weed
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 2,458
- 3,586
Utakubali kuwa mke wa nne....??
Kweli mizigo kama hii minne lazima uwe sio mtu wa mchezo
Utakubali kuwa mke wa nne....??
Muda fulan natamani kuyafaham mafundisho ya kiislam nahis kuna story nzuri sana za kufundisha...Hapo kwenye umri nnakuomba rekebisha kidogo, fata sunna ya Mtume wetu Muhammad Sala Allahu Alayhi Wasalaam, alikuwa na umri wa miaka 25 akaoa mkewe wa kwanza ana miaka 40.
Mie nadhani kigezo cha umri wa mume umtakae ungeishusha japo iwe 25 ni vyema ukipata damu inayochemka kwa umri wako, umri ulionao ni "prime age". Ma sha Allah, bahati iliyoje kwa manaume wenye nia ya kuoa.
Ni wazo tu.
Usitie wasiwasi soma Qur'an ina mazuri matupu kwa maisha yako ya kila siku.Muda fulan natamani kuyafaham mafundisho ya kiislam nahis kuna story nzuri sana za kufundisha...
Shida ni lugha mamii inani-cost yaani sizijui ata (alfa)...Usitie wasiwasi soma Qur'an ina mazuri matupu kwa maisha yako ya kila siku.
Njoo pmMimi ni mwanamke wa kiislam natafuta mume wa kiislam tu
Miaka yangu ni 30-35
Mume naemtaka awe 35-40
Awe mchapa kazi mwenye kujishughulisha na maendeleo
Awe mtu wa dini asipende zinaa wala shirk yoyote.
Mawasiliano jasminejamil2016@gmail.Com