From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,826
Wanaume wengine wana mioyo ya utofauti. Sioni ni kwanini mwanangu alelewe na baba mwingine halafu niwe naenda kumwangalia. Unless ni mchanga sana.
Ila akili zenu mkuu zinaendana. Kama hukupata shida kumlea mwanae na baba yake yupo, basi usione shida yeye kumwona mwanae na waliezaa naye.
Ila akili zenu mkuu zinaendana. Kama hukupata shida kumlea mwanae na baba yake yupo, basi usione shida yeye kumwona mwanae na waliezaa naye.