Mume wa Kiislamu anahitajika

Mume wa Kiislamu anahitajika

Yaani muda mwingine ukifuatilia comments za wachangiaji wengi hapa jamvini unaweza kujiuliza maswali mengi sana. Wanafanya utani, ni wagonjwa wa akili, wanataka sifa, bado ni watoto na wana akili za kitoto? Nakutakia kila la heri dada Jasmine.
hata siwaelewi wana matatizo gani wapo wanadai mashari magumu kuna shari gani nimeweka?
 
Hapo kwenye umri nnakuomba rekebisha kidogo, fata sunna ya Mtume wetu Muhammad Sala Allahu Alayhi Wasalaam, alikuwa na umri wa miaka 25 akaoa mkewe wa kwanza ana miaka 40.

Mie nadhani kigezo cha umri wa mume umtakae ungeishusha japo iwe 25 ni vyema ukipata damu inayochemka kwa umri wako, umri ulionao ni "prime age". Ma sha Allah, bahati iliyoje kwa manaume wenye nia ya kuoa.

Ni wazo tu.
sawa ila naona aibu kuwa na kijana mdogo
 
Umeshapata? Kama vipi nitumie sms kwa namba hii 0715616373 tuchonge sasa hivi
 
Mahari itakuwa shiling ngapi,!! Nianze kufanya maandalizi
 
Yaani muda mwingine ukifuatilia comments za wachangiaji wengi hapa jamvini unaweza kujiuliza maswali mengi sana. Wanafanya utani, ni wagonjwa wa akili, wanataka sifa, bado ni watoto na wana akili za kitoto? Nakutakia kila la heri dada Jasmine.

Ni wajinga tu.
 
Mimi ni mwanamke wa kiislam natafuta mume wa kiislam tu
Miaka yangu ni 30-35
Mume naemtaka awe 35-40
Awe mchapa kazi mwenye kujishughulisha na maendeleo
Awe mtu wa dini asipende zinaa wala shirk yoyote.

Mawasiliano jasminejamil2016@gmail.Com
Sasa mkuu ukipata huyo mume kutokea humu mshauri asikimbie hili jukwaa maana kwa umri huo atakwambia mala oooh! Sperm count inasumbua,mala akipiga moja usingizi mzito asiondoke kwa ajili ya ushauri
 
Na kweli lazima uhitaji mwalimu maana ;
Nimeajiliwa = Nimeajiriwa.
Nataka anifundishe mambo kama haya mkuu.Kwani wewe umeshindwa elewa bandiko kwa sababu ya hilo tu?au unafanya kazi TUKI?
Asante kwa masahihisho,lakini juzi tulijadili watu wenye fikra finyu humu na tukagundua watu aina yako wa kusahihisha vitu vidogo na wengine wengi ni kundi hilo.
 
Una matatizo miaka yako 30-35 ndio nini??
alafu mchapakaz gani?
Nawe unafanya kazi gani?
 
Nataka anifundishe mambo kama haya mkuu.Kwani wewe umeshindwa elewa bandiko kwa sababu ya hilo tu?au unafanya kazi TUKI?
Asante kwa masahihisho,lakini juzi tulijadili watu wenye fikra finyu humu na tukagundua watu aina yako wa kusahihisha vitu vidogo na wengine wengi ni kundi hilo.
Mlikua mna-discuss watu?! Small mind discuss people but Open mind discuss ideas. Hope ushaliona kundi lako. Stand to be corrected you are just a human being. Usipokua tayari kurekebishwa kila siku utakua offended pale unaporekebishwa.
Mungu akujaalie, akupatie haja ya moyo wako (mwalimu)
 
RITA watanishtukia sasa, kila kukicha naenda kuomba cheti cha kuzaliwa ili kuendana na vigezo vya matangazo haya.
 
Miaka yako ni 20-25 au ni kama hivyo ulivyoandika?Mbona masharti makali sana.Tuma kwanza picha yako tukuone tusije tukauziwa mbuzi kwenye gunia.Tuma picha zionyeshe pande zote.
Pande zipi, wabongo kwa chura
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom