Mume mwenza simuelewi ananitafutia jela

Mume mwenza simuelewi ananitafutia jela

Kubwa jinga mali yako inaliwa
simama kama mwanaume huyo mtu asije kabisa nyumbani kwako
 
Daah baba John ana dhambi sana unamlelea mwanae alaf bado anakuja kula mkeo na wanawake hawana mana kabisa yaan Baba John kamwaga na kumtelekeza na mtoto anapata stara ya kuolewa lakini haridhiki anadanganywa kidogo tu anasahau yote. [HASHTAG]#PoorWomen[/HASHTAG]
 
Kitakochofuata hapo ni baba john atapiga mimba uletewe hapo nyumbani uanze kulea mimba ya babaake johhhnii,amka usingizini broo kumekucha
 
msema ukweli mpenzi wa mungu bia nimezigonga kwa kweli.
Unaonekana kama upande fulani hujutii kujitokeza kwa Baba John. Na vipi je,ukija kugundua hata huyo Baba John siye Baba halisi.
Unamuoaje mwanamke mwenye mtoto ambaye hata Mzazi mwenzake humjui kwa miakam itano yote?!! Hajafa wala hakafungwa?!!
Kubwa jinga tegemea suprise kubwa na nyingi zaidi. Hicho unacho kiona ni trailer tu.
 
Unamoyo aisee, yaani mkapata msosi na kupiga stori.
 

Baba joninwa kambo we kula bia maisha yaendelee wala usjali.
Karne hii hakuna cha pekeakowacha akagongwe ila mwambie akija alete Safari za kutosha
 
Kuna jamaa mmoja akilewaga kauli mbiu yake ni "wanawake sio watu kabisa, hiv ni viumbe kutoka source nyingine" huwa anasemaga haya maneno adi anafika kwake
 
Sio mara zote, sio kwa wanawake wote! LAKINI 95% ya single mothers hawezi kumnyima papuchi mzazi mwenzie...na hata kama atakuapiza kwa Miungu yote hapa duniani kuwa ameechana na huyo mzazi mwenzie....usije kamwe ukamuamini...anachohitaji kutoka kwako ni kumbatio au hifadhi na maisha yasonge mbele. Kila akimuona mtoto aliyezaa na mzazi mwenzie lazima akumbuke tu mgegedo wa huyo jamaa....take it from me..

Huu ukweli single mothers hawataki kabisa kuusikia..na wapo tayari kutukana matusi yote...coz unawauma ukiwaambia maneno hayo ila ukweli ndani ya mioyo yao wanaujua kabisaaa

Nitafanya makosa yote ya kuchagua mwanamke wa kuoa lakini sio single mothers..... I am so sorry to say that single mothers!
 
Ha ha haaaaaa

Ngoja nikucheke kwanza, mimi wifi zangu wamebahatika sana na wanajiheshimu na wala sina muda wa kuwafatilia kujua yao. Hawako kama mkeo anayemleta mume mwenzako kulala naye ukiwa haupo nyumbani hapo na labsa mnakopanga. Na wake zao hawakuzaa kabla. Wao wanajua kujiongeza kimaisha, hawajakaaa kuishi kukaribisha wanaume wawahudumie kama mkeo unavyosaidiwa sababu hujui kumridhisha... wakiwa hawapo home hawawezi hata kujaribu. Jiongeze mkeo akupe heshima, inaelekea unamtegemea kwa kitu or alikusaidia kitu maishani. Mwanaume anayejitambua na kujua mkewe hamdharau na yeye ni kichwa ndani ya nyumba hasingekuja kuuliza haya humu. Yaani umekuja kuuliza na ulivyonijibu inaonyesha hizo shughuli unazosema unaenda kufanya ni unarudi kaputi.
Nasimamia nililoandika kuwa najua wanaume wanaopelekeshwa na wanawake waliozaa kabla kama wewe, walipofanya yao heshima kwenye ndoa ilirudi asilimia 150. Sasa ukitaka kuendelea kuishi hivyo, ni uamuzi wako huo endelea kuwa mume bwege, hadi bia unanunuliwa.. akileta ukiwa haupo home, wanafanya yao na unakunywa baada ha ha haaaaa.

Utaji jj na maisha yako, msaidie mwenzako kulaza watoto yeye naye anafaidi. Lingine mimi sitegemei ndugu kuishi...ha ha haaaaa jamii forum hii sikushangai...ngoja nikucheke tena eeeeh namashuka wanayotumia yafue kabisa. Na pita hukoooooooooooo

Usinijibu tena ili usinitapishe, jipaishe uishi kiuanaume unatia aibu wewe mume bwege. Ungekuwa sio ungeshahata ondoka hapo mnapoishi kumnyoosha....lmao
nimekoma sirudii tena
 
Kwani kuna shida gani mkila wote? Ushauri wangu akikisha kwamba baba John afiki kwako wala wewe uendi kwake . Pia fanya uchunguzi kama na yeye ana mke ukamtolee uvivu! Mambo ya hasira achana nayo kaka mkubwa
 
Vumilia tu mkuu maana baba john hakuna asichokijua kwa mama john chamsingi wasifanyie kwako
 
Habari wadau
Naanza kuandika kisa hiki kwa maskitiko makubwa
Mwenzenu nina mke nimebahatika kuzaa nae mtoto mmoja lakini mke huyu wakati huo naanza nae mahusiano yetu nilimkuta na mtoto mmoja wa umri wa miaka 5

Kama mjuavyo nilivutiwa na bibie na sikuona uzito wa kumlea mtoto nilifurahi kujua huyu mke ni mlezi na waswahili wanasema ukipenda boga penda na ua lake

Mwezi uliokwisha aliibuka bwana mmoja asubuhi kabla ya mimi sijakwenda kwenye shughuli zangu akakaribishwa mimi nikatoka ukumbini nikamkuta huyu bwana amekaa na watoto wote wawili kwenye kochi, nikamuuliza mama watoto akanijibu nilikuwa nasubiri nikufahamishe huyu ni (baba john) si jina rasmi,nikamsalimia tukaletewa chai tukajumuika pamoja kunywa chai na maandazi tukaongea kuhusu maisha kidogo na akanieleza dhumuni la kufika hapa ni kumuangalia mwanawe ,siku zimekuwa nyingi nikawaacha mimi nikaondoka kuelekea kwenye mizunguuko yangu

Swali linalonisumbua kichwa huyu bwana alipajuaje hapa nyumbani na kwanini alikuja asubuhi hana shughuli huyu mtu, na pia hivi sasa nasikia mimi nikitoka na yeye anafika mara mbili kwa siku kuangalia mtoto na akifika anaacha mizigo anaondoka sasa juzi ndio ilikuwa kali nilikuta chupa za bia nikaambiwa nililetewa na mume mwenzangu na yeye ameshakunywa zake nikamuuliza mke akanijibu nisiwe na wasiwasi yule anampitia mwanawe na yeye ni mtu mzima hawezi kutuchanganya,lakini jamani mtu na mtuwe ni kama gari na mteremko

Ok kwa sababu ya likizo ya viroba nikajinoma bia lakini kwa shingo upande na kengele ya tahadhari ikinililia kichwani
Leo hii asubuhi mke ananiaga kuwa kuna shughuli sijui inaitwa kitchen mada kama nimekosea mta sahihisha ya mdogo wake baba john nikamkubalia lakini kwa shingo upande anasema kulingana na ratiba za shughuli atarudi kesho

Jamani mpaka kufikia hapa mimi naona mume mwenzangu ananizunguka mbuyu na sitaki afike hapa kwangu naweza kuua na nikapelekwa jela

Wadau naomba mchango wenu niache mke lakini bado nampenda au amchukue mtoto wake lakini john mwenyewe bado mdogo ili anipe amani ,nitaua mimi

assanteni nasubiri ushauri wenu
Kama hujatunga hii habari basi wewe ni kama jina lako linavyosomeka hapa
 
Kuna jamaa mmoja akilewaga kauli mbiu yake ni "wanawake sio watu kabisa, hiv ni viumbe kutoka source nyingine" huwa anasemaga haya maneno adi anafika kwake
Kwa hiyo njia nzima anatamka maneno hayo hayo du kweli walimtenda ila wanawake ni watu wa kipekee sana
 
Back
Top Bottom