Mume na mke

Mume na mke

Jeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,973
Reaction score
372
MUME: Mke wangu nakupenda sana ila naomba kujua
umewahi kuvunja uaminifu mara ngapi?
MKE: Siku ya kwanza nililala na mwenye nyumba sababu
alikuwa anatudai kodi.
MUME: Safii.
MKE: Siku ya pili ulipo fanyiwa oparesheni na pesa hakuna
nikalala na dokta.
MUME: Kumbe unanijali ehh!
MKE: Siku ya tatu kipindi cha uchaguzi ulipokuwa unaomba kura
ikabidi nitembee na wapiga kura wote ili wakupigie kura.
MUME: Tobaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
Tehe tehe cjui mtu utachukua uamuz gani hapo labda ukampime akili
 
Naomba mnisaidie kufahamu kwani kuuliza si ujinga,Hivi ni kweli kwamba hakuna sababu yoyote ya mgao wa umeme bali umeme unakatwa ili wenye vitambi wapige dili zao?
 
Naomba mnisaidie kufahamu kwani kuuliza si ujinga,Hivi ni kweli kwamba hakuna sababu yoyote ya mgao wa umeme bali umeme unakatwa ili wenye vitambi wapige dili zao?

Acha kudandia thread za wenzio anzisha ya kwako.
 
Bado nafikiria uamuzi ambao ningeuchukua.
 
upendo wa mke kwa mume ulizidi mpaka anam-kill mumewe softly. kifuatacho hapo ni huyo mke kuchezea vitasa tu, kama jamaa hajapata stroke lakini!
 
utamu wa punane humfanya mume kuwa zoba
 
Nikupe bei gani uniachie huyo mke? inaonekana ni malighafi hio mzee, mshikilie huyoooo
 
Ndugu yangu yote yatesemwa lakini hapo hakuna mke. ni i uzandiki na unafiki tuuuuuuuuu
 
Ndoa ni ndoano lakini maisha ni kuelewana tu. ya wambea yasimsue mwenye kupenda chake
 
Back
Top Bottom