Mume mwenza simuelewi ananitafutia jela

Mume mwenza simuelewi ananitafutia jela

Hahahaaa nimeamini ule usemi hawara hana talaka
 
Tunawaambiaga ukitaka kua na single mama uwe na moyo wa chuma, mnatuona ss matahira aya sasa
 
Teh teh hata wewe ni soft Sana,mbona hukuwakanya mwanzo?
 
Ohhhggrrr!!!!! Unasubiri nn kutoa talaka mpaka waku-boost akili ndo ushtuke au ?Chukua hatua kabla kabla hujaonekana mwanaume suruali mitaani kwenu
 
Wee jamaa mvumilivu sana, yaani mkeo kukudharau sana na kashakuona boya na fala mtozeni baada ya visa hivi ukizidisha uvumilivu utamkuta akito--ka live ndani kwako
 
Utachapiwa hivi punde unatakiwa uwe mkali ikiwezekana mpige biti bana John awe anakuja weekend tu tena sio kila siku kama vipi amchukue mwanae

Kumbe ndio mana wanaume hawataki kuoa single mothers

Mkuu kwa nini umetumia jina la John?

Achapiwe mara ngapi?
 
Kwanza pole sana mkuu, nakucfu umekuwa na moyo wa tofauti xn kuvumilia kilichotokea hadi sasa. Binafsi nina km bht ya kuwa na mahusiano na single mothers(zaidi ya wawili) kiasi cha kufikia hatua ya kutaka kuoana lkn ckumuoa ht mmoja na moja ya kikwazo ni hayo mambo ya kuja kumuona mtt nyumbani. Mmoja nliwah kuishi nae kbs (Dar) yy na mwanae wa miaka10, ilikuwa ikifika wikend mtt anaandaliwa vzr kbs anapelekwa kw babake anakaa huko anafuatwa Jpili. Wkt mwngne wanakwnd huko lkn siambiwi ila wakirudi najaribu kumtega mtt ananambia walipita nyumbani kw babake, mama ukimuuliza analeta story ndefu ooh "bibi yake alinipgia cm akalazimisha nimpeleke, ht hvyo babake hakuwepo". Frankly speaking, nilijaribu sn kufuta namba ya mume mwenza kwny simu ya mpnz wng lkn kila mara niliikuta tena imewasiliana, iliniumiza sana, mwisho nilichoka. Niliyabwaga manyanga.....
 
Mkuu pole sana.
Natafakari maisha ya mahusiano unayopitia na uzi mmoja hiv kuhusu kutokuwa na mahusiano na single mothers. Anyway yashatokea. Cha msingi kaa na mkeo mzungumze.
Pole sana mkuu.
"KUMEGEWA KUNAUUMA"ASIKUAMBIE MTU
Kumegewa kunauma xn mkuu, mm tu nammega mke wa mtu kiaina ila napata wivu sana akiwa na mmewe sembuse mke kbs!
 
Kosa ulilofanya ni kuruhusu kunywa nae chai....

Halafu hakuna kitchen mada za kulala huko huko

Ushaliwa wewe

Hebu simama kama mwanaume
 
mkuu nenda kisomi mi ndo nawapendaga sana mademu wanaojifanya hawajielewi..
hapo unachotakiwa kupata ushaidi kuwa unamegewa.. kwahiyo fanya haya..
1. trap simu yake.. yaan kila sms na calls ikiingia kwake na kwako zinafika japo unakuwa msikilizaji tu upande wa call

2. trap whatsapp yake sms zote za whatsapp zitakuwa zinafika na kwako..

3. tega camera sebuleni na chumban ili wakifanya ushenz wao unawaona!

4. chagua wadau wanaojielewa kama 4 hv wawe wanampiga picha huyo demu kila wanapomuona kwenye mazingira tatanishi..

ukifanikiwa hayo biashara imekwisha!!!!
 
Back
Top Bottom