Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Sir mweli Mimi...kama najiona vile nnavyo okota dodo kwenye mkuyu....Tatizo PM spajui....nielekeze basi nije hapo tuyajenge
 
Mmmm mwanaume wa mitandaoni kila siku mmnaambiea jamani kama umeshindwa kumpata huko kazini,mtaani unakopita unahiis asieonekana utampata
Alimpata mitaani wanakaribia mtoto. Ila anataka mwengine sasa ambae atakubali kua pia baba wa mtoto huyo
 
Mmmm mwanaume wa mitandaoni kila siku mmnaambiea jamani kama umeshindwa kumpata huko kazini,mtaani unakopita unahiis asieonekana utampata
Mume anapatikana,kasheshe ni kumpata muoaji..
 
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,

umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.

Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki

Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Je akiwa na sifa hizo na watoto wawili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom