Mume mwenza simuelewi ananitafutia jela

Mume mwenza simuelewi ananitafutia jela

Mzee hapo kuna dalili za kurejeshwa kwa mahusiano yao. Kuwa makini na nyendo zao. Mwambie mkeo hufurahishwi na kinachoendelea. Kama ni mtoto wake, mpe ubaki na amani.
 
Hivi kwanini wanaume mnakuwa mafala kiasi hichi? Watoto wazuri na wabichi mnaacha mnaparamia single mother. Kaka single mother hawanaga shukrani
 
Mzee hapo kuna dalili za kurejeshwa kwa mahusiano yao. Kuwa makini na nyendo zao. Mwambie mkeo hufurahishwi na kinachoendelea. Kama ni mtoto wake, mpe ubaki na amani.
kweli kabisa ninaweza chukua maamuzi mabaya sana
 
Single mothers wanasumbua sana
Kuna single mother mmoja nimempenda sana na namvizia nimtongoze na namba yake ya simu ninayo ila kwa mkasa huu nimeghairi na namba yake nafuta
 
kwa mimi naona kama tayali washafanya aya mambo
Inaweza ikawa bado ila hata kama tayari unachotakiwa kufanya ni kumwambia amchukue mwanae au awe anakuja kwa masharti maalumu sio anakuja tu nyumbani kwako kama vile yeye ndo mwenye nyumba na wewe ni house boy
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Baba joniiiiiii, uspaniki mkuu baba joniii anakumbushia tu wewe si umeowa kabisa una wasiwasi gani sasa mama jonii atarudi tu, by the way hapo huwezi hata shika ugoni kuwa mpole tu.
 
sasa wewe ndio wifi mkorofi aufai kuishi na kaka yako.nyumba moja na mke wake

Ha ha haaaaaa

Ngoja nikucheke kwanza, mimi wifi zangu wamebahatika sana na wanajiheshimu na wala sina muda wa kuwafatilia kujua yao. Hawako kama mkeo anayemleta mume mwenzako kulala naye ukiwa haupo nyumbani hapo na labsa mnakopanga. Na wake zao hawakuzaa kabla. Wao wanajua kujiongeza kimaisha, hawajakaaa kuishi kukaribisha wanaume wawahudumie kama mkeo unavyosaidiwa sababu hujui kumridhisha... wakiwa hawapo home hawawezi hata kujaribu. Jiongeze mkeo akupe heshima, inaelekea unamtegemea kwa kitu or alikusaidia kitu maishani. Mwanaume anayejitambua na kujua mkewe hamdharau na yeye ni kichwa ndani ya nyumba hasingekuja kuuliza haya humu. Yaani umekuja kuuliza na ulivyonijibu inaonyesha hizo shughuli unazosema unaenda kufanya ni unarudi kaputi.
Nasimamia nililoandika kuwa najua wanaume wanaopelekeshwa na wanawake waliozaa kabla kama wewe, walipofanya yao heshima kwenye ndoa ilirudi asilimia 150. Sasa ukitaka kuendelea kuishi hivyo, ni uamuzi wako huo endelea kuwa mume bwege, hadi bia unanunuliwa.. akileta ukiwa haupo home, wanafanya yao na unakunywa baada ha ha haaaaa.

Utaji jj na maisha yako, msaidie mwenzako kulaza watoto yeye naye anafaidi. Lingine mimi sitegemei ndugu kuishi...ha ha haaaaa jamii forum hii sikushangai...ngoja nikucheke tena eeeeh namashuka wanayotumia yafue kabisa. Na pita hukoooooooooooo

Usinijibu tena ili usinitapishe, jipaishe uishi kiuanaume unatia aibu wewe mume bwege. Ungekuwa sio ungeshahata ondoka hapo mnapoishi kumnyoosha....lmao
 
Mkuu pole sana.
Natafakari maisha ya mahusiano unayopitia na uzi mmoja hiv kuhusu kutokuwa na mahusiano na single mothers. Anyway yashatokea. Cha msingi kaa na mkeo mzungumze.
Pole sana mkuu.
"KUMEGEWA KUNAUUMA"ASIKUAMBIE MTU
 
Back
Top Bottom