Mume wa Kiislamu anahitajika

Mume wa Kiislamu anahitajika

inshaalla mola akufanyie wepesi upate nusra ila ikishindikana nipotayari kwa masna karibu
 
ndi maana hamuolewi....masharti kibao!,ukikosa muislam najua utahtaj na mkrusto na ukikosa huyo najua utatuhitaj hata sisi wapagani!!!ikifika zamu ya mpagani nitafte
acheni dhihaka hivi apo kuna mashart mengi kweli? km c muoaji pita tu usichafue hewa.
 
Nimeipenda hiyo; na nipo tayari kwani hata vigezo hivyo vichache nafit. Karibu pm au cheki email yako nimekutext.
 
MIMI NI MWANAMKE WA KIISLAM NATAFUTA MUME WA KIISLAM TU
MIAKA YANGU NI 30-35
MUME NAEMTAKA AWE 35-40
AWE MCHAPA KAZI MWENYE KUJISHUGHULISHA NA MAENDELEO
AWE MTU WA DINI asipende zinaa wala shirk yoyote.
MAWASILIANO jasminejamil2016@gmail.com

Allah atakujaalia na utapata mume mwenye kheri. Na In sha Allah na mimi ntajitahid kukutafutia. Amin.
 
MIMI NI MWANAMKE WA KIISLAM NATAFUTA MUME WA KIISLAM TU
MIAKA YANGU NI 30-35
MUME NAEMTAKA AWE 35-40
AWE MCHAPA KAZI MWENYE KUJISHUGHULISHA NA MAENDELEO
AWE MTU WA DINI asipende zinaa wala shirk yoyote.
MAWASILIANO jasminejamil2016@gmail.com

Hapo kwenye umri nnakuomba rekebisha kidogo, fata sunna ya Mtume wetu Muhammad Sala Allahu Alayhi Wasalaam, alikuwa na umri wa miaka 25 akaoa mkewe wa kwanza ana miaka 40.

Mie nadhani kigezo cha umri wa mume umtakae ungeishusha japo iwe 25 ni vyema ukipata damu inayochemka kwa umri wako, umri ulionao ni "prime age". Ma sha Allah, bahati iliyoje kwa manaume wenye nia ya kuoa.

Ni wazo tu.
 
Yaani muda mwingine ukifuatilia comments za wachangiaji wengi hapa jamvini unaweza kujiuliza maswali mengi sana. Wanafanya utani, ni wagonjwa wa akili, wanataka sifa, bado ni watoto na wana akili za kitoto? Nakutakia kila la heri dada Jasmine.
 
Miaka hapo mtihani ungerudi kidogo hata 25 -35 dada.....miaka hiyo ndio wengi wapo wanaohitaji.....Au ushawahi olewa na kuachwa eeeeeh
 
Mimi natafuta Mke mkristo awe mwalimu,miaka 25-27 seriously anaolewa.Nimeajiliwa pia,apatikane Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida
 
MIMI NI MWANAMKE WA KIISLAM NATAFUTA MUME WA KIISLAM TU
MIAKA YANGU NI 30-35
MUME NAEMTAKA AWE 35-40
AWE MCHAPA KAZI MWENYE KUJISHUGHULISHA NA MAENDELEO
AWE MTU WA DINI asipende zinaa wala shirk yoyote.
MAWASILIANO jasminejamil2016@gmail.com
Miaka yako ni 20-25 au ni kama hivyo ulivyoandika?Mbona masharti makali sana.Tuma kwanza picha yako tukuone tusije tukauziwa mbuzi kwenye gunia.Tuma picha zionyeshe pande zote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom