Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,365
tatizo ukoko ndio mtamu zaidi. ukianza kula kuacha ukoko ni ngumu.
hahaha! Tena unachukua na jungu unaliweka mapajani ulikwangue vizuri kwaaa! Kwaaa! Kwaaah! Weee ukikutwaaaa!!
tatizo ukoko ndio mtamu zaidi. ukianza kula kuacha ukoko ni ngumu.
Makubwaaaaaaa!!!!!!!!! Mume fahari na wa maana muone kwa MWENZIO!!!!!!!!!! Akipita kang'aaa , katokelezeaaaaa jasho la mkewe lile, Ukimkuta bar akakuhonga mchemsho utamuona wa maana kumbe husle za mkewe familia isonge, yeye kama yeye bila mkewe MAJANGAAAA! Wake za watu wakikusimulia walivoanza na waume zao na SHUKA 2! Utachokaaa! ukijitia mpana kama pazia la cinema ndo kama hivi yaliyomkuta bi dada.!!!!!!!
Woow !! kume ku-shine kwangu ni fadhila za wifu wangu (goaliee) sweet heart ?
Mkuu you made my LIFE.....!
Lara kind thanks and blessings.
"jamenii Mpeni mwenye haki, Haki yakee" au myonge mnyongeni, Lak'.... Mie ndo maana nikitokaga Asubuhi hadi jioni naonekana Shinning star * kumbe ni uchawi wenu huoo?ulikuwa hujui ndo kazi yetu hiyo eeh?
ndo ujue ss
Hebu soma vizuri utaiona mantiki. Hii imesimama imaraUjinga mtupu.
Hivi kwa nini watu hawataki kuwa wachambuzi. Hii nimeipenda sana kuna masomo mengi ndani yake. Ni lazima tuwe waangalifu sana tamaa za mwili zikizidi ndo malipo hayo. Mwanamke anataka awe na mme na sie akili ikihama inahama moja kwa moja. ThanksLIMEKUCHOMAAAAAAAAAAAAAAA! Unalala kwenye kochi la mkeo eeeeh kutwa kucha!!!!!!!!! Hahahaaaaaaaaa Halooooooooooo! UNALO HILO BABU!
huu waraka wa leo kiboko...lakin asante nimejifunza vingi sana kupitia huu ujumbe.kwanza uvumilivu kutoka kwa bi mdada aliye achwa na kukubali kushindwa huku akimuachia mungu.
pili nimeamini malipo ni hapahapa duniani mbinguni mahesabu.
tatu mwanamke kujishughulisha kwa chochote kile sio kukaa nyumbani kusubiri kuletewa.
HERI YA MWAKA MPYA NA KWAKO PIA MKUU...