yetu ishuke kwenye jamii ,
 
na wewe unatetea lugha anayotumia huyu mwehu.maajabu
Mbona wewe ndo mwehu???unadandia train kwa mbele....kama thread haikuhusu si ukae kimya usichangie..au unawashwa nini unatafuta wakukusugua mida hii....tuliza hizo k.e.nde please/.
 
nani mwanamke...mi ni kidume cha mbegu bao moja tu mimba saba mi mujanja ya mujini nachukua vimodo vya ukweli utaniona kwenye party yako uchwara nikupe pombe mpaka utambaeeeee mana we ni mroho sana wa ofa mimi ndo predesheeeee papa mukuluuuu

wewe kama ni kidume basi ni hasara tupu...au si riziki...au yahaya...ndo huwa wanajisifia hivi maana hawana lolote..bunduki bila risasi kutwa kushoboka kama demu hasara.
 
Lara 1 duh its so sad kwa hii kitu kwakwel ladies jaman hatuna huruma ila kwel kuna mapaka mwitu mbwa koko mtu unamganda mume wa mtu n watoto wameshazaa kama kidonda yaan habari inakuwa kutwa kwa mganga ili umuangushe mwenzio mungu huyuuuuuuu n bado atatembea uchi nachozi n uzuni ya Yule babes mama yanamlilia mumewe n watoto imeniuma sana jaman yaan duuuuuh Leo watoto wamepelekwa kijijini aiseeee
 
weraaaaa wacha movie iendelee skelewu na ngololo ndo habari ya mjini kati!
bidada alidhani ndoa kupambwa na maznat eee wizi mbaya..onja usogeze hatua...
Happy New Year

Ha ha haaa huyo maznat mwenyewe ana kisa hikihiki cha Lara moko!
 
mi sread zako huwa sizielewi kabisa,sijui unavuta bange,hivi una boyfriend au mume kweli wewe?upuuzi mtupu

Na wewe unayechangia kiduwanzi umeolewa wewe? au unapanga kwa macheni magomeni? shame on you! leave Lara 1 alone!
 
Lara huyo manzi ako sawa! Kama kafilisika tupa kulee arudi kwa mkewe aombe sorry! Kutenda kosa si kosa, kurudia kosa ndiyo kosa!
 
kwanza pole kwa ban Lara1. Mimi nataka tu wanawake wanaodandia ndoa za watu wajue kuwa chamoto watakiona hapa hapa duniani, wanaume wamejaa tele ambao hawajaoa, iweje mtu umtolee macho mume wa mwenzio. Hiyo inaitwa mshahara wa dhambi ni mauti!!!!!!!!!, mauti si lazima ufe................. ila kile cha moto ndio mateso na manyanyaso yasiyoishaaaaaaaaaaa kama huyo na bado mpaka atajua mume wa mtu sumuuuuuuuuuuuuuu!!!!
 
Mbona wewe ndo mwehu???unadandia train kwa mbele....kama thread haikuhusu si ukae kimya usichangie..au unawashwa nini unatafuta wakukusugua mida hii....tuliza hizo k.e.nde please/.

umetumia lugha kali sana dada angu tumia hata tafsida basi.
 

wewe kama ni kidume basi ni hasara tupu...au si riziki...au yahaya...ndo huwa wanajisifia hivi maana hawana lolote..bunduki bila risasi kutwa kushoboka kama demu hasara.

nimekusamehe.aujui utendalo
 
Neno la leo: Kudokoa ndo ujanja, kukwangua ukoko ni kumbeep mpishi

courtesy lara 1 (kubwa la maadui)
 
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi kwi napenda sana mada zako Lala 1 loh huwa zinanipunguza stress
 
Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Mwaka mpya salamu mpya! mambo ya kuchukuchu hotaheeeee!)

Mazungumzo Kabla ya Habari!!!!! (Baada ya BAN)

Wanga wote miniwacheeeee hii 2014, SITAKI SHARI NA MTU! Hamlazimishiwi kusoma hizi thread! Ukiona vipi Jikate! Msione nimetoka BAN mkazani nina Mswalie Mtume sinaaaaaaaaa! Mwendo ule ule NAWACHAMBA WIMA WIMA, Mara million nipigwe BAN DAILY kuliko kuwakopesha! Ukileta za kuleta unachambwa uzuri na UKASHTAKI VIZURI KWA MODES! Thread kibaooo WANGA msiijazie nzi humu!!!!!!!! Sijawaita kwa kadi ya mwaliko humu! Mnituweeeeeeee! Dume zimaaa unachambwa hazarani si bure utakuwa SI RIZIKI!!!!!!!!!!!!!! Na KUCHAMBANANA MIMI UWE NA JF SENIOR EXPERT MEMBER atiiiiiiii au walau umelipia ukapewa Gold Member! New member kuwapa KICK humu iliishia mwaka jana! Mwaka huu watafuta kick! NAWATIA KWENYE DUSTBIN MAZIMAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!! Hio inaitwa .............. NAWAPOTEZEAAAAAA!!!!!!!!!


BACK TO TOPIC
Mwaka jana kati kati bibi dada mmoja, alijibinafsishia na kumtaifisha mume wa mwenzie mchana kweupeeeee!!!! Si kuwa Mume wa mtu waloana, la hasha! Walizaa tu watoto 3 pamoja. Bi dada yuko vizui kumpata yule bwana, akamtolea mahari fasta fasta akafunga nae ndoa lutheran! Makubwaaaaaaaaaa! Wote wachaga wenzangu!

Harusi ilikuwa crash program, hela uliyonayo ndo unatoa maana ilikuwa short notice! Mhhhhhhhhh! Ukistaajabu ya Musa utashangaa ya firauni!!!!!!! Ilileta mkanganyiko, watu wazima kwenda kumsuta na kumchambaa asifanye hilo jaribio la kupindua serikali kuu, mwenzie na watoto wa 3 ataenda wapi goal keeper yule. (Dont get the impression im mocking her because im not) ila ndo hivo tenaaa mtu mzima hatishiwi nyau! Mumeo nimemchukua, wacha nijishebedue mke mwenzangu unijue! We maliza kuku kwa mganga Mumeo mie ndo ninae ndani! IT WAS SAD! Ndumila kuwili hatukukosekana huku tunasema alivofanya shost vibaya kweliii! Huku tunpokea malace wig ya kusimamia na satin za Dubai! Njaa mbaya sanaaa! Na ushoga mjini ni full time job. Japo dhambi ilitubidi kutoa pongezi!

Tukirudi nyuma Bidada alikuwa anafanya kazi na hilo Gumegume, na alikuwa anamjua fika my wife wake maana alikuwa anakuja ofisini kwao, sasa sijui ni yeye ama karogwa ila yaliyomo yalikuwamo.! Huwezi jua maybethe guy had a SITUATION! ambayo si wa nje kuhukumu rahisi, ila nionavyo mie kumuacha mkeo na watoto wa 3 ukaoe mdada mwengine hata hujazaa nae, na usiku unakoroma peacefully si jambo rahisi!!!!!!!!!! We may never find out the truth but it was UNFAIR kwa yule bibie alieachwa! Na hakuachwa nusu, mazimaaa, na watoto kawapeleka kijijini. Bi dada yupo anapika mama lishe mjini hapa! CHOZI LA MNYONGE LALIPWA KWA MUNGU BABA! Japo la samaki lamezwa na bahari. Mungu AMKIRIMIE afungue Hoteli 5 star na apate ampendae, alisamehe na kulsahau gumegume hili. Dua zangu zifike moja kwa moja.

Huku harusi ikafungwa ya kukata na shoka, msizanie coz nimesema short notice mkajua ilichinaaa,weeee! Dhubutu yenu! It turne out ndumila kuwili tulikuwa wengi mno! Fahari ya ndoa mwisho wake honey moon. Sijui laana ama bibi alienda kuroga, yue bwana si akaachishwa kazi!!!!!!!!!? Ashinda kwenye TV! Mhhhhhhhh! N a baada ya ndoa alihamia kwa bi dada eeeeh! Ndo kushinda kwenye DSTV ya bi dada 24/7 hata kama kazi imekuwa bahati mbaya kahangaike basi mwana baba hata ukikosa umejituma sio kulikomoa sofa na Telemundo my heart beats for lola na Delmonte Dynasty. Ndo hivo hatoki wala hajitumi. Bi dada kamvumilia Nusu MWAKA!!!!!!!! Khaaaaaaa! Umlishe, umvishe mtu mzima, pocket money umjue wewe, kodi uzijue wewe, wanae kijijini uwajue wewe Inahuuuuuuuuu????????? Aku babu sitaki mizigo mie! (Ni mie lakini si yeye jamani!)

Ndo hivo hali iko hivo, ukichukulia kiwepesi waweza hisi katiwa zongo na mkewe wazamani aishi tu humo ndani ka mjusi asitikisike! Mbona MAJARIBU! Hataki wazae, haelewekiiiiiiiiii! Shosti kachokaaa! Kakubali AMEBUGI MEEEN! Tukamwambia ng'ang'ania hapo hapo UTUKOME SIE tunaoshika bango hutodumu kwenye hio ndo! Ukibwaga manyanga tunafanya party! We komaa nayo hivo hivoo. Kama huna inspiration ya kuendelea fom the inside, hata hii hatred rom the outside ikuinspre ubakie ndoani manake sahvi YOU ARE DISPEAKABLE kwa ulikwisha tenda ukimtema huyo bwana takuwa DISGUSTING!!!!!!! Usjaribu!

Ndoa umeitaka kwa chati haya hiyo hapo! Ayayaaaa umeolewa utarudi nyumbani kutembea sasa ndo utulize kalio kwa mmeo katika shida na raha! Kakondaje kwa stress? Hana hamu saa 11 ifike arudi kwa Habby! Hahahaaaaaa! Halooooo! Ndoa hiz!!!!!!! Mara aambiwe yeye ndo anamletea huyo bwana Gundu! Tangu kamuoa mmbo hayaendi!!!!!!!! Makubwaaaaaaa!!!!!!!!! Mume fahari na wa maana muone kwa MWENZIO!!!!!!!!!! Akipita kang'aaa , katokelezeaaaaa jasho la mkewe lile, Ukimkuta bar akakuhonga mchemsho utamuona wa maana kumbe husle za mkewe familia isonge, yeye kama yeye bila mkewe MAJANGAAAA! Wake za watu wakikusimulia walivoanza na waume zao na SHUKA 2! Utachokaaa! ukijitia mpana kama pazia la cinema ndo kama hivi yaliyomkuta bi dada.!!!!!!!

Ndo maana nasisitiza KUDOKOA ndo ujanja KUKWANGUA UKOKO NI KUMBEEP MPISH!!!!!!

HERI YA MWAKA MPYAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Jobless huchi.
 
Back
Top Bottom