Makubwaaaaaaa!!!!!!!!! Mume fahari na wa maana muone kwa MWENZIO!!!!!!!!!! Akipita kang'aaa , katokelezeaaaaa jasho la mkewe lile, Ukimkuta bar akakuhonga mchemsho utamuona wa maana kumbe husle za mkewe familia isonge, yeye kama yeye bila mkewe MAJANGAAAA! Wake za watu wakikusimulia walivoanza na waume zao na SHUKA 2! Utachokaaa! ukijitia mpana kama pazia la cinema ndo kama hivi yaliyomkuta bi dada.!!!!!!!
Woow !! kume ku-shine kwangu ni fadhila za wifu wangu (goaliee) sweet heart ?
Mkuu you made my LIFE.....!
Lara kind thanks and blessings.
mmmh hata mashuleni kuna maslow learners. sasa mtu ameleta funzo zuri tu hapa wadwanzi wanaanza matusi. kama hujaelewa si uulize kuliko kujitia ufundi wa matusi.....
na hili bandiko lako unaona sio matusi eeh.mjifunze kuwa na lugha ya heshima watu wote sio wahuni kama wewe
Exactly...... Bravo QueenHorse mnastahili full package 3 salary bonus!!Habari ya mjini ndo hiyoo nimefurahi sana rala 1 kwa kumshinikiza abaki hapo hapo maana akimuacha huyo mume anaweza kukumbuka zilipendwa na kumuondolea starehe mama watoto wake ambaye inawezekana huko alipo kashapata mtu wa kumtolea shida zake....
Riziki ya mwenzio usiialie mlango wazi mungu atakuuumbua
Sometime kabla hujamnyooshea mwenzio kidole na kumuita muhuni jichunguze wewe kwanza je ni msafi hadi kumnyooshea mwenzio kidole
Umeonaaaaaaa eeeeeeeeeeh! Ni MDADA anatafuta KICK Nimchambe kinguvu! nasikitika HANA VIGEZO VYA KUCHAMBWA KIJIWE HIKI! NISHAMTIA KWENYE DUSTBIN UCHAFU KUNUKA!!!!!!!!! Kuchamba nayo kazi japo haina leseni! Huchambwi oyo ovyo inabidi UWE NA HADHI YA KUCHAMBWA atiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!
Ahsante bidada duanzi. Uwe na usiku mwema mrembo......
na wewe pia uwe na usiku mwema...uniote kama ulivyoahidi ha ha ha
Okey bi shost
vipi mrembo lara ameshalala...au yuko bafuni anaoga ha ha ha ha ha