1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,327
- 12,691
Huenda hawajafunguka! Wana ya moyon mengi,watazikwa nayo kaburini.Kwa hiyo unatuaminisha mwanamke ameumbwa hawezi kufanya kazi za kuzalisha tofauti na kuugawa mwili wake eeh! !?
Umenipa maswali mengi saana wewe mama. Pole wanao. Kuna wanawake single mom's hawajawahi kugawa uroda kama kitega uchumi na familia zao zinasoma na zinakula vizuri