Mume wa Maana Usipokuwa naye tu, Ukimpata...!!!

Mume wa Maana Usipokuwa naye tu, Ukimpata...!!!

hili jumbe la leo ni noumer. wadada tuhurumiane jamna. kuchukuliwe mume na unawatoto inauma sana.
 
hahahahhaaaaaaaaaaaaaaa bestito umenifurahishaje na hiili somo lako?
yani awee acha tu ila huyo mdada alichokifanya si chema na Mungu ameamua kumlpa
hapa hapa duniani kwani ukimfanyia mwenzio vibaya jua nawe utatendewa

HERI YA MWAKA MPYA MY BESTITO
 
hili jumbe la leo ni noumer. wadada tuhurumiane jamna. kuchukuliwe mume na unawatoto inauma sana.

haha! Shosti! Umeongea kwa huruma!! Midada ya mujini inasema TUTABANANA HAPAHAPA HATOKI MTU!!
 
Umshauriwa mara nyingi uandike kitabu sijui kwanii uoni hiyo fursa?...Heri ya Mwaka mpya na Pole kwa BAN..
 
bidada aliona vyaelea akadhani vimekufa. Hahaha.
 
at least i hear you now....welcome i ddnt know ulikua na BAN! Fans wako tulikumic!
 
Duh...nimetumia dak 45 kusoma na kuelewa kilichoandikwa....pheeeew...
Ngoja nikusanye nguvu tena nije kutoa comment yangu....
 
mmmh eti lara 1 anakwambia kudokoa imo. too bad.

Makubwaaaaaaa!!!!!!!!! Mume fahari na wa maana muone kwa MWENZIO!!!!!!!!!! Akipita kang'aaa , katokelezeaaaaa jasho la mkewe lile, Ukimkuta bar akakuhonga mchemsho utamuona wa maana kumbe husle za mkewe familia isonge, yeye kama yeye bila mkewe MAJANGAAAA! Wake za watu wakikusimulia walivoanza na waume zao na SHUKA 2! Utachokaaa! ukijitia mpana kama pazia la cinema ndo kama hivi yaliyomkuta bi dada.!!!!!!!


Woow !! kume ku-shine kwangu ni fadhila za wifu wangu (goaliee) sweet heart ?

Mkuu you made my LIFE.....!
Lara kind thanks and blessings.
 
Kakubali AMEBUGI MEEEN! Tukamwambia ng'ang'ania hapo hapo UTUKOME SIE tunaoshika bango hutodumu kwenye hio ndo! Ukibwaga manyanga tunafanya party! !

Ndoa nyingi sana za kimjini mjini wanachezea hii namba...............kusurrender si mchezo wanakufa na tai zao kunako shingo!!!!!
 
Nilikumisije mdada, Heri ya mwaka mpya. Sichoki kusoma walaka zako, i bless you girl. Mambo ya malovee ni majanga tu. You better stay alone.
 
Dah,unichukulie mume na nina watoto aisee inaumaaaa..haki ntakuombea mabaya yote chini ya jua...tuhurumiane wanawake
 
lara 1 happy new year 2014.

Huwa napenda mabandiko yako sana maana yana mafunzo, take usitake, ukweli upo. Yaani uzi huu nimeupeleka moja kwa moja kwa bazazi mmoja mwajiriwa wa Wizara ya Sayanziiiii na Mawasiliano!!!! Nilifikiri unamwandika yeye!!!! Ila kama ni muumini wa humu ndani akisoma hapa atapata fundisho!!!!!

Imagine unambwaga mke na watoto watatu (walizaa tu hawana ndoa kanisani japo wameishi miaka mingi pamoja) na kumchukua mwanamke mwingine ndani ya wizara ile ile!!!! Tunamwangalia kwa jicho la pili sana maana tunakumbana nao kila siku!!!! Hapo ni nje ya vimada, maana kesi ni nyingi ofisini kwa vituko vyake mara kufiwa na watoto wa mahawara mara vile!!! Aibu sana!!! Jirekebishe broo kabla dunia haijakufanyia kazi!!!! Kalumbu, funga macho, angalia watoto wako na mke wa ujana wako!!!! Laana zao zitakumaliza siku moja!!!! Watoto ni malaika, hawahitaji kuteseka!!!! Ufupi usikudanganye kuwa bado unakuwa!!! Umeshazeeka!!!!

Ninakufahamu in and out, na ninafikiri unaweza tabiri kabisa kuwa ni mimi nimeaandika hapa ila naona nipitie hapa ili na wengine wakushauri. lara 1 ameshatusaidia kuweka hali ambazo ni kweli mara nyingi tunaruka mikojo tunaenda kanyaga kimba au tunaruka maji tunaenda kanyaga moto.

Watch out kalumbu!!!
 
Last edited by a moderator:
Lara hukosi visa.
mume wa mtu sio wa kuiba forever
hata kuonja dhambi, wanasema chozi la mwanamke lina thamani sana halipotei bure
umeshapona mguu wako? ukiiba tena utapoteza mguu shauri yako...
Umenikumbusha mheshimiwa mmoja mwanamke alimuiba mume wa mtu ambae ni wakili ila wamezaa
na kamtelekeza mkewe na watoto wake,, mke ni hakimu mume ni wakili.
 
Back
Top Bottom